habari mashabiki zangu!maoni yenu nimeyaskia sana ila kiukweli nimepata changamoto kubwa hadi kumaliza hii season one..changamoto kubwa ni kwa baazi wa wasanii kutofika kazini kwa mda sahihi ndio maana nimechelewa kutoa kazi,niseme tu leo tunamalizia season one na week ijayo nitawaletea tamthiria mpya ambayo itakayo kua inaruka kila baada ya siku mbili🙏🙏🙏🙏🙏hii ni kwaajili yenu mashabiki zangu🫶🫶nawapenda sana na asanteni kwa kunifatilia...pia melisa season 2 itakuja baadae ikiisha hiyo tamthiria mpya
Pamoja sana ndugu zangu tulikua pamoja toka ep 1 had mwisho hemedy chande tunakuombea kwa mungu akusaidie utuletee movie nyingine nzuri kama hii au zaidi 🤝🤝🤝🙏
tokaa nianzee kuifuatilia hiii movei sikuwai kucomenti kituu chochotee mpakaa leo hii inaishaa kiukwelii movie kalii sana naweza semaa ni movie yang ya kufungia mwaka ata ivooo mmejitahidi san ata finish imeenda sawa pamoja sanaa brooo
Asante sana kwa mwisho mzuli sana nimefurahi sana Melissa kurudiana na hemedy chande naomba mungu awalinde sana ira mmenifanya nimelia sana leo jamani nawapenda sana mwaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤🎉👎🙌👍🤛🌷🥀🌹🇹🇿👍👋💕❤️🖐️🙌🙌👎👍 hiki kipande nilikisubili kwa hamu nilishindwa Hadi kununua mbiga za watoto wangu nikiwa nabania hela ya bando duuu💐🔥💯💥💥👐🤸🇹🇿❣️💯💐🔥
Kazi nzuri sana congratulations 🎊 👏 💐 🥳 🙏 Mr handsome 😘 💖 😍 ❤️ much love from saudi to Kenya ila nilikua naombi mtoe hii song ya melsa ni nzuri sana 😊 💖 😄 niombi sio amri
Pole kwa changamoto but mpk hapa ulipofika umefanya kazi kubwa sana na nzuri sana kiukweli🌹🌹 inshallah mwenyezi mungu azidi kufungua njia zako za mafanikio yako 🙏
habari mashabiki zangu!maoni yenu nimeyaskia sana ila
kiukweli nimepata changamoto kubwa hadi kumaliza hii season one..changamoto kubwa ni kwa baazi wa wasanii kutofika kazini kwa mda sahihi ndio maana nimechelewa kutoa kazi,niseme tu leo tunamalizia season
one na week ijayo nitawaletea tamthiria mpya ambayo itakayo kua inaruka kila baada ya siku mbili🙏🙏🙏🙏🙏hii ni kwaajili yenu mashabiki zangu🫶🫶nawapenda sana na asanteni kwa kunifatilia...pia melisa season 2 itakuja baadae ikiisha hiyo tamthiria mpya
Tunakupenda pia bro❤
nifanye namm niwe muigizaj wako jmn napenda sana kuigiza🙏
Daah ingependeza zaid kama ungemalza kbx melisa then nyingne
Pamoja saaana💪💪
Pole kwa changamoto,pia hizo changamoto zisikukatishe tamaa,tupo pamoja
Hemedy Chande unastahi wewe nimwigiza pambe nagurupu lako ❤❤❤ mnastahiki kuvishwa taji tunapenda
Pamoja sana ndugu zangu tulikua pamoja toka ep 1 had mwisho hemedy chande tunakuombea kwa mungu akusaidie utuletee movie nyingine nzuri kama hii au zaidi 🤝🤝🤝🙏
MELISA, ni picha ambayo kifupi nmeipenda sana, like nyingi kwa wanaoungana na mimi💞
Mmmh
Melisa ni movie ambayo naipenda San lkn inachelewa kutoka San so jitahidini kidogo kwenda namuda❤️❤️
Haito patikana Tena nyimbo Kama ya Melissa jamani nzur sana ❤❤❤❤
Duuuh finally imetoka,maana kila mara nnachungulia, Happy JAMHURI DAY wakenya wenzangu❤
Tumechungulia sana Kila time aki... Happy Jamuhuri day too 😊😊🇰🇪💪
😂
Kumbe tuko wengi😂😂
Happy jamhuri Day 🎉🎉🎉
😂
Mwangapi wamependa Melissa kuludi kwa hemedy chande ❤🙏
Hemed nunca me decepciona. Ninamkubali sana.
Mimi hap
I like melisa to be with hemedy
@RuthNyakoa-tq2xn hongera Sana 🙏
@@ManuelCornelioBentoBento hongera Sana
Tamthilia nzuri sana fupi haichoshi, tamthilia ikiwa ndefu inaanza kupoteza ubora, nimeipenda sana
tokaa nianzee kuifuatilia hiii movei sikuwai kucomenti kituu chochotee mpakaa leo hii inaishaa kiukwelii movie kalii sana naweza semaa ni movie yang ya kufungia mwaka ata ivooo mmejitahidi san ata finish imeenda sawa pamoja sanaa brooo
Oya we lipangwalo na mwenyezi mungu uwezi lipangua atimaye hemedi kamchukua merisa piya ongera hemed natim yako kwa kazi nzuri
Wakwanza leo naomba likes hata moja toka niangalie hii series sijapata hat like moja 🎉🎉much love from 🇰🇪
daah salute mark movie inagusa moyo kabisa nice bro God bless you
Duh! mumejuwa kunitoa chozi 😢 kazi nzur san ❤❤🇰🇪
Hemedy brother nitamisi mziki pia movie ya Melissa daaa ni Bomba sana nyengine ni gani
nimefatilia mpak mwishon na kiukwel mv n nzur mnoo japo nimara yang ya kwanz kufatilia mv za kibongo❤❤❤❤❤❤❤
Kaz nzury napend ❤sn tamthilia zak mungu akufnyie wepes Kwa kil hatua
Hapa umetixha kaka nimeangalia move zako nyingi ila hiii niliipokea kwa hcia kubwa mno nawapenda sana
Hongeren sana kwa kazi nzuriii tunatumain utatuletea kazi nzurii zaid na zaid
Melisa nimeipenda ilikuwa twaomba mutefanya harka na sbr hiyo tamtiria mpy kwa hamu ❤
Tunaomba uendelee na season 2 kwanza ndo uendelee na nyingnee chande❤❤❤
Plz endelea na season 2 kwanza nyengine badae plz
Ndio kabisa
Ooooh!!! Melisa karibu tena nyumban nimecheka mpaka nalia ❤❤❤
Asante sana kwa mwisho mzuli sana nimefurahi sana Melissa kurudiana na hemedy chande naomba mungu awalinde sana ira mmenifanya nimelia sana leo jamani nawapenda sana mwaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
nakukubal sana brooo pia hongera sana kwa KAZI nzuri
Kutoka Kenya wakwanza likes kwa sana tu🎉🎉🎉🎉
Mark na Melisa watafanya watu walie baaana ,,hizo feelings men💔😍😍
Wakwanza kutoka Bujumbura. 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 0:27 Naomba Like 🎉🎉
Safi san bro muve nzur san ila hiyo ijayo usimsahau Melissa
Waaah mumeikimbisha sanaa hii movie ila muliicheza kwa moyo mmoja sana hongereni sana chandes entertainment.....more movies
Kiukwel hii episode nmeipenda sana nkuomba ucichelew kutoka Melisa episode 2 plz🙏
nakubali kaka lakn huyo melisa muoe anakufaa sana mwanamke mzru sana
❤🎉👎🙌👍🤛🌷🥀🌹🇹🇿👍👋💕❤️🖐️🙌🙌👎👍 hiki kipande nilikisubili kwa hamu nilishindwa Hadi kununua mbiga za watoto wangu nikiwa nabania hela ya bando duuu💐🔥💯💥💥👐🤸🇹🇿❣️💯💐🔥
Hakun mtu yoyote wakunambia kuw yeye ni wamwanzo km sio mm ndan ya sekunde 5 nimeinasa MELISA kubababake😅
Wow,sema mmechelewa sana daah had tumesahau
Mr hemed hongera sana. Nice job nilikua sambamba na wewe mwanzo mwisho heshima kwako asee umetisha ❤❤❤❤❤❤❤
Kazi nzur kak mungu awaongoze katika kazi zenu
Umetisha san allah awe pamoja nawe sisi tunasubir kazii zako tyuu 🎉🎉
Wangapi hawakutaka SEASON ONE melisa isi ishiye hapa??☝️☝️☝️
Miye sitaki
Jamani sijawayi kuwa wakwanz amlalagi mchana wadahu😮😂😂ila nawapend sn❤❤❤❤🎉😊
Tatizo mnachelewa sana kutoa hapo ndo itakuwa mwisho au❤❤❤❤
Ila bianfs ningependa kuona melisa season 2 jmn nataka kuona wht next hongera uko vzr kz nzr xn
Hemedy chande may God give you strength you are very talented brother🎉🎉🎉🎉🎉
Waah hii episode Kwa kwel imeenda sna ata tuseme kwaka moja baadae lkn imeisha vzr❤❤❤❤
Safi Sana tunasubiri season 2 msichelewe bana
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉pokeeni maua yenu nimependa huo usurious wenu kifupi mko vzr humo ndani.
Nimekuwa wakwanza I from Burundi jaman like nying jaman
Bulundi sehem ngani jamn
Funga mwaka❤❤❤❤penda sana sijapenda mbna imeishia pazur
Nimependa sana movie zako plz nyengine plz nikiangalia movie zako siboeki ni Fatma kutoka KENYA
Yan hili ni bonge la move👏
Nakubali bro tupo na wew mbaka mwisho 🎉🎉
Hongera kw pich zako Zina mafundisho mengi katika dunia yte ypo hyo
Wakwanza team trong kazi nzur ila munachelewa sana mpaka tunasaau
That's amazing 🎉 namuombea mod piaapate wa kufanana naye atakaye mfanya asahau maumivu
Like kwangu jmn kama umetoka kuangalia mpngaj,mission impossible , dunia kisha mellisa ❤❤
Aysee ya I unepita mule2 yank hizo zote ndio movie zangu pendwa kwa hapa tz aysee zinakamua sana 😀😀😀
Oya wee umesahau kipesile samahani asante my daughter ya clam sio p❤🎉
Kazi nzuri sana congratulations 🎊 👏 💐 🥳 🙏 Mr handsome 😘 💖 😍 ❤️ much love from saudi to Kenya ila nilikua naombi mtoe hii song ya melsa ni nzuri sana 😊 💖 😄 niombi sio amri
Napenda movie ila machozi yangu hajifiche 😢😢 daaaah nalia jamaniiii 😢😢😢so thank you very much my family people 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Picha kali sana hemed unajua yan unajua tena naweza rudia kuangalia mara 10 kbsa na sichoki wallah
Hemed chande umetukosea sana Melisa inaishaje mapema ivyo sehemu Tamu nd inaishia
Bro De movie was awesome frl ur there legend u did good I congratulate u big up we kenyans like ur movies feel blessed
Duhh kazi kali mpk inatoa machoz😢😢
ALLAH awalipe kwakwali movie mmeipeleka vizuri sana 😊😊 japomme tuchelewesha sana 😊 ila shukran sana kaka HEMED NA DADA MELISSA PAMOJA NA WENGINE 😊😊😊😊😊
Pole kwa changamoto but mpk hapa ulipofika umefanya kazi kubwa sana na nzuri sana kiukweli🌹🌹 inshallah mwenyezi mungu azidi kufungua njia zako za mafanikio yako 🙏
Good job,ila munachelea sana,tunaisubiri kwa hamu kubwa Mélissa Season 2
Ambao tumetoka toka episode ya kwanza mpaka leo hii kwenye Final tupo pamoja, like hapa tujuane❤
Huku tukisubiri Session two
One of the best quality love story in 2024 you deserve kupewa tunzo,,,,, movie fulan fupi haichoshi una enjoy kuangalia
Umetisha sana mkuu sema unachelewa sana broo
Hiii nyimbo nimeipenda sana melissa❤❤❤ love waiting season 2
Asante sana wanduguzetu tunainjoi sana tena sana 🙏🏾🥀🥀🥀🥀🥀
Hongera sanaa Hemedy kwa kazi nzuri🎉🎉🎉❤❤❤👏👏👏💪 nangoja season 2 nimefurahi sana Melisa kuonana n Mack
Kaka Bora. Hata. Ungetia. Kwanza. Melisa. ❤❤❤❤❤❤
Ni nzur sana lakini hao wanawake mavazi yao yamezidi jaman wanaume wanavaa vizuri tu la wanawake lahaulaaa
dakika ya 10 comment70🙌watu mpo vzur asee😂😂😂
Kutoka kenya 🇰🇪 fan wako sana ila tumesubiri sana finally its here ❤
Pamoja sanaaa kaka 👍🏽
Maiko kwanza mimi ningekuwa mwanaumeningemuowa mulisa namupenda sana 💋💋💋
Wakwnza leo kutoka saud team strng together ❤💪
Uko natuchelewesha big tuna kupenda sana Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Tuna subiri season 2 Inii Shaa Allah 🙏🏽 mungu awarinde tunawa penda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Napenda San movies ya mellissa naifatilia San ❤❤🎉
Mwisho sijaupenda mark wetu kwanini kawa hipo ?
Daaaaa me nimeipenda sana alafu iyo nyimbo yake iyo naipenda sana sana
Kutoka dr Congo ndani ya top 100comments nipo
Gud episode umeimaliza vizuri congratulations 👏👏👏
Wakwanza mm hap naombeni like zang
Yaya nashukuru sana kuwaona mara tena wana chande ila mumewahi kuimaliza tuliipenda sana Melissa RDC
Nili isubili kwa hamu naomba like zangu nimekuwa wa kwanzaaa❤
Movie nzur ata nataman isiishe iendelee kila siku😢😢😢hongera melisa❤❤❤🎉🎉
Tunaomba huu wimbo wa melisa am in love with you
Congratulations bro u did well melisa one ilikuwa poa sana
Nmekuwa wa kwanza leo❤❤
Thank you hemedi chande mmenifulahisha saaana be blessed nliafuatilia kutoka mwanzo kufika mwisho❤❤
Mack ukovizuri kwa muvi hiiturijua mapenzi uriyompa razima akuzalie mtoto unatahiri mpendwawetu Mack 🎉🎉🎉Melisa unabahati jivunie Erene Tupauko 😮😮😮
Nakubali unajua kutengeneza story ipo kama ya kihindi
Kutoka Saudi Arabia nimeipenda Sana ❤❤❤❤
Hatimae melissa karudi kwa chande wake tunawapenda sana❤🎉
Hata dakika haijafika ila mpo kibao🤣🤣
Yooo Hemedy tumaliziye kwanza iyi tupate raha 😢imeishiya pazuri sana❤
Hii scene ya mwisho mliyokutana na melisa imeniliza wallahi
😢😢😢😢
mtto wakiume jikaze wewe
jamani naomaba mtoe tenasehem yapili hii nimeipenda sana mm ❤❤❤❤❤❤❤
Mh ila manz Melisa bonge pic apewe hongere zake
Congratulations Allan awe nae movie nimeipnda snaaaa!! Melissa upewe maua yko 🎉🎉🎉🎉❤