ALIKIBA anawachelewesha WASANII wake? Ukweli wote huu hapa! VANILLAH afunguka A to Z, avunja UKIMYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • #alikiba #vanillah
    Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
    play.google.co...
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 50

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwemye kuwapeleka mbele wasanii kwa kweli ali kiba anazingua kila siku hawakui

  • @K25795
    @K25795 8 หลายเดือนก่อน +12

    INTERVIEW YENYE VIWANGO NA MAJIBU NA MASWALI 💯🔥

  • @dagobertpetro462
    @dagobertpetro462 8 หลายเดือนก่อน +7

    Watu hatujui Kwan bila kings kuwepo Nan angemjua vanilla au k2ga watu wanampa alikiba lawama kwamba hawap support , support wanayo ipata inawatosha na ndio maana bado wako pale siku wasipo ona wanacho kipata hakitoshi wao SI Wana akili timamu na mameneja wao wataondoka Kama akina killy na cheed alafu watu msiforce kings music ifanane na label nyingine mwishowe msanii anataka kuondoka katka label inakuwa vita baina ya msanii na boss ko mashabiki tukae kmy we enjoy mzik mzuri

    • @yustinrockboy4091
      @yustinrockboy4091 8 หลายเดือนก่อน

      Umeongea point sana👍

    • @svt3
      @svt3 8 หลายเดือนก่อน

      Tuambie Vanilah na hao umetaja umeisha ona au kusikia wanapiga show hata ya buza? Mauzo ya music yao kwenye music platforms unaionaje? Kuwa mkweli

    • @emanuelsarara6383
      @emanuelsarara6383 8 หลายเดือนก่อน

      Wabongo mnachokosea ni kusema bila fulani tusingemjua fulani mnasahau kinachofanya tumjue msanii fulani ni kipaji chake huyo aliyemsaidia ni njia tu iliyotumika kumpushi msanii ajulikane hata kama njia hiyo ingefungwa ingefunguka njia ingine kwasababu wadau wa muziki wapo wengi ndiyo maana wasanii wengi hawajatoka kupitia mtu mmoja mfano; Harmonize katoka kupitia Mondi, Vanilla tumemjua kupitia Alikiba, Nandy katoka kupitia Tht chini ya Ruge. Kwahiyo wabongo tuondoe ili neno bila msanii fulani tusingemjua msanii fulani, jibu ni kuwa msanii mwenye kipaji anayepambana hata bila ya mtu fulani aliyemsaidia kutoka kimuziki bado tu tungemjua kwasababu njia za kutoka kimuziki zipo nyingi, ridhiki ya kuwatoa wasanii haipo kwa Mondi wala Alikiba peke yao ndiyo maana wengine mfano; sarafina hajasaidiwa na Mondi wala Alikiba lakini ameshatoka kimuziki, mwingine Abby chams hajasaidiwa na Mondi wala Alikiba lakini kashatoka kimuziki, kipaji cha kweli hakizuiliki kitacheleweshwa tu, msanii mwenye kipaji cha kweli hata akishindwa kutoka kwa njia moja akipambana atatoka kwa njia nyingine.

  • @JosephMoses-y5p
    @JosephMoses-y5p 8 หลายเดือนก่อน +6

    Ukiwa unamskiliza vanilla unajua tu kuwa ni bora zaidi Tanzania kuliko wote

  • @benedictomb
    @benedictomb 8 หลายเดือนก่อน +5

    Safari ya mziki inaitaji uvumilivu Sana, Big up vanilla❤❤❤

  • @alibachirofficial3939
    @alibachirofficial3939 8 หลายเดือนก่อน +2

    Alikiba siyo nyonyaji ndiyo mana vinatokeya vitokamahivi anasaydia mpaka seu flani si raiysi

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 8 หลายเดือนก่อน +6

    Kila mtu ana karama zake hapa duniani, Watu hawafanani wote,Msanii ukiona unachelewa wahi mwenyewe au tafuta mtu mwingine akutoe
    .

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 8 หลายเดือนก่อน +25

    Alikiba na Hamonize hawajui kuwatoa watu hawana bidii kabisa katika kupromot,hawajui kabisa kujitolea usemwe ukweli daimond peke yake ndio anaweza

    • @jacobgabriel656
      @jacobgabriel656 8 หลายเดือนก่อน +3

      Haya wewe mwenye bidii mbona hatuoni wasanii wako

    • @elishamgaya6305
      @elishamgaya6305 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ukihitajika utaitwa Shenziiii ww

    • @ericnzaro9138
      @ericnzaro9138 8 หลายเดือนก่อน +5

      ​@@jacobgabriel656wacha ujinga. Mwenzako kaongea ukweli

    • @ursulinenyandindi3051
      @ursulinenyandindi3051 8 หลายเดือนก่อน +3

      Mi nashangaa, kuna lebo tuu za kawaida wasanii wao wanapiga show wanapiga magoma yanahit east africa, lakini mac voice, ibrah na hawa kina K2GA hawaeleweki. Hafanyi show na ngoma haziko mtaani.

    • @elishamgaya6305
      @elishamgaya6305 8 หลายเดือนก่อน

      @@ursulinenyandindi3051 na utaendelea kushangaa si umepewa macho bure

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 8 หลายเดือนก่อน +6

    Ibraah ni muimbaji mzuri sana lakini Hamo amemsahau kabisa anatoa yeye nyimbo tu msaidie mwenzako kama ulivyofanyiwa na dai

    • @kijokombao5345
      @kijokombao5345 8 หลายเดือนก่อน

      Wapi kill na chid?

  • @EliasCornélio-k3j
    @EliasCornélio-k3j 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka angu vanilla jitaidi Sana wewe unaweza ilá namini kama alikiba ni MTU anaekuchelewecha ilá pole Kaka jitaidi Mimi naitua Chedy kutoka Mozambiki makonde mwenyewe

  • @Zenny89
    @Zenny89 8 หลายเดือนก่อน +5

    Anawachelewesha sana

  • @issamoshi8829
    @issamoshi8829 8 หลายเดือนก่อน +4

    anawachelewesha sana sana

  • @aleyysalum2747
    @aleyysalum2747 8 หลายเดือนก่อน +5

    Hao wanaroho mbayaaaa km ngoxi ya matako

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 8 หลายเดือนก่อน +4

    Vanilla boy

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 8 หลายเดือนก่อน +2

    Awo wa Dogo wote wa Kings Music Waje Bja kutuburufisha siku moja

  • @josephatSwai
    @josephatSwai 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli mahana cajona wasanii WA alikiba kuwa wakubwa kiivo wakat wanauzo mkubwa sana

  • @HidayaKarim-wy9yc
    @HidayaKarim-wy9yc 8 หลายเดือนก่อน

    Vanilla kama vanny 🔥🔥🔥🔥

  • @bakarijuma8697
    @bakarijuma8697 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kweli wew vanilla ndiyo wako wambia kuwa Alikiba anakuchelewesha kweli binadamu

  • @ndizoshukuru6142
    @ndizoshukuru6142 8 หลายเดือนก่อน +5

    Sana janja❤❤

  • @ASALABOY
    @ASALABOY 8 หลายเดือนก่อน

    Brow você Vanilla é bom pra escrita✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️

  • @oswardkabasa8503
    @oswardkabasa8503 8 หลายเดือนก่อน +4

    Basi Mimi wa 2😅😅😅

  • @idrisashelimo307
    @idrisashelimo307 8 หลายเดือนก่อน +4

    Spanaa unajua

  • @empafricatv
    @empafricatv 8 หลายเดือนก่อน +2

    Vanilla 🎉

  • @sadikiissa2454
    @sadikiissa2454 8 หลายเดือนก่อน +2

    Unyama mwingi 🔥😀

  • @7Ammy69
    @7Ammy69 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wa kwanz leo

  • @francissamson2207
    @francissamson2207 8 หลายเดือนก่อน

    Msimlaumu kiba sana bali uwezo fedha kuwekeza kwenye muziki ndani ya kings music, wanafanya kazi kama kundi na mtu akitaka kutoka ruksa maana hakuna mkataba kwa msanii yoyote kings. Wcb wao wamewekeza pesa kwa wasanii wao ndiyo maana wanaingia mikataba tofauti na kings music,

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 8 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉 Upo vizuri sana Vanilla

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kipaji alichonacho Vanillah alitakiwa awe mbali sana lakini hapo King’s siyo, atasota sana. Angalia waliokutangulia wako wapi? K2ga na wenzie utadhani bado underground tu

    • @muubaytz4754
      @muubaytz4754 8 หลายเดือนก่อน

      Umemjuaje ? Mbna katambulishwa mwaka jana na had Sasa Yuko 🔥

  • @nangasixmshamba
    @nangasixmshamba 8 หลายเดือนก่อน

    Kama unacheleweshwa sasa si utoke wehende mwenyewe.

  • @AliAbdalla-lb8su
    @AliAbdalla-lb8su 8 หลายเดือนก่อน

    Musione mtu amekua mkubwa mukaona ni rahisi ata ali kiba siri ya mafanikio yake ya kukaa kwenye gemu kwa muda mrefu alistahamili na kusota ndio unajifunza vitu vingi

  • @EsperanceNamagajo
    @EsperanceNamagajo 8 หลายเดือนก่อน

    🫡❤❤