ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Masallah❤❤❤
الله یحفظکم❤
Ustadh asalamualehkum kwa elimu yako allah akubariki huwa ni kijana wa nani huyu al imami husein?
Walyku msalaam shukran ,imam hussein ni kijana imam ally bin abu twalib pamoja na bint ya mtume anayeitwa fatma zahraa ,na huyo imam ally ni mtoto wa baba yake mdogo na mtukufu mtume muhammad .Hivyo imam hussein ni mjukuu wa mtume wetu muhammad
@RamadhaniMahamudu-ji8vs asante ustadh allah akuhifadhi
Ustadh nakutakia usiku njema nilipata jibu ktk kwako allah akuhifadhi kwa elimu yako tamu.
Ahsant nawe pia@suleimanroba5896