Hongera sana mtumishi, classmate wangu sekondari nakumbuka enzi zetu hakika Mungu anatutoa mbali na kutuleta kuwa vyombo imara madhabahuni pake. Siku moja nitafika madhabahuni penu kusifu na kuabudu, nipo safarini kuelekea kuanzisha huduma ya kumtumikia Mungu niombee sana.

Amen 🙏 amen. Love this singing. Hizi za Nairobi ❤
Hallelujah!