BABA JAY PART 02 | MWISHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 110

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Baba JAY ni 👍👍kuwa na furaha mama ambiya mapigo bye be happy my dear baba jay good man❤❤❤

  • @fawziamohamoud6288
    @fawziamohamoud6288 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimempenda bure Baba Jay😊
    How I wish ndo mimi nimekutana nae

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +24

    ❤❤ baba jay poza machungwa yote, sasa kaka lucas ndo umeupanga vizuli mda Asante san, simliz nitam, wadau njoon. Mishi mambo tayal, ila msipte kmykmya Salam kwanza nawapenda ote🌹🌹🏃

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +6

      Nyie mbona mko kimya hum ndani jamani goja niwasalim like Mimi ndie gawagawa❤

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน +3

      Asante 😂😂😂tunakupenda sana pia❤

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน

      @@avelinabaluhya2804 ❤️🙏

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 3 หลายเดือนก่อน +3

      ❤❤❤

    • @Kellyperry947
      @Kellyperry947 3 หลายเดือนก่อน +3

      ᵀᵘⁿᵃᵏᵘᵖᵉⁿᵈᵃ ᵖⁱᵃ ⁿᵈⁱᵒ ⁿᵃⁱⁿᵍⁱᵃ 😂😂😂

  • @Aisha-oj9cx
    @Aisha-oj9cx 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kweli lucas ahadi yako kweli pongezi kwako wacha tuburudike sisi mashabiki wako❤❤❤

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 3 หลายเดือนก่อน +9

    Kaka lucas uko juu yaani ahadi yako ahipiti mda tutakupenda daima❤❤🎉🎉

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 3 หลายเดือนก่อน +9

    Good morning Leo nmerauka ...Lucas asante kwa mzigo❤❤❤

  • @christinahaule-p8i
    @christinahaule-p8i 2 หลายเดือนก่อน +2

    baba jay ni fundi bwana kwnye kitanda mishi uyo ndio mpenzi mpya ss enjoy dada kwa mahaba mazitoo ❤❤❤

  • @LeeYanOm
    @LeeYanOm 3 หลายเดือนก่อน +9

    Aiiiii umeupiga mwingi bro🎉

  • @NailatYahayamkova-yu9qu
    @NailatYahayamkova-yu9qu 3 หลายเดือนก่อน +9

    Saf san kaka wa mboga saba🎉🎉🎉🎉 Leo umejua kufany kazi nzur

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wooooow imekuja mapemakweli thankx lumbasi

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g 3 หลายเดือนก่อน +11

    Acha tu babajay achukue mzigo amuache mpuuzi ang'aeng'ae sharubu huyo ndie mwanaume bwana ❤❤❤🔥🔥🔥🌹🌹🌹💋💋💋💯

    • @MisstPromise
      @MisstPromise หลายเดือนก่อน

      Kabisa💯😂

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wakipigwa matukio huwa mnarud ka vimbwa vilivyonyesgewa😂😂😂 na akina derrick sijui mna sgida gan

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 3 หลายเดือนก่อน +7

    ❤❤😂😂😂😂🎉wacha tuskilize ss

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน +7

    Waooo♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹ahsante kwa uaminifu wako 🙏

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hahaaaaaa mama uko vizuri yani unakipeleka mwenyeweeee .... Nimekuheshimu Mishy msife na stress wapenzi wa Lucas ukipenda mtu kufa nae Kwan Iko nn😂😂😂😂

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 3 หลายเดือนก่อน +3

    Bora upata mtu saa ii kuliko mateso team lucas😂😂❤❤❤🎉🎉🎉

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mwanadada nmempenda sana kwa maamzi yake mazuri aliyoyafanya hatassi wasikilizaji namini tumejifunza kitu hapa mutunzi malikia ubarikiwe sana umejua kuipanga vizuri hii simulizi

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 3 หลายเดือนก่อน +5

    Unajua kukeep promise Lucas Lumbas,,mungu azidi kukubariki,,NO WEAPON OF ENEMY SHALL HARM YOU IN GOD NAME,,AAMIIN

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 3 หลายเดือนก่อน +11

    Leo nimewah jaman 🎉🎉🎉 nipen like zangu vipenz za asubuh

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +1

      🌹🌹🌹

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 3 หลายเดือนก่อน +7

    Waooo Shukrani 13

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ahahahahahahahahahah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Lucas unatufanya wenzio watumwa yaani nilikuwa macho ❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂 nimelia jamn 😢

  • @MwajumaToh
    @MwajumaToh 3 หลายเดือนก่อน +4

    Haya kaka tunamalizia stoli yetu pendwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @QueenDenise-i9u
    @QueenDenise-i9u 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani nimepata funzo kubwa ubarikiwe sana kaka lucas nimeinjoy sana😅😅

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mishi ampende tu baba jay jamani iliapate mimba amkomeshe mume wake na mawifi zake 😂😂😂🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน

      @@zenaathumani8144 ❤️❤️

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 3 หลายเดือนก่อน

      @@avelinabaluhya2804 nikweli kabisaa yaani mmi siwapendi wakwe na mawifi wenye roho mbaya 😂😂😂🇮🇹🇹🇿

  • @jazilasaidi6055
    @jazilasaidi6055 3 หลายเดือนก่อน +8

    Upewe maua yako🎉🎉

  • @RehemasiryaKabahasha
    @RehemasiryaKabahasha 3 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂 baba Jay hoyeeee

  • @faithndenge-cz8pe
    @faithndenge-cz8pe 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mishi Safi Sana mpende akupendae 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 3 หลายเดือนก่อน +5

    Francoo mpemimba ya mapacha huyo mishi aachekujishaua

  • @suzanachambo4206
    @suzanachambo4206 3 หลายเดือนก่อน +8

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ya baba jay

  • @halimanafoo2468
    @halimanafoo2468 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nmewah

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 3 หลายเดือนก่อน +9

    Uko vizuri hongera 🎉🎉🎉🎉

    • @AshaKinyogo
      @AshaKinyogo 3 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Daaa hongera sana mishi ulicheza kama Pele piya derick hongeta sana ndio unaambia usikate tamaa katika maisha na kila mtu alipangiwa kuishi kwake asante bro lucas kwa hii simlizi tamu sana ya mapenzi one❤❤❤❤❤

  • @jawahirkahinmadar1459
    @jawahirkahinmadar1459 3 หลายเดือนก่อน +3

    Eti ndoa pole

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wakati unaondoka mbona hukwenda kwa katekista?😂😂😂😂 😂😂😂 huyo Derick hana msimamo,siku nyingine ataungana tena na ndugu zake watakutenda tena,asili ya mtu haibadiliki

  • @Aisha-oj9cx
    @Aisha-oj9cx 3 หลายเดือนก่อน +4

    Pongezi sana kwamaamuzi mazuri mishi minitakuta tu mishi 😁😁😁😁kwakweli unatakiwa una maamuzi ya mwisho sio sisi tu wanawake pia wanaume hongera sana lumbasi kwasimulizi tamu ya mafunzo,❤❤❤❤

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤ nikwel maisha nikujiamlia il uish kwaaman❤

  • @evalucas2143
    @evalucas2143 3 หลายเดือนก่อน +7

    😊😊

  • @aseaaaa5812
    @aseaaaa5812 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante simulizi zuri

  • @annociatenyandwi6251
    @annociatenyandwi6251 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nimekuwa 11 jamani ❤

  • @faithndenge-cz8pe
    @faithndenge-cz8pe 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Kwa hii simuliz imekua yangu mm

  • @KhadijaTsumo
    @KhadijaTsumo 3 หลายเดือนก่อน +2

    Oyoooooooo hatimae

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 3 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤

  • @suzanachambo4206
    @suzanachambo4206 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mmmmmmm ngoja tuone

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg 3 หลายเดือนก่อน

    Hii simulizi imeweza wallah.mtunzi ameitendea haki so mchezo🎉🎉🎉🎉hayo familia ya LLS .so ❤❤❤ly

  • @SifaMukundabandi
    @SifaMukundabandi 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa simulizi nzuri❤🎉🎉

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 3 หลายเดือนก่อน +2

    ᴷᵘⁿᵃ ᵏᵘⁿᵃᵏᵒ😅😅😅

  • @BethMdoe
    @BethMdoe 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kila shetan na mbuyu wake baba J kashanyandua Mishi😅

  • @ElizaSada
    @ElizaSada 3 หลายเดือนก่อน +1

    BABA JAY.SAWA❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @MamaSuzi-d3r
    @MamaSuzi-d3r 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bora ukatae pale pale maana Deric atakuja kukuua

  • @Rehema-co4xi
    @Rehema-co4xi 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jawahirkahinmadar1459
    @jawahirkahinmadar1459 3 หลายเดือนก่อน +5

    Utajuta huyo mtoto atapata shida iko siku derik atageukatuu

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka Lucas Lumbas Kwa kutuhitimishia fainali ya BABA JAY...hakika tumepata kujifunza mengi ndani ya hii story nzuri... usisahau kutuletea simulizi za kichwani 😅😅😅😅

  • @anithahalicy2715
    @anithahalicy2715 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani jamani asante Lucas kwa simurizi nzuri ❤❤

  • @sakinapili1569
    @sakinapili1569 3 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hadi wapigwe matukio ndiyo wapate adabu,shenzi sana,wanaondoka kama akili hazimo,matusi kama yote,pumbavu sana,mtu linakuganda kama luba chaa.

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 3 หลายเดือนก่อน +1

      😊😊😊

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤ wanaume kuashkisha adabu bila hvo wanajikia sn

  • @rauhiyasuleiman4626
    @rauhiyasuleiman4626 2 หลายเดือนก่อน

    Ila inahitaji ujasiri na kutokua na huruma

  • @MisstPromise
    @MisstPromise หลายเดือนก่อน

    Baba j j moto🔥🔥🔥

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 3 หลายเดือนก่อน +2

    🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️

  • @FatumaRamadan.Mwalim
    @FatumaRamadan.Mwalim 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ushauri wangu ukishindwana na mtu usianze mahusiano mengine kabla hamja malizana na mahusiano ya kwanza maana kama mishi alipo achwa angekubali ingekua heri mbelen kuliko uko kwenye ndoa na wachepuka si poa

  • @EdnaSteven-sr4tc
    @EdnaSteven-sr4tc 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa simulizi nimeipenda sana

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 หลายเดือนก่อน +4

    🎉🎉🎉❤

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +3

      ❤❤Mbona kmya nyie ote? Hamjafulah bajay kaondoa machungwa ya mwanamke mwezetu? Mh hv ndvo inatakiwa Mt akkuona hufai😂😂

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 3 หลายเดือนก่อน +2

      Akikuona wa nn Kuna wale wanasema nitampata lini mm Hadi Leo nna miaka 44 yrs na Bado Kuna wanao taka kuniowa ila siamini Tena katika mapenzi Kwa Nini iwe sasa huenda mafanikio yangu ndio sababu Wala si. Mapenzi 😊😊😊

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hongera mwaya,umevuka magumu♥️

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@avelinabaluhya2804 weeachat kunakat hua nacheka km chiz aginesi shabiki mwezetu wasimliz anapenda kuandka wanaume ote nimbwat🤣🤣

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน

      @@TeklaNdekeja maisha tunapanga,lakini hatima yetu imo mikononi mwa Mungu,kila aina ya maisha ni sawa tu,anaesema wanaume wote ni mbwa hata babake pia?

  • @hafsasaid9666
    @hafsasaid9666 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muda mwingine binadam dam haziendani kwenye kuzaa ila mawifi tuache kuingilia ndoa za kaka zetu 😢

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie ndoa mbili zakanisani hata bila mume wazamani Kuga dooooh hii sijawai sikia

  • @nchidabajuma9401
    @nchidabajuma9401 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mishi muache ajinyonge mwana kuyafind ndo kuyaget kinyaga kubwa kubwa mamii

  • @AleKhan-k3z
    @AleKhan-k3z 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu derick ni kama hanisi hazalishi yy ndiye mwenye shida huyo mke wake alivumilia sana

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 3 หลายเดือนก่อน +4

    Unajiitaje malaya wakati umetangaziwa kuachwa?

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana ❤❤❤

  • @LovenessMsangi-u7r
    @LovenessMsangi-u7r 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo habadiliki

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 3 หลายเดือนก่อน

    Acha mishi apoze moyo kwaajili ya isia zisimuumize

  • @FrancineBulonza-vh6ti
    @FrancineBulonza-vh6ti 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sarahbimpa4452
    @sarahbimpa4452 3 หลายเดือนก่อน +2

    Alipitisha muda tuu, Franco njo mume, Nadia y’a kupigwa kilasiku ?? Y’a nini?

  • @Reemysidimaojo
    @Reemysidimaojo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nani anaona baba jay atachukua mke

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 3 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅🤔

  • @MamaSuzi-d3r
    @MamaSuzi-d3r 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani Mishi unataka kurudi Tena Kwa Deric ukaendeleze kibondo? Usikubali Tena nenda kwenye tulizo la roho yako

  • @Lightkiboga
    @Lightkiboga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hello..hebu naomb kuuliza ni kwamba kwa Wakristo hii imekaaje kuwa na ndoa ya pili i mean kwenda kufunga ndoa nyingine

    • @OsamHussein-g6e
      @OsamHussein-g6e 3 หลายเดือนก่อน

      Iko hivi kama wewe ni Roma na ulifunga ndoa roma then mkaachana kwa taraka ya mahakamani , Roma inahesabu una ndoa kama mwenza wako yupo hai
      Lakini ukienda Dhehebu lingine mfano walokole ama sabato unauwezo wa kufunga ndoa ni Roma tu ndio wenye misimamo mikali kwao hawa wengine wanapokea

  • @shareefahGomah
    @shareefahGomah 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EdnaSteven-sr4tc
    @EdnaSteven-sr4tc 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa simulizi nimeipenda sana

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 3 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HaluwaMosi
    @HaluwaMosi 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

    • @AnitaBocian
      @AnitaBocian 2 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉❤❤❤❤❤