Yaani aache kumwimbia Mungu. Aende wasafi angekuwa mwanao sijui kama ungeongea hizo pumba.. hakuna mtu anaweza kumsaidia mtu akomae mwenyewe amwimbie Mungu wake
@@emmynico watu wenye elimu punguani we n mmoja wapo…aliekwambia WCB wote wanaimba nyimbo z kishetani n nani bhana, ile n daraja dear so n yeye mwenyewe atachagua ataimba nyimbo gani upo?
@@emmynico kw sababu umenikera kama huna cha kucomment we pita tyu bhana khaa…mm mwenyewe dini yangu n mkristo lkn usitubutu kuwaambia watu wanatumikia shetani utalaaniwa we mwanamke
unaimba vizuri sanaaa!!!! addition point:unaimba nyimbo za aina nyingi so try kubadilika badilika and take consideration ya nyimbo uanayo imba,yaani mapozi na swaga uangalie na nyimbo unayoimba. GOODLUCK ON YOUR WAY TO SUCCESS THROUGH MUSIC!!! N.B USIMSAHAU MUNGU!!
I have been going through other viewers comments, and i have discovered that I'm sharing the same feelings with almost everyone, keep it up bro, You Got the Talent make the best use of it... Kweli KIGOMA HATOKI FALA 😂
Nakushauri uanze kuimba gospel music Kwan Mungu atakuinua viwango vya juu zaidi, na pia unafaa kuwa mwimbaji wa gospel music
Good idea
Exactly
Hapo umenena
You just made me cry and by that May God expand your territories in Jesus name ...😭😭😭✍️💯
Nmekupenda buree more life kwakooo❤❤❤❤😍😛
U have Done Justice to this Cover🔥🔥🔥🔥
Mm ombi langu naomba huyu kijana WCB wamchukue ana kipaji mm nipo kumsupport kivyovyote God bless you Amin
Yaani aache kumwimbia Mungu. Aende wasafi angekuwa mwanao sijui kama ungeongea hizo pumba.. hakuna mtu anaweza kumsaidia mtu akomae mwenyewe amwimbie Mungu wake
Akatumike kwa Mungu atatoka akiimba kiduniaa kumfurahisha shetani hatokii ni leo
@@emmynico watu wenye elimu punguani we n mmoja wapo…aliekwambia WCB wote wanaimba nyimbo z kishetani n nani bhana, ile n daraja dear so n yeye mwenyewe atachagua ataimba nyimbo gani upo?
@@pendosammy5984 siku ya mwisho kwa Mungu ndio utajua mimi ni punguani au sio. Sasa hivi tutabishana sana.
@@emmynico kw sababu umenikera kama huna cha kucomment we pita tyu bhana khaa…mm mwenyewe dini yangu n mkristo lkn usitubutu kuwaambia watu wanatumikia shetani utalaaniwa we mwanamke
@Diamond platnumz come and see this talented kid he should be lifted up #gold boy respect
Yes....gold ww wajuu juu sana ❤❤❤❤💪💪💪💪✌✌✌✌MUNGU azidi kwako
Mm ni wa juu haijalishi mazingiral...Gold bora ufanye colabo n joel lwaga sasa ...uko juu bro much lov I cnt stop listening ur covers
kiukwwl nakupenda sana tena zaid ya sana,ukiimba ndo unaniua kabisa love all song
Keep going gold boy...feel so loved from Kenya💕💞👍💖💝❤️
Kwa huu wimbo acha nifanye ku share link umeua brother
Duh! Mwanangu upo vizuri big up sana brother
Umeimba vizuri sanaaaaa, Mungu akuinue umuimbie yeye.
Hongera gold cover nzur unasauti nzuri sana
I feel God's presences listening to this music
Best cover artist I've known for known
unaimba vizuri sanaaa!!!!
addition point:unaimba nyimbo za aina nyingi so try kubadilika badilika and take consideration ya nyimbo uanayo imba,yaani mapozi na swaga uangalie na nyimbo unayoimba.
GOODLUCK ON YOUR WAY TO SUCCESS THROUGH MUSIC!!!
N.B USIMSAHAU MUNGU!!
Alaf mbn kapauk ivy
Wow!!wow!!...this guy is super duper good!!...he's so talented... A lot!!
Here before 1k comments,show mi love from254,Always looking forward for your covers
Yes daer
na kwel wewe ni wa juuuuuu juuuuu sana gold utabak kuwa juuuu
This song makes me emotional 😭😭
Glory Shavu ilitosha sana hii imekushinda mdogo wangu
Umeweza....imba kivyovyote sio lazima uwe serious ....you are victorious ....we are victorious ...sisi ni wa juu.....blessed voice #254
Nampendaa!! Saut to jomoniii
Katikati ya maswali naskia sauti ndani imebeba ujasiri ikitaka nikiri ikisema Mimi ni wa juu barikiwa sana
I luv u gold boy,God bless u to reach ur drimz
Tafuteni nyimbo zenu bwana hiyo ya mtumishi wa Mungu! Mala nandi mala wew dogo imba wimbo wako
I'm in love with his voice and the song. Keep it up👏💖
Umetisha gold boy
kaka hongera may GOD grant all hrt desires
Looking forward for ur covers
Ohohoh it will be God loves you love the song
Very talented 🙌🙌🙌🙌
Fund mmoja kwer Sema PAmbana utoe ngoma zako unaweza sana dogo
nice bro unaweza gold boy lol
My favority song u did it my boy natural voice
Wimbo unaumiza na kufurahisha sana👍🖒
mm nakukubali vinoma Mr gold boy acha mwenyezi akuzidishie
Ukweli huyu chalii yuko good xana
Akika Wewe ni hatari sana na utaendelea kua juu nimependa
Am your silent follower but thumbs up 👍 on this
Boy uko juu xna mm nakusaport asilimia zote👌👌, from +254
True
Daaah gold boy unankosha saana kwanza waipenda kaz ako,so smart voice, never give up. Kaz nzur naona subscribers wafanya waongezeke tyu afro covers!
Aki ni kweli wewe ni wa juu ua ma favorite upcoming superstar
🙏🔥🔥nakukubaliiii 🙌🙌
Thammy Francis 9
Lots of love ❤ from kenya🇰🇪
Wow.. Wonderful.. Already ur fun.
That True
Iyo midomo tu ndo unayoniuzi home boy usiwe unapanuapanua midomo ivo unaweza
Nice job Gold boy we love your songs so much keep it
U really did it broo
Second time naangalia huu wimbo , mwana kauimba kama wake yani the way anasmile makes it so amazing big up broh
Uko vizur sana brother.
Mim ni wa juu like nying kwake
@Goldboy ...never give up... You're the best 🔥 🔥.. God bless you
talent Nouma sana mwanangu.
Unaweza kijanaa
you lit it up bro💯💯💯##254represented
Wewe n wajuu kweliii🙌
Your voice makes my day so much love from 964
tumeshusha code...hahaha Joel ni noma...keep t up broo...
Wow wow wow doing it best
God bless you kid#One lov
Mh mh mh. Mbn nmechelewa kukufahamu. Unajua mpk xhida
Nakupenda Sanaa unajuaaa sannaaaaa😘😘😘😘😘😘
Damn am in love with ur voice
unaweza sana mungu akubaliki
hakika mm ni juuuu zaidi ya mawingu
You good buddie💥💥💥
Your number one fun. Nice voice.... I have cried
I also cried😢😢I love this boy
@@janicerobbie1768 aki sweetie kako sawa sana sauti na kipaji
@@jenifferfalnadesseaus5671 Mungu atamfungulia njia
@@janicerobbie1768 ameen. Kabisaa
Yes yes yes yes mm niwa juu
so nice song very nice 😘🤩
u deserve the name .... GOLD BWOY
Kama kawa ...ulibarikiwa na sauti mpendwa.
Hongera kijana
Umeua dg juu sana
I ❤️❤️❤️What am hearing
Tz kuna watu wanavipaji Jaman Adiraha
I would love to join this studio,i think you guys are awesome
Kazi nzuri.
Despite beautiful voice. The guy is snart. The way he catches the lyrics wacha tu.
Mimi ni wajuu ...dah nicee saana
No one like you broooo ww ni wa juuuuuu xan god bress you
Wow nothing to say but I like you are voice
Unajua Goldboy hadi kero
Unajua sanaaa
Daaah!!!? Well done
I have been going through other viewers comments, and i have discovered that I'm sharing the same feelings with almost everyone, keep it up bro, You Got the Talent make the best use of it...
Kweli KIGOMA HATOKI FALA 😂
Nalipizaaaaa I can do it 😍
Super💥🔥🔥
unaweza kak
no 1, commentor
Dogo upo juu sana
You are too sweet ❤️
Praise to lord
We dogo unajua sana.
Gold boy😍😍😚
Ubarikiwe sana
WCB media mko wap jamani kuna kitu kinawafaa hapa
awesome
Mimi ni wa juu
kaka unajua saana aise unaniaminisha kweli kgm hatoki fala, big gp saana