Hata beki akifanya faulo ni makosa ya kibinadamu kwani hapaswi kufanya faulo , na bado pamoja na mbinu chafu nyingi mnaenda kunyoishwa na tabora kwa sababu hamchezi mpira kwa kumaanisha Bali kukamia timu na hata papatu zeny bado mnanyukwa tuuuuuuuu!
Yani ikicheza na simba unafungwa na makosa ya kibinadamu na sio uwezo tumeona kwa yanga ngao ya jamii wakafanikiwa kupunguziwa idadi ya magoli kwa makosa ya kibinadamu azam yleyale , leo Dodoma jiji hii ni aibuu mbaalibu ligi mapema watu wanashinda kwa kubebwa sjui maelekezo , Tff mseme mapema kama mwaka huu akuna ligi ni ubingwa wa maelekezo
You are right mmejitahidi. Penalty ilikuwa sahihi sana
Kwanza kakesha anaroga uwanja ili aifunge Simba atakuja Dar huo moto atakaoupata atajuta vimekalia uchawi tu
hiyo ndy maana ya mpira ukifanya makosa unahadhibiwa#UbayaUbwela❤
Basi mnatakiwa kuwa na kiwango hichohicho hata kwa timu nyingine na sio timu za dar pekee
Sasa kama unasema hujapoteza basi hongera kwa kupata point 3😂😂😂
Hyo penat hata kipofu angetoa penat
Uyo msemaji mdomo umsaidie kula zabibu 😂😂😂
Hovyo HUFAI KUWA MSEMAJI. Umeongea kama vile haujauona mchezo.
Penati ya uwongo ais3eee😂😂😂😂
Acha story mengi
Ukome na Domo lako mara nyingine uwe na adabu 😂
MANARA wa Dodoma😢😢😢😢
Tutawalipia sisi singida black star
Marefa ndo wanawapa kibri awa timu ndogo kwa kuzibeba timu kubwa kama yanga na simba naomba sheria itumike
Mmh. Ime ingia kwa mbinde.
Ontarget moja alaf unajisifia
Sema kocha kapewahela kagawa penalty bure unaogopanini kusema?
Refa kalarushwa sema2
Ingekuwa ameyafanya kwenyenchi inayokataa hongo ulikuwa refa atoke kwapingu uwanjani
Upumbafu wawazi kafanya bilawoga wala aibu
Hukufungwa kwa makosa ya kibinadamu bali umefungwa kwa haki kwani ile ilikuwa penalty kwa usahihi .
kwan dodom jiji mnapoint ngapi😅?
Hamna msemaji hapo 😂😂😂
Hata beki akifanya faulo ni makosa ya kibinadamu kwani hapaswi kufanya faulo , na bado pamoja na mbinu chafu nyingi mnaenda kunyoishwa na tabora kwa sababu hamchezi mpira kwa kumaanisha Bali kukamia timu na hata papatu zeny bado mnanyukwa tuuuuuuuu!
😅😅😅😅😅😅waambiee makolo zeroo
clean penatity
Wewe usiwachukulie poa tabora,kwa vile mmefungwa na Simba kwa tabu usidhani sasa timu zngne ndo itakuwa uji Kila mchezo una aprochi yake
kimya umekunywa gundi acha mdomo simba hiyo ni ya ubaya ubwera
Dodoma jitahidini hivyo hivyo
Yani ikicheza na simba unafungwa na makosa ya kibinadamu na sio uwezo tumeona kwa yanga ngao ya jamii wakafanikiwa kupunguziwa idadi ya magoli kwa makosa ya kibinadamu azam yleyale , leo Dodoma jiji hii ni aibuu mbaalibu ligi mapema watu wanashinda kwa kubebwa sjui maelekezo , Tff mseme mapema kama mwaka huu akuna ligi ni ubingwa wa maelekezo
Midomo huponza kichwa hongerab kwakufungwa semaji
😂😂😂 mjamzito huyu
Acha kuchonga mdomo kama wa kiboko,
Semaji wa dodoma leo kachinja mboga mboga, mdomo huo
Ana bwabwaja lini Dodoma ikaifunga simba anaijua historia kweli huyu mgogo ujeuri ndo asiri yake chikimanyile chideje mumba
Hovyoo kabisa
Lefa ni simba dam
Unakuja kunnyooooshwa Tena na bado
Mpira wa bongo vituko
Hata wewe ungefunga kwa penalty ungekua umeshinda.
Pumbuvu wewe hujielewe mechi zingine mlizofungwa zilikuwa penati fala wewe
Sio ana bwabwaja kolo dhurumati
Katafute kazi ufanye na sio mpira kwani kila anayefahamu masuala ya mpira anajua kuwa ile ilikuwa ni penalty kwa usahihi .
Wewe wamekupididy tulia mbwa wewe