JE, NI KWELI KUWA YOHANA MBATIZAJI ALIKUA ELIYA ALIYEZALIWA MARA YA PILI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • #Yohana

ความคิดเห็น • 9

  • @Malakitzkigoma
    @Malakitzkigoma 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Jehovar

  • @pastorbaharia598
    @pastorbaharia598 2 ปีที่แล้ว +2

    Nabarikiwa Sana kusikiliza,simulizi za Biblia,nipo tayari kuisapoti Injiri kwa kuona na kusabscrab,kuliko kusapoti ujinga mwingine wa mtandao,Usichoke Mungu anaipenda kazi hii.

    • @EM24TV
      @EM24TV  2 ปีที่แล้ว +2

      Wawoo, Asante sana mtumishi, tunafurahi kusikia hivo na kwakweli tunafarijika sana Mungu akubariki kwa kutufuatilia na usisite pia kuwashirikisha na wengine..pia kama maoni tuko tayari kuyafanyia kazi. Karibu tena na tena.

    • @carenarkm5629
      @carenarkm5629 2 ปีที่แล้ว

      Mungu Akubariki hata mimi naamini kuwa Yohana Mbatizaji siyo Eliya ila alikuja na nguvu au huduma iliyokuwa ndani ya Eliya.

  • @abilmawala9042
    @abilmawala9042 2 ปีที่แล้ว

    Jumpinga kristo nidhambi kwa maana hata yeye ambae ni mungu anatambua kua ndie elia alie kuja hivo usi potoshe elimisha nimependa makala zako ila usiweke mawazo yako kwenye neno la mungu

    • @winstonkachema1731
      @winstonkachema1731 2 ปีที่แล้ว +1

      Sidhani kuwa amepotosha nenda ukasome luka 1:17 , Yohana ndiye aliyekuwa amebeba roho ya Elya

  • @bonamaxnicholauskopatu1188
    @bonamaxnicholauskopatu1188 2 ปีที่แล้ว

    kwa makanisa ya kimapokeo hapo tutamuangalia kiroho zaidi so Yohana ni Eliyah kwa 100% na jinsi anavyofanya kazi kipindi cha Yesu na hata kutokea kwa umbo akiwa na Musa .umbo la Kiyohana alimufa kwa kuuwawa na Erode na kutumia umbo la awali kama Mungu alivyokuja duniani kwa nyakati tofauti na maumbo tofauti

    • @winstonkachema1731
      @winstonkachema1731 2 ปีที่แล้ว

      Yohana ndiye aliyekuwa amebeba roho ya eliya...kwa maana nyingine elya alikuja tena kupitia yehona

    • @winstonkachema1731
      @winstonkachema1731 2 ปีที่แล้ว

      Ukiwa na roho mtakatifu anakufunulia mambo yote haya ya ufalme wa Mungu