ZANZIBAR YAPATA MSIBA MZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 193

  • @kulthumahmada2631
    @kulthumahmada2631 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mwalimu wangu sheikh Abdallah Habib Mwenyezimungu akupe subra ktk kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na baba yako Mwenyezi Mungu ampe malazi mema

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 ปีที่แล้ว

    Inna lillahi waina illahi rajioun, kumbe amefariki hata sikuskia,sheikh alikuwa jirani yangu kiembe samaki, najua alikuwa mgonjwa mda mrefu ila niko mbali sikuskia kuhusu kifo chake, Mwenyezi Mungu amjaalie pepo ya darja la juu kabisa, Amiin

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 4 ปีที่แล้ว +6

    INNALILLAHI WAINNAILLAHI RAJIUN, ALLAH aitie nuru kaburini kwake,na IN SHA ALLAH amfungulie milango yote ya JANATUL FRIDHAUSI AMIIN

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 ปีที่แล้ว

    Aksante mwalimu siasa ninakingoja kwa hamu kubwa Sana kitabu hicho,kuijua historia ya al marhum sheikh habib bin Ali kombo

  • @mranzuann7950
    @mranzuann7950 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun. Tunamuomba allah amsamehe madhambi yake na ajalie kabri lake liwe miongoni katika viwanja na bustani za peponi. Amin

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 ปีที่แล้ว

    Allah swt mrahamu kipenzi chetu mwalimu wetu sheikh habib bin Ali kombo

  • @hamidsheikh1176
    @hamidsheikh1176 4 ปีที่แล้ว

    Inna liLlahyi wainna iLlaahyi raajiun. Al-Marhum amefanya kazi njema. Allah Atamlipa kwa juhudi zake, nasi atupe Khusni Khatima. A'amiin

  • @hajimakarabai4700
    @hajimakarabai4700 4 ปีที่แล้ว

    Umefanya kazi nzuri

  • @mohamednurmohamed8812
    @mohamednurmohamed8812 4 ปีที่แล้ว +4

    Alhamdulilah pole kwa familia.ALLAH amlaze pema kwenye wema peponi ameen...

  • @mav2zmajamboz624
    @mav2zmajamboz624 4 ปีที่แล้ว

    Inna Lillah Wainna ileyhi Rajiuun...Allahumma Yarhamuhu mzee wetu...Ustadh Habib...Allah awape Subra family na ndugu yangu Qasim...

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 4 ปีที่แล้ว +4

    Inna Lillahi wainna ilahi rajiun Allah SWT amueke Sheikh letu pahala pema peponi na waislamu wote walio tangulia Amin ya Rabbi ajmain

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 4 ปีที่แล้ว +1

    Inna Lillahi wainna ilayhi Rajiun
    Kumbe ndio huyo mkalimali mie humsikiza sana na kunda sauti ya kwa Ya Allah , mungu amsamehe marehemu dhambi zake na ampe nuur kwenye kaburi lake Allahumma Aamiin.

  • @dashuusaalim1943
    @dashuusaalim1943 4 ปีที่แล้ว +1

    Innaalillaah wainnaa ilayhi rajiuuna.a Allah ampe qauli thaabit....mashekhe wanakwixha jamn Allah awape maysha marefu yenye kheir kwao mashekhe wetu walobakia... Aamyna yaa rabby

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 ปีที่แล้ว +2

    Inalillahi wa innailaihi rajiu'un. Poleni familia, zanziba na dunia nzima kwa jumla.Alahdulillahi kwa elimu aliyo itowa kwa wote,tulimpenda lkn ALLAH amempenda zaidi. ALLA H amueke pema penye wema🤲🤲🤲🇰🇪

  • @AminaAmina-uk2ts
    @AminaAmina-uk2ts 4 ปีที่แล้ว

    Innalillahi wainailayhi rajion, YY kafika na sisi tuko NYUMA, MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA AMIIN ALLAHUMA URZUQNA HUSNILKHATIMA, AMIIIN

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyez Mungu amjalie kaul thabit amsamehe makosa yake
    Polen sana ndugu jamaa na marafik

  • @aliebrahim9423
    @aliebrahim9423 4 ปีที่แล้ว

    Allah amjaalie kauli thabiti,yeye ni sisi na sisi ni yeye.Muislam ni ndugu wa muislam.

  • @rosemery542
    @rosemery542 3 ปีที่แล้ว

    Allah ampeleke kwenye Pepo ya Firdosa.

  • @aminali7766
    @aminali7766 4 ปีที่แล้ว

    Innalilahi wainnailaihi raajiuun Allah ampe kauli thabit marehemu shekh wetu Aamin

  • @rashidiathumani2300
    @rashidiathumani2300 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu marine pepo

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 4 ปีที่แล้ว +2

    Inna lillah wainna ilayhi rajiuun. Allah ampokee hali ya kuwa amemridhia in sha Allah. Allah amjaalie pepo ya darja ya juu in sha Allah

  • @mhadji9282
    @mhadji9282 4 ปีที่แล้ว

    Innallillahi Wainnailahi Rajiun.
    Allah ampe Kauli thabit na amlaze mahala pema peponi nasi atupe mwisho mwema. Amiiin

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 4 ปีที่แล้ว

    Inna lillah wainna ilayhi rajiuun Allah amswameh makosa yake huu ni msiba mkubwa kwa Zanzibar huu mwaka ni mgumu sana kwa wazanzibar kwa kuwapoteza mashekh wetu wawili ndani ya miezi miwili Allah atupe subra inshaallah

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Inalilah wainailah rajiuna mungu ampe kauli thabit na majalie janat fidaus

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 ปีที่แล้ว

    Innallillah wainailaih rajuun Ya Allah mrehem sheikh habib aly kombo

  • @harounramadhan9771
    @harounramadhan9771 4 ปีที่แล้ว

    Alla ampemakazi mema kaburini milele kesho akhera inshalla

  • @nahdamohammed6201
    @nahdamohammed6201 4 ปีที่แล้ว

    innalillah wainna ilayhi raajiun mungu ampe kauli thabit na sisi tuliobakia mungu atuongoze katk njia iliyonyooka. Ammin

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 4 ปีที่แล้ว +2

    Inalilahi wa Inalilahi rajiun,MashaAllah Jazakhallahu khaira Allah amrehemu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Fatima-sv5gp
    @Fatima-sv5gp 4 ปีที่แล้ว

    Innallilahi wainallilahi rajiun mungu ampe kauli thabiti amuwekee mwanga ndani ya kabri ishaallah🙏🙏🙏

  • @mgenikhamis.zubeirkhamiszb9934
    @mgenikhamis.zubeirkhamiszb9934 4 ปีที่แล้ว

    Inalilahi wainailahi rajiun mungu ampe safari njema Amini

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 ปีที่แล้ว

    Mungu amjaalie makazi mema peponi amin

  • @safiamohamed635
    @safiamohamed635 2 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainnailayhi rajighun mbele yke nyuma yetu Allah ampe kauli thabiti

  • @amurisabiti7037
    @amurisabiti7037 3 ปีที่แล้ว

    Innallillahi wa inna lillahi rajun tuna kuomba ya Allah pokea nafsi ya mja wako kwa Amani na utaratibu kwa huruma wako ya allahu

  • @hawamohamed843
    @hawamohamed843 4 ปีที่แล้ว

    Inalilah wainalilah rajuuna. Allah amlaze mahali pema peponi

  • @abdallahashim1752
    @abdallahashim1752 4 ปีที่แล้ว +8

    inalilahwainailahi rajiuni ewe mwenyezi mungu mpe malazi pema peponi ameen

  • @nihlatsalum8904
    @nihlatsalum8904 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalillahi wainnailaihi rajiuun allah ampe makaazi mema peponi amina ya rabbal-ghaalamina allah humma aamina ya rabbal-ghaalamina

  • @ernestkarata6414
    @ernestkarata6414 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ampenda zaid

  • @saudamct8197
    @saudamct8197 4 ปีที่แล้ว

    Allah amuondolee mazito

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว

    Innalilahi waina ilaihi Rajiun sote niwaja wa Mungu na kwake tutareje Allah atujaalie mwisho mwema sote waumini ulimwenguni

  • @azizsaid818
    @azizsaid818 4 ปีที่แล้ว +2

    Inna llillahi wainna illayhi rajiun Allah ampe kauli thabit na sisi atupe mwisho mwema

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 4 ปีที่แล้ว

    Innalilahii wainna ilayhi rajiun Allah amsamehe madhambi yake ampe malazi mema peponi ameen nasi atupe mwisho mwema ameen Wa Islam jiangaliyeniii na sala zenu za safu za SD hizoo tumieni elimu zenuu inafaa hiyoo au ndiyo mna waogopa watawala mkaacha alie leta sheriya

  • @rahmamohammed9134
    @rahmamohammed9134 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainna ilaihi rajiun Allah amsamehe makosa yake na amfanyie wepesi ktk safari yake ya mwisho

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalillahi wainnaillahi rajuon Allah ampe qaul thabit na njia njema pepon Sheikh wetu ameen hakika kila nafsi itaonja mauti tujitayarishe na kupeleka kesho akhera😭😭😭
    Msiba mzito

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 4 ปีที่แล้ว

    Subhannallah subhannallah subhannallah subhannallah from Oman

  • @Som-Hanoolaato
    @Som-Hanoolaato 4 ปีที่แล้ว

    INNA LILLAAH WA INNA ILAYHI RAAJIUUN
    ALLAH (Subhaanahu WaTa'aala) Amrehemu, yeye na umma Muslimiin.
    Ramadaan Mubaarak

  • @zakiahaji1683
    @zakiahaji1683 4 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainna ilayhi rajiuon Allah amsameh makosa yke alikua n saut maa shaa Allah Allah ampe malaika wema ktk baezakh in shaa Allah😭😭😭😭

  • @omaryally5743
    @omaryally5743 ปีที่แล้ว

    غفر الله له وأدخله فسيح جناته

  • @mohammedhassan-yv9yd
    @mohammedhassan-yv9yd 4 ปีที่แล้ว +3

    Inallilahi waina illayhi rajiun, Allah amueke Pema penye wema ameen ameen

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 ปีที่แล้ว +6

    Innalillah wainnailaih rajiun. Allah amlaze mahal pema peponi 😢😢😢😢😢😢

  • @massoudhaji9582
    @massoudhaji9582 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah amrehemu Shekhe wetu.

  • @tatuali1464
    @tatuali1464 4 ปีที่แล้ว

    inalilah wainalih rajuni 😢😢😢😢😢mungu akulaze mahalipema shehe wetu habibu alikombo

  • @jumahory3069
    @jumahory3069 4 ปีที่แล้ว

    Allah amrehemu sikubatika kusoma kwake

  • @zainabmkomwa2064
    @zainabmkomwa2064 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah Wainnailayhi Rajiun Allah amjaalie makazi mama y peponi

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว +1

    Allahu yarhamuh inshaallah

  • @alody47
    @alody47 4 ปีที่แล้ว

    Tafadhalini hiyo background sio lazima. Muhimu kusikiliza hao wanaomzungumza almarhum.
    Nawaomba musikasirike .

  • @suleimansuleiman5498
    @suleimansuleiman5498 4 ปีที่แล้ว

    ALLAH AMJAALIE MAKAAZI MEMA PEPONI NA KAULI THABITI MARHEM. UKWELI TUMEONDOKEWA NA KIONGOZI MUHIMU SANA.

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 ปีที่แล้ว

    Inalilah wainnailayh rajiuun mungu.amlaze mahalipemapeponi amiin

  • @hcgghfgg6679
    @hcgghfgg6679 4 ปีที่แล้ว

    انا لله وانا اليه راجعون
    نسأل الله ان يرحمه و يتقبله في جنات النعيم.
    تعازينا من سلطنة عمان لجميع أهل زنجبار .
    نسأل الله أن يصبر ذويه على فراقه .

  • @jimjam7687
    @jimjam7687 4 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH ampe kauli thabit. amin amin YARABI amin.

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 4 ปีที่แล้ว +3

    Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh

  • @mohdkiparah2584
    @mohdkiparah2584 4 ปีที่แล้ว

    Innaalillaahi wainnaailaihi raajiun Allah ampe safari njema amjaalie pepo amsamehe makosa yake

  • @aliawam3471
    @aliawam3471 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah amlaze mahali pema

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhuman Allah amsamehe mazambi yake

  • @thamratsaid8526
    @thamratsaid8526 4 ปีที่แล้ว

    Innalillahi wainnailaihi rajiun ,Allah amfanyie wepesi wa safari yake na amtilie nuru kaburi lake na pepo ya firdaus iwe ndio maakazi yake amiin

  • @الزنجباريعلي-ب4ذ
    @الزنجباريعلي-ب4ذ 4 ปีที่แล้ว

    اللهم اغفرله ورحمه وعافه وعف عنه اللهم ثبته قول الثابت اللهم وسع مدخله اللهم اجعل قبره روضة من الرياض الجنة

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 4 ปีที่แล้ว +2

    Inna lillah waina ilahim rajiun poleni sana wafiwa kipindi hiki kigumu Allah amjalie makazi yake mema

    • @alimasoudali5183
      @alimasoudali5183 4 ปีที่แล้ว

      ali issa Allah amueke ktk makazi mema firdaus nuzula

    • @alimasoudali5183
      @alimasoudali5183 4 ปีที่แล้ว

      ali issa Allah amueke ktk makazi mema firdaus nuzula

  • @suleshisamba4757
    @suleshisamba4757 4 ปีที่แล้ว

    "Hakika sis n wa kwake na kwake tutarejea" allah amlaze mahala Pemba peponi .amiiin

  • @earthmansirlim6889
    @earthmansirlim6889 4 ปีที่แล้ว

    Inalillahi Waina ilehi Rajiun ALLAH amlaze pema palipo na wema peponi in sha ALLAH 🤲

  • @jokhafadhil7943
    @jokhafadhil7943 4 ปีที่แล้ว +1

    Innallillah waina ilaihy rajiun Allah ampe kauli thabit ampewazunguzaji wema

  • @mohamedAli-vf8hp
    @mohamedAli-vf8hp 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalilahy wainna ileyhi rajiun Allah amfungulie milango ya pepo amiin

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Allah amfanyie wepesi!!!

  • @marymabuubakari653
    @marymabuubakari653 4 ปีที่แล้ว

    Allah ampe kauli thabit🙏

  • @ashaamour4309
    @ashaamour4309 4 ปีที่แล้ว +2

    Inna lillahi wainna ilyh rajiun Allah ampe kauli thabit alitie nuru kaburi lake ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia

  • @محمدعلي-م4ص3ش
    @محمدعلي-م4ص3ش 4 ปีที่แล้ว

    Innalillaah wainna ilayh rajiuun polen sana wanafamilia Allah awape subira

  • @abdllamahafoudh9658
    @abdllamahafoudh9658 4 ปีที่แล้ว

    Inalillah wainalillah rajiun mungu amlaze mahali pema peponi amen

  • @ukhtyalpha1344
    @ukhtyalpha1344 4 ปีที่แล้ว +4

    Allahu Akbar Inna Lilaah Waina Ilayhi Rajioun Allah amfutie makosa yake amtamgulizie nuru anakokwenda awape Subra wafiwa na sote Allah Akbar atupe mwisho mwema

    • @salimusefu2225
      @salimusefu2225 4 ปีที่แล้ว

      Inalilahi wanna ilahi rajiun mung amuweke mahali pema peponi ishaallwa

  • @fatmaomary3865
    @fatmaomary3865 4 ปีที่แล้ว

    Innaa llilahi wainnaa illahi rajuun ,Allah amlaze mahala pema peponi ameen

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 ปีที่แล้ว +3

    Sote ni wa Allah nakwake tutarejea Allah amuhifadhi pema Ammin

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalilahi Wainnaileyhi Rajioun Allah Amjaliye Qaulidhabit Yarabiy Amjaliye Qabriyake Minalroudhatil jannah Yarabiy Amfanyie Wasaa Qabini Amsameh Makosa yake Nasisi Atujaaliye Khusnilikhatima Njema yarabiy

  • @rukiamwakuzimu3863
    @rukiamwakuzimu3863 4 ปีที่แล้ว

    Innallilahy wainnaillahy rajiuni,,, mola ailaze roho yake pema peponi

  • @Basma-eu9ol
    @Basma-eu9ol 4 ปีที่แล้ว

    Innalillah..wainaillahi Rajeuun.....

  • @shamsrajab392
    @shamsrajab392 4 ปีที่แล้ว

    mwenyeziMUngu amsamehe

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 4 ปีที่แล้ว +5

    Innah lillahi wainnah illaihi raajiuun. Allah ampe kauli thabit

  • @swaumothman5394
    @swaumothman5394 4 ปีที่แล้ว

    Inalillah wainailah rajiun Allah ampe wepes amtiliye nuru kwenye kabur lake

    • @mohammedmzee3554
      @mohammedmzee3554 4 ปีที่แล้ว

      Inalilllah wainailah rajiun Allah ampe wepes kweye kujibu masuwal katika kabur yake

  • @khalfansaidikhalfan3600
    @khalfansaidikhalfan3600 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah ampe kauli thabit

  • @hajivuai3454
    @hajivuai3454 4 ปีที่แล้ว

    Watu wema wanaondoka jamani tutabaki sisi tunaobakana kila siku,na mashekh wengine ndo wapo magerezani tena chakisikitisha sio Zanzibar

  • @sulaimanomary6533
    @sulaimanomary6533 4 ปีที่แล้ว

    Innaa lillaah wainnaa ilayhi raajiuuun

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 ปีที่แล้ว

    AMIIN INSHAALLAH

  • @jamilaali9144
    @jamilaali9144 4 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH anpe kauli thabit

  • @abdulahihassankadir9770
    @abdulahihassankadir9770 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalillahi wa innalillahi rajauun Allah amjalie jannatul firdous

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 4 ปีที่แล้ว +2

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiuun

  • @josephwazoel6596
    @josephwazoel6596 4 ปีที่แล้ว

    Dah

  • @abdullmalik7847
    @abdullmalik7847 4 ปีที่แล้ว +2

    Inna lillahi wainna ilahi rajiun mola ayi laze Roh yake mahali pema peponi 254

  • @awadhially1384
    @awadhially1384 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah atuhifadhi dunia inazidi kubaki na wajinga wale wanaotuongoza ndio hao wanaisha wengine wapo magerezani.

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว

    Kifo hakizoweleki huu msiba umetugusa sote waumini wa Kiislam nimsiba mkubwa kwetu sisi 😭😭😭

  • @ameali1251
    @ameali1251 4 ปีที่แล้ว

    Innalilah . hakika ni msiba Mkubwa

  • @hkk2450
    @hkk2450 4 ปีที่แล้ว +1

    Inna lilah waina ilahi rajioon

  • @sharifsayyid5808
    @sharifsayyid5808 4 ปีที่แล้ว

    Subscribe TH-cam yangu kwa video za mawaidha

  • @fasitakhalifa2208
    @fasitakhalifa2208 4 ปีที่แล้ว

    الله يرحمهو

  • @ghibbahally9627
    @ghibbahally9627 4 ปีที่แล้ว

    Inna lillah wainna ilayh raajioun... Allah amsameh makosa yake