TWENDENI TUKAMPOKEE - Dan Kasambia | Official Video // St. Cecilia Choir - Babadogo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024
- Tunawakaribisheni kutazama na kusikiliza wimbo huu wa komunyo unaoitwa TWENDENI TUKAMPOKEE, ulioimbwa na Kwaya ya vijana ya Mtakatifu Secilia kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - Babadogo, Jimbo kuu katoliki la Nairobi; ikiwa ni moja wapo wa nyimbo kumi katika kanda la tatu uliozinduliwa rasmi miezi kadhaa iliyopita.
Wimbo huu umetungwa na Daniel Kasambia, na kuandaliwa na studio za St. Sylvester Media Production - Nairobi.
Wasiliana na kwaya hii kwa nambari +254 710 398180 / +254 715 351243
ENJOY!
#YouthForChrist #wanasecilia
Awesome my people
Wonderful song 😊. Mungu awabariki
Asante.
Na akubariki pia.
Nice