SOLOMON Aridy || Sauti ya Sifa Zake - Hata Sasa ni EBENEZER(Official Live Music)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @KelvinSimpasa-pd5vd
    @KelvinSimpasa-pd5vd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nalion tabu na huzuni hofu ilitanda😔nikalita jina la bhna🙏😊🙆🏿HATA SASA NI EBENEZER🎉🔥🔥🔥

  • @tafititv3380
    @tafititv3380 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Kamwe hatuwezi kuficha ushuhuda kwa Yale Mungu ametenda🙏🙏. HATA SASA YEYE NI EBENEZA. NYIE WATUMISHI WA MUNGU MBARIKIWE JAMAN NYEEEE

  • @Official_Kamwex
    @Official_Kamwex 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ebenezer 🎉,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Sadockjosasadockjosa
    @Sadockjosasadockjosa 2 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo tamu mno ubarikiwe sana mno na Sifa kwa Mungu musician wameliza miziki but all to all God blessings

  • @godlistenpiniel6762
    @godlistenpiniel6762 2 หลายเดือนก่อน

    My brother barikiwa sana nnyimb nzuri sana

  • @herriethchamuriho5289
    @herriethchamuriho5289 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli ni Ebenezer amesaidia nimebarikiwa Hongereni kwa huduma hii 👏👏👏

  • @PRINCENKYA
    @PRINCENKYA 2 หลายเดือนก่อน

    😇🥳Hata sasa amenisaisia🎉Hata sasa ni Ebenezer🔥🔥 Mbarikiwe watumishi wa Mungu

  • @upendomalisa2615
    @upendomalisa2615 2 หลายเดือนก่อน

    Kilililiiiiiiii ai!!! ai!!! aii 🎉🎉
    Hata sasa ni Ebenezer.
    To him be the glory

  • @DUCETracerstudy
    @DUCETracerstudy 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mtumishi. Kazi iko vizuri mno

  • @anastaziansangalufu9877
    @anastaziansangalufu9877 หลายเดือนก่อน

    Nampenda Bwana kwa kuwa ananisikia maombi yangu

  • @janemgaya-w5q
    @janemgaya-w5q 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana

  • @ellymwasalemba4874
    @ellymwasalemba4874 2 หลายเดือนก่อน

    Nampenda Bwana wangu kwakuwa anisikia 🔥

  • @patrickmathias1974
    @patrickmathias1974 2 หลายเดือนก่อน

    Hata sasa ni Ebenezer. Haloo Hongereni sana wimbo mzuri mnoo❤

  • @victorjoseph6091
    @victorjoseph6091 หลายเดือนก่อน

    Utukufu kwa Bwana. Hata sasa Wewe ni Ebeneza🙌🔥🔥🔥

  • @benjaminmpanduji9023
    @benjaminmpanduji9023 2 หลายเดือนก่อน

    Yegela ,godwin,symore 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @jamessalum7914
    @jamessalum7914 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika hata sasa ni Ebenezer...🔥🔥

  • @hurumaelmanyareg
    @hurumaelmanyareg 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hata sasa ni Ebenezer. I am Blessed 🙏🙏

  • @osiameyale9691
    @osiameyale9691 2 หลายเดือนก่อน

    Amani kaka be blessed .. ahsante kwa wimbo wa kutumainisha

  • @joelmaugo
    @joelmaugo 2 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah Glory to God, what a blessing song 🔥🔥🙌🏿🙌🏿

  • @atuwenembelle1248
    @atuwenembelle1248 2 หลายเดือนก่อน

    This soooooong.
    Hakika hata sasa huyu YESU❤

  • @alicemutasa2814
    @alicemutasa2814 หลายเดือนก่อน

    Intro❤❤️💃💃 barikiwa mno

  • @jimmymrisho3867
    @jimmymrisho3867 2 หลายเดือนก่อน

    Waoo ebenezer now is out. Waiting. God bless you brother

  • @georgezachayomollel1209
    @georgezachayomollel1209 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @tuzojohn3581
    @tuzojohn3581 2 หลายเดือนก่อน

    HATA SASA NI EBENEZER

  • @jacklineuiso6225
    @jacklineuiso6225 2 หลายเดือนก่อน

    Utukufu kwa MUNGU Haleluya

  • @AtujuneKatabaro
    @AtujuneKatabaro 2 หลายเดือนก่อน

    Haleluyaaa hata sasa ni Ebebezer

  • @glastborngodfred7659
    @glastborngodfred7659 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @ellymwasalemba4874
    @ellymwasalemba4874 2 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah 🙏

  • @NamsifuLaizer
    @NamsifuLaizer 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @patrickmakasi7175
    @patrickmakasi7175 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @devismwambene8953
    @devismwambene8953 2 หลายเดือนก่อน

    What is Song🎉🎉🎉❤
    Eeh Nafsi yangu urudi rahani mwako, kwa kuwa Bwana amekutendea ukarimu.
    Mungu awabariki mno SAUTI YA SIFA ZAKE TEAM
    Mzidi kumtukuza Mungu

  • @amoskeroto
    @amoskeroto 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥