BABA MDOGO |12| love story : Mkojani_Kamugisha_Bushura

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • #mkojani #lovestory

ความคิดเห็น • 156

  • @rajabmatusi9583
    @rajabmatusi9583 หลายเดือนก่อน +7

    Stori niyakufuraisha nakuburudisha sana.well don mkojan gang

    • @user-zc1qh6ti2p
      @user-zc1qh6ti2p หลายเดือนก่อน

      Mh hii haina kiburudisho ata chembe

  • @user-tc5le7sv7t
    @user-tc5le7sv7t หลายเดือนก่อน +2

    Nakupa pole tu kamgisha bro ila hili funzo kumbwa washilika sio tunatazama tu jamn na kujifunza pia 😢❤❤❤❤❤

  • @mwangasonimwanga5850
    @mwangasonimwanga5850 หลายเดือนก่อน +10

    Hii movie hatari sana kamgisha kazi anayo pia Kuna lakujifunza kupitia hii movie

    • @AbuumohamediLugendo
      @AbuumohamediLugendo หลายเดือนก่อน

      Asee kweli

    • @CAPTAIN_GALAXY13
      @CAPTAIN_GALAXY13 หลายเดือนก่อน +1

      Cha kujifunza ni kutokuhakikisha unakulaa nyumbani 😹😹unatakiwa ule nje tu

  • @ShizoMsosa
    @ShizoMsosa หลายเดือนก่อน +1

    Dah noma hii movie

  • @djkingtv4400
    @djkingtv4400 หลายเดือนก่อน +3

    Dah hii mov nimeikubali sana asee mkojani tunaomba iishe vizuri matukio yote sio inasha kama inaendelea😊😊

  • @user-fw2jk3mx7g
    @user-fw2jk3mx7g หลายเดือนก่อน +7

    Kamugisha huwezi kukikwepa kikombe cha lawama kutoka kwa bibi yako na baba yako

  • @ramadhaniabdulahi5191
    @ramadhaniabdulahi5191 หลายเดือนก่อน

    Big up sana Mkojani gang

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf หลายเดือนก่อน +7

    Toka jana wamelala wanaaamka nguo hawabadilishi😂😂😂😂

    • @uswazitv687
      @uswazitv687 หลายเดือนก่อน +3

      Kwenye matatizo haya unabadilisha vipi nguo kuwa na akili na ww

    • @nelsonandanyi
      @nelsonandanyi หลายเดือนก่อน

      ​@@uswazitv687Kweli

    • @donaldelias2267
      @donaldelias2267 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂toka sehemu ya kwanza

    • @MohammadSwaghir
      @MohammadSwaghir หลายเดือนก่อน

      Wewe uwezikukaa ciku mbili bilakubadilishs nguo ovyooo

    • @andrewkilave3532
      @andrewkilave3532 หลายเดือนก่อน

      Hizi scene zimechezwa siku moja

  • @enockjoe
    @enockjoe 28 วันที่ผ่านมา

    movie ya mafunzo mengi kweli asante mkojani ❤

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 หลายเดือนก่อน +2

    Kilicho mkutq kamugisha ni kma ile nyimb ya husen machozi...

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj หลายเดือนก่อน +1

    Flash back nyingi kweli
    Si mumalize Tu series

  • @yasserahmed9420
    @yasserahmed9420 หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanza nipewe like😂😂😂🎉🎉🎉

  • @FahadAli-ni5eu
    @FahadAli-ni5eu หลายเดือนก่อน +1

    My favorite comedian

  • @user-ml1pj9lt8d
    @user-ml1pj9lt8d หลายเดือนก่อน

    Congratulations of this moves mr Mkojani we are to gether of best work🎉❤

  • @EstherJohn-w9p
    @EstherJohn-w9p หลายเดือนก่อน

    Kwahyo move m0ka inaisha nguo hamja badili😅😅😅kwer bongo move

  • @user-fe7vh7io1g
    @user-fe7vh7io1g 29 วันที่ผ่านมา

    Muwe mnabadilisha na nguo basi mkojani

  • @MariamGuyo-c2w
    @MariamGuyo-c2w หลายเดือนก่อน +3

    Sauti imetoka ya kamogisha jamani😂😂😂😢

  • @InnocentArmadillo-do9vm
    @InnocentArmadillo-do9vm หลายเดือนก่อน

    Team mkojani gang good work 💯💯💯👍👍🔥🔥👌👌

  • @lovenessmariam2040
    @lovenessmariam2040 หลายเดือนก่อน

    movie Iko 🔥🔥 kijana umeyakanyaga

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 หลายเดือนก่อน +3

    Episode 3 zote sini imefanana mmerefusha tu halafu dakika chache 11 kwa 8 matangazo dakika 4 mpaka 5

  • @DayanaStanford
    @DayanaStanford หลายเดือนก่อน +1

    Mkojani is the best 😘😘👌

  • @jacksonmkomboz2408
    @jacksonmkomboz2408 หลายเดือนก่อน +2

    Team mkojan 👍👍👍

  • @MwajShabani
    @MwajShabani หลายเดือนก่อน +2

    Wakwanza❤

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤

  • @hafsamussa333
    @hafsamussa333 หลายเดือนก่อน +2

    Kamugisha ndio unakumbuka leo wema wa bab yako mdogo 😢

  • @Barakamchumia
    @Barakamchumia หลายเดือนก่อน +1

    Saf canaa mkojan

  • @TaufiqMeneja
    @TaufiqMeneja หลายเดือนก่อน +4

    Bushura Ana roho ya paka atafefuka tena😊

    • @mohdhaji550
      @mohdhaji550 หลายเดือนก่อน

      Hahhahaha

    • @joselynenizi9475
      @joselynenizi9475 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😂😂😂😂

  • @user-df1fr1zg6v
    @user-df1fr1zg6v หลายเดือนก่อน +2

    Kweli jembe 😂😂

  • @milithonabedy7568
    @milithonabedy7568 หลายเดือนก่อน +2

    Huna baya mkojani

  • @CAPTAIN_GALAXY13
    @CAPTAIN_GALAXY13 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kiukweli hiki ni chumba au korido😹😹sioni nguo, hamnaa kitu zaidi ya kitanda tu, au wengine mmeona kitu

    • @husseinhassani5386
      @husseinhassani5386 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 chumba huwa kitanda tu.

  • @hajisimai8211
    @hajisimai8211 หลายเดือนก่อน +2

    Wa kwnz ndog au hamtak

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kamugish mungu hpo akusaidie nini.. si/ulikataa kuoa

  • @leeheyon
    @leeheyon หลายเดือนก่อน +1

    😂😮 on time gang fams🔥📻

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 หลายเดือนก่อน +1

    Mkojani kuna kitu tunafeli apa, hivi mbn mpk muda huu hatujaongelea chcute hasa kuhusu suala la Kazini kw Kamugisha

  • @makamemakame6959
    @makamemakame6959 29 วันที่ผ่านมา

    Hapa mnatakikana mtoe comments kulingana na mchezo na sio kuomba like.Ukiomba like itakuwa umekwenda kinyume na lengo la waigizaji

  • @albashirkombo8328
    @albashirkombo8328 หลายเดือนก่อน +1

    Kamugisha atafanya nini wala atatenda nini jamani 😂 huu mtihani huu

  • @user-hf2up7uw2e
    @user-hf2up7uw2e หลายเดือนก่อน +4

    Bhana mnaznguw toen maiti ndan mamb mengne yaendelee...sio kutuzungusha tu

    • @Almarsprince254
      @Almarsprince254 หลายเดือนก่อน

      Umeona ee. Toka ep 6 mpaka sai twazungushwaaa ee😅😅😅

    • @user-zp4zc2ln2n
      @user-zp4zc2ln2n หลายเดือนก่อน

      Wanaboesha tukio niilo moja tuu kila sku

  • @nelsonandanyi
    @nelsonandanyi หลายเดือนก่อน +1

    Afu Kamgisha uko na Moyo kaka.... Maiti ndani nawe!

  • @user-jg6ks5yd5x
    @user-jg6ks5yd5x หลายเดือนก่อน

    Mashakaa km hayo unakuwaa huna mda wa kubadilishana nawakubali wametisha

  • @hildasanga7234
    @hildasanga7234 หลายเดือนก่อน

    Kamugisha mjinga sana

  • @ThePlants-zc3rp
    @ThePlants-zc3rp หลายเดือนก่อน

    kamugisha na utopolo dam dam🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Ramlapesa
    @Ramlapesa หลายเดือนก่อน

    I love mkojani and kamugesha

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 หลายเดือนก่อน

    Waiting siku ya pili ainuki apo mmechemka

  • @SalimuShaban-gh7cc
    @SalimuShaban-gh7cc หลายเดือนก่อน +16

    Kuna matahira yatakuja kuomba like sasa iv

  • @AlfredDavid-n7t
    @AlfredDavid-n7t หลายเดือนก่อน +1

    Kamugisha anamuona b mkubwa mkuda 😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-qm2kb1ln7p
    @user-qm2kb1ln7p หลายเดือนก่อน +1

    Mkojani🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Twilumba
    @Twilumba หลายเดือนก่อน

    Mkojan we cheza tu mke kafa ndan umo

  • @jacquelinegama8001
    @jacquelinegama8001 หลายเดือนก่อน +1

    Nimewahi
    Mzee achia vitu hivyo tunazurura yu tu bu hadi tunachanganyikiwa bando zitakata baba😋😋

  • @paullluhanyapaullluhanya2446
    @paullluhanyapaullluhanya2446 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaoamin bushura atafufuka gonga like

  • @user-df1fr1zg6v
    @user-df1fr1zg6v หลายเดือนก่อน +2

    Ya 13 isichelewe sana sasa

  • @sadiqabdi6434
    @sadiqabdi6434 หลายเดือนก่อน

    Kamugisha kausha kiume

  • @jumannemalungo5018
    @jumannemalungo5018 หลายเดือนก่อน

    Imekaa vizuri

  • @tembatembele5332
    @tembatembele5332 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee weka tuweke

  • @kelvinnyunza-us9jj
    @kelvinnyunza-us9jj หลายเดือนก่อน

    💥💥💥💥💥

  • @abuuqamar58
    @abuuqamar58 หลายเดือนก่อน

    Funzo kubwa sana

  • @MwajShabani
    @MwajShabani หลายเดือนก่อน +1

    Mkojani🎉🎉🎉

  • @kassamsuleiman5590
    @kassamsuleiman5590 หลายเดือนก่อน +2

    Hicho kitasa cha mlango wa Kamugisha mbona kitakoma😂

    • @mc-bii228
      @mc-bii228 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @hamso69
      @hamso69 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @amaniburton7385
    @amaniburton7385 หลายเดือนก่อน +3

    Naombeni like wakwanza mie

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 หลายเดือนก่อน +1

    Haya tunaomba iyo episode 1 ilobakia😂

  • @alfredngwenya9754
    @alfredngwenya9754 หลายเดือนก่อน +1

    Watu mko chap sana

  • @yasinmhando6376
    @yasinmhando6376 หลายเดือนก่อน

    Huo wimbo nahisi ni wa Kai music, uwe official released Sasa

  • @user-qq4zr3sk2g
    @user-qq4zr3sk2g หลายเดือนก่อน +1

    Huyu bibi nae kilichomleta mjini nnini😂😂😂 mambo yote yamevurugika maskini Kamugisha 😢😢

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 หลายเดือนก่อน

      Yeye sio sababu amekuja msalimia mwanae Kuna ubaya Gani?

    • @user-qq4zr3sk2g
      @user-qq4zr3sk2g หลายเดือนก่อน

      @@saumbliz8983 ndio funzo hilo kwa dunia ya sasa ni bora kutoa taarifa kwanza hata kama unaenda kwa mwanao🙌

  • @magariabdallah8066
    @magariabdallah8066 หลายเดือนก่อน

    Kamugisha kimbia mji hapo hapafi tena utaenda jela kaka

  • @barakalonare1422
    @barakalonare1422 หลายเดือนก่อน +1

    Tueekee vitu bana unatukata stimu

  • @user-vh7gw3we5z
    @user-vh7gw3we5z หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉kaz nzur

  • @ShabanNassor
    @ShabanNassor หลายเดือนก่อน +1

    Doooh

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya หลายเดือนก่อน

    Ila dakika nindogo saana 😢

  • @jeanclaudebucumi1538
    @jeanclaudebucumi1538 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni wakwanza kuiona

  • @winielema-lf9kz
    @winielema-lf9kz หลายเดือนก่อน +1

    Wakwanza mimi

  • @KondoFundi-fl5td
    @KondoFundi-fl5td หลายเดือนก่อน

    Kamugisha yeye amwambie ukweli baba yake tu sasa ataendelea kuficha ficha mpaka lini

  • @AbdullahAlZaabi-on4tb
    @AbdullahAlZaabi-on4tb หลายเดือนก่อน

    Kamugisha.umeuwa

  • @mr.khalef
    @mr.khalef หลายเดือนก่อน +1

    like jaman❤❤❤

    • @user-zc1qh6ti2p
      @user-zc1qh6ti2p หลายเดือนก่อน

      Like ya nyoko

    • @mr.khalef
      @mr.khalef หลายเดือนก่อน

      @@user-zc1qh6ti2p hhhhh

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya หลายเดือนก่อน

    Na kunakutu kweli 😂

  • @mikefanuely6836
    @mikefanuely6836 หลายเดือนก่อน

    Duh kwani kilichomuua huyo dada ni kitu gani😂😂 na unakaaje na maiti siku zote😂

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo หลายเดือนก่อน

    Mambo nimoto San 😢😢😢

  • @BarakaProtas
    @BarakaProtas หลายเดือนก่อน

    Kaka mkojani tuongezee dakika

  • @twalbumziwanda
    @twalbumziwanda หลายเดือนก่อน +2

    1

  • @user-zu8yr7mh4h
    @user-zu8yr7mh4h หลายเดือนก่อน

    Like kidogo kwajili ya mkojani gang jamani naombeni

  • @SimonSiwelwa
    @SimonSiwelwa หลายเดือนก่อน

    Ninachakujifunza kupitia hii movi

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 หลายเดือนก่อน +1

    Naamini sehemu inayofuata kamugisha atapatikana, mama alikwisha mshtukia kamugisha chumbani kwake.16.07.24.

  • @yussufchumy6345
    @yussufchumy6345 หลายเดือนก่อน

    Mkojani mbona kamugisha habadilishi nguo ?

  • @Sidee-r6r
    @Sidee-r6r หลายเดือนก่อน

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @IvanyJames
    @IvanyJames หลายเดือนก่อน

    +27🇿🇦🇿🇦hii nibonge moja la movi Lina mafuzo yalo jitosheleza kiukweli nasiyo mijoka joka bro mkojani upo vizuri 🇿🇦🇿🇦

  • @rasakakaombwe
    @rasakakaombwe หลายเดือนก่อน

    Mbona kila siku nguo zilezile

  • @jumahamisi4660
    @jumahamisi4660 หลายเดือนก่อน

    Soppwa

  • @Twilumba
    @Twilumba หลายเดือนก่อน

    Kamugisha punguza kulia unapunguza utamu

  • @user-zc1qh6ti2p
    @user-zc1qh6ti2p หลายเดือนก่อน

    Kamugisha fanya mpango uwadanganye kuna mwili umeonekana baarini ili upate nafasi ya kutoa maiti

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 หลายเดือนก่อน

      😂😂 hiyo akili anayo sasa

  • @kasimukigoda8974
    @kasimukigoda8974 หลายเดือนก่อน

    Kwak ujasiri wa mtu kukaa na maiti siku 3

  • @user-lf7sg1vx8w
    @user-lf7sg1vx8w หลายเดือนก่อน

    Inakuja kuzingua sio siri why mait ictoke ndani konakona nying au ndo cmnt ziwe nyngi z malalamik

  • @stephanojacksonmatanga9809
    @stephanojacksonmatanga9809 หลายเดือนก่อน

    Mbna vpnde vidgvdgo sana bhna

  • @user-vt5ug9uu7y
    @user-vt5ug9uu7y หลายเดือนก่อน

    jamani wanaofatilia mkojani gang hii move dhuli ila haivuki 20 episode ninavyo iona inako elekea

  • @zebedeemkallah5610
    @zebedeemkallah5610 หลายเดือนก่อน

    Kamugisha kazi anayo😢

  • @jumahamisi4660
    @jumahamisi4660 หลายเดือนก่อน

    Leta cha mwisho

  • @nobodyttouch8157
    @nobodyttouch8157 หลายเดือนก่อน

    tumalizie bb😂😂😂😂😂

  • @AlfredDavid-n7t
    @AlfredDavid-n7t หลายเดือนก่อน

    Nouma sanaa hii move mkojan upewe mauwa yako

  • @KondoFundi-fl5td
    @KondoFundi-fl5td หลายเดือนก่อน

    Kamugisha lazima atashutukiwa kutokana na wasiwas

  • @albartdastani3412
    @albartdastani3412 หลายเดือนก่อน

    WATUNZI WAZURI HAWAZUNGUSHI STORI NAMNA HII MNATUFANYA MPAKA TUJUE NINI KINAFATIA ,TOENI MAITI NDANI MAMBO MENGINE YAENDELEE WAZENI SANA WAZEE BANDO ZETU ZINATUMIA PESA PIA

    • @AliK-tc2et
      @AliK-tc2et หลายเดือนก่อน

      Hebu tuletee stori yako moja tuone

  • @gharibsuleimanjahag7276
    @gharibsuleimanjahag7276 หลายเดือนก่อน

    Muvi itaisha muda c mrefu

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤