NILIMUUA DADA YANGU NA MUME WAKE NILIMPA DAWA ILI ANIPENDE MIMI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- #foxetv #truestory #HardMovements Bonyeza alama ya Subscribe kisha weka notification on ili kupata matukio yote kwa wepesi zaidi Asante.#FoxeTv Ni Bora Zaidi
.
.
.
.
.
.
.
.
©Instagram @FoxeTvTanzania tufollow sasa kwenye mtandao wetu wa kijamii
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Tag;
#video #bongomovie #truestory #majanga #mikasa #msaada #update #trendingvideo #trending #trendingnews #oman #omannews #omanchannel #omannewstoday #kenya #kenyanews #kenyadigitalnews #kenyanewsmedia #usa #usanews #america #american #amerika #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniayetu #uganda #ugandanewsupdates #rwanda #rwandanmovies #burundi #burundinews #uchawi #mikasa #udakutz #udaku254 #ngono #VideoChafu #VideoXxx #Xxx #xxl #uchib #tikitv #tikitvkiakilizaidi #zanzibarbeach #maximumtvonline #maximumtv #DavistarMatal #mtoto #watoto #Ubakaji #diamondplatnumz #harmonize #comedy #comedyvideo #film #movie #movie #ayo #millardayo #millardayoupdates #GroblaUpdates #global
ILI KUJIUNGA NA GROUP LA WHATSAPP LA FOXE Tv UNAWEZA KUJOIN KUPITIA LINK HII HAPA👇 chat.whatsapp.com/CptUDTRfRSo5OimbjoLZ0a
Si vizuri alivyo fanya
@@wanjalamwalugho mwombesanamunguakuepushenahiyorohombayanautubunamunguatakusameh
Kumbukakilajambolanamwanzonalinamwisho
Tamaa mbaya sana
Fundisho!!!! Weka mbali ndugu zako hata kama unawapenda na kuwajali, hugeuka na kuwa maadui wa kwanza kwenye maisha😭😭😭😭
Wewe Bora ufe kbs.
Daah!hii dunia jamani ina mambo Yani nimeumia Sana💔💔💔💔😭😭😭😭wewe dada utubu na uombe Toba ya kweli tamaa imekufikisha wapi?kumuua kumwaga damu ya ndugu yako pasipo hatia
Mungu atusaidie sana jamani pepo hili
Subhaanallah tubiatu wewe bado nimja wa Allah so nafas yatoba bado iko fanya toba haraka dadangu
Siamini kama kweli hi umetunga story kama ni kweli lazima uwe jela
Dunia ni duara dadangu.whts goes around back's around
Pumbav Sana tena Sana nahis we ndouliroga mme wako
Ndungu wakileo na mimi mdogo wangu amenifanyia fisa mungu akusameh
Mungu anasema hata ufanye zambi kubwa kutoka aldhini Hadi mbinguni ukimuomba atakusamehe
This woman is not even sorry. She can do it again.
Mshenzi kabisa tena ni shetani mkubwa na muuaji na ni mchawi
Kabisa uyu ata afai kusamehewa
@@akishedonna9697 umeonaee
@@aminaamina9568 yeah kwakweli
Mungu tupe moyo wa hekima tuyashinde majaribu
@@rehemakazenga8978 Amiina yarab
Kwaiyo mwanaume mwengine ujawaona
Mchawi mpuuzi huyo Kwendaaaaaaah
Shenzi saana
Apelekwe jela haraka nakama kumejaa aletwe huku kwetu Langata shenzi
Mhhh,jamani, matendo yako hata shetani anakushangaa
Mungu wangu wew dada
Ungekuwa kalibu yangu ningegupatia hata kibao kimoja tu kwasababu unanibowa huna hata haya shetani mukubwa
,ww uombe ungu msamaha uko muchawe
sana
Mm nimejifunza nikiwa kwangu sito muita ndugu yangu wa kike na sito penda ndugu yangu awe na mazoweya na shemeji yake nikimuona yupo pamoja na shemeji yake namfukuza kuepusha kuja kuniuwa
Kanywe soda Khadijah billi huu yngu
Nawachukia ndugu kama hawa ulaniwe maisha yakoyote
Kufia
Mbari
sana
Shetani
wewe
So sad kweli mpaka unamuwua dada yako juu ya bwana humm hatari 😢
umejua tamaa halfu malaya na uwivu
Eee 🥺🥺🥺🥺 dunia hainahuruma yani dadako tu
Macho yanaonyesha Bado hiyo roho unayo, ushindwe ktk Jina la Yesu Kristo. Patana na Mungu wako.
Huna akili haya kidogo wanaume wamekwisha mpaka unatembea na shemeji yako
@@mwajabuhaji sindo apo sasa
Huyu amepanga hii story, anafikiria cha kusema🙊🙊
mubwaaa weeweee kabisaaa umeniuzi mimi
Mtafuteni mama yake,huyo binti
Mumsikilize,je Huyo mwanaume Yuko wapi
Huyo Binti hayuko serious na achokizungumza
Hakila hata hapo kanisani hatufahsmu kama wamemuelewa,mchungaji wa kanisa Hilo anasemaje baada ya kusikia hiyo taarifa,majirani hapo anapokaa,hivi mnacheza na kumuua Dada Yako wa tumbo 1:Tena walizaliwa mawili tu,atamuacha nani sasa,mmmm hatari,Wasimpe Mungu wetu kazi Kwa kuwa tu halali Wala asinzii,uhue uje utubu kwenye mitandao,mmmm huyo Binti ni hatari sana nimesoma comment Bado Kuna changamoto ya jamii kutomuahani,atubu sana.
Maumivu jicho halina chozi unapretend wew
jmn haya mambo hv ni ukweli ukweli kbisa?
Ushindwe kwajinarayesu
Unasimuliya kabsa bila hata ya uonga na hofu ya Mungu kumkatisha Ndug yako Maisha yake wanaume wapo tumewakuta na tutawaacha nguruwe pori weweee isoliwa tena isokuwa na bucha uso mzito km kaburi la jana
Yani hyu ni mjinga san huna haya kabisa jambazi wa kazi
Mii Siwezi Kufanya hivyo
Huyu mwa´amke ni mbaya sana hafai kuishi.
duuh mwanamke katili sana mkavu Hana aibu
Lakini huyu alikili hawa hawa ndiwo wanao hitaji kuolewa naomba nambayake ambaye anamuhitaji
Hataki hela anataka upendo
Lakini dawa akiwa aliachana nazo
Dada mkavu huyu🙄
Bado utakwenda kujibu kwa mungu wako kwa hilo hujasamehewa
Yani wewe dada unatisha Sana, 🤔 mpaka nakuogopa na kutetemeka💔
Kwanza analia bado kinafki huyo nidada yako mtu mwingine analolote kaumia nini huyo mh
Mh! ila huruma ya Mungu inavuka mipaka,anasamehe maovu yetu yote
Mbona kama story tu syo kweli
Una akili pumbavu huna adabu pia huna fadhila wewe umelaaniwa laana zinakusumbua shetani mkubwa !!!!! Sina hamu na wewe mchawi we hukumu unayomkononi unajiliza nini maskini wa akili
Una akili pumbavu huna adabu pia huna fadhila wewe umelaaniwa laana zinakusumbua shetani mkubwa !!!!! Sina hamu na wewe mchawi we hukumu unayomkononi unajiliza nini maskini wa akili
Hapo mwisho inafulahisha
Hawa ndio wakienda kufanya House manager wanaolewa na waume wa maboss wao kwa kupitia njia km hizi .
Hasbunallah wanniimal wakili .
Yani wewe dada MUNGU akusamehe unaonekana kabisa una roho ya kichawi Yani unasababisha watoto wanapata shida Kwa ajiri yako 🤔💔👈
MUNGU ni warehema dada ukitubu atakusamehe watu wamekuhukumu lakini MUNGU amekusamehe
Mjaalaana wewe mjukuu wa subuhana. Subir adhabu yako kwa,,mungu
Ibilisi mukali kabisa
Ijapo alifanya kosa hilo anapashwa samehewa tunaomba shemeki yake yani mumewake kama angaliki asamehe demayi yake wachunge watoto aliye zaa naye tunakumbuka kama maandiko matakatifu ya sema kama Yakobo alimuua nduguye esau lakini alimuliliya mungu akamusamehe nakumubadilishiya jina mwaka sasa tuko familiya yake kosa alilolifanya asamehewe sana
Tusisahau kwambiya wengine kama tamaa inaua tujiepushe natamaa tosheka nayaliyo mungu amekuandaliya chamutu ni chamtu siyo chawote samahani sana dada huyu apewe msamaha namwenyezimungu amusamehe kwakosa alilolifanya
Sasa kama dadaako anafaidi siutafute naww wako mume iliufaidi mshenzi ww
Fanya touba Mola wetu ni mwingi wa kusamehe, Arahman alrahim
Lkn ushauwa una maana
Mie hawa siwaamini nahisi kama.wanataka umaaarufu na kupromot hizi channal
Waongo. Umeanza kusema umezaliwa wewe na mdogo wako. Baadae unasema dada ako .
Wewe mjinga sana musamaha huna ujuwe ukifa itaenda mwotoni
Una roho chafu sana !
Kuwa na chuki had I kumuua dadako ni Jambo la a jabu sana .
Unafaa kuwekwa jela .
Wewe ni adui mkubwa !!
wewe mchawi umefadikanini nakweli nimunaafiki mkubwa
Unasema nini wewe mchawi huna haya hiyo damu ya ndugu yako itakufwata ginsi ya kayini na abeli ukome na ukomazike Mungu akuazibu
Shetan mkubwa ww
bure sana ikiwa uahaiya watu wawili umetoa kwa ajili ya ujinga badoutaua wengi sana hakuna msamaha utakuwa wa azimu mpaka ukufe kama paka hata mdomo yako unajivuna bure
Anaongea hana ata masikitiko wala kuonyesha roho ya uzuni jamn
If this is a true story, it's murder and attempted murder and she should go to jail
Kwani Tz hamna sheria..huyu dada anafaa kuwa kwa jela
Evil woman
HII NI HADITHI.KAMA NI KWELI MAPIGO 7 YA WAMISRI WALIYOPIGWA NA MUNGU YAKUPATE.
Unamuua dada yako sababu ya mwanaume dah 🙆♀️🙆♀️🙆♀️🥱🤲
🤭🤔🤔🤔
🥺🥺🥺🥺
Wewe unavyo vigezo
Daaa ushindwe na ulegee mshenzi wewe utajuta lazima ulipie hili
Uliua kwa upanga utakufa kwa upanga hata huna haya
Hata bado unafurahi hauna sorry bure sana hata nawewe utakufa bureeeeeeeeeeeeeee satani amkuu
Wewe huto badikika ukipewa fursa ya pili pia utafanya tena//
Hupaswi kupewa musaada wowote uyo baba kama yupo hayi awacukiwe wanaye nawewe nenda kwamama yako
Kwan mwanaume Ndy huyo mmoja tu ulimuona wengine hukuwaona Mpaka umtowe Ndug yako uhayi kisa mwanaume afu unasimuliya uso mkavu km unachoma ubani kifokolokwinyo usokuwa na haya wala usojuwa vibaya ujiandae Kesh mbele ya ALLAH kujibu dhambi ya kuuwa au ukatumikie adhabu ya kuuwa dagaa mchele weweee nyoooooo
Na Tena haitoshi umchukukie na mtoto pia loh.
Muongo ww hii story yakutunga
Huo ni uongo mtupu,story ya kutunga bhana,MTU aliyeuwa sasa hivi angekuwa jela,hata kama MTU ameua miaka 10 iliyopita lazima angechukuliwa hatua za kisheria.mbwa we we acha kutumalizia MB zetu
Siyo kiganya icho
Wewe nimushenzi kabisa ebu toa upumbafu hapo muaji mukubwa halafu bila haya unaongea mbele yacamela
Ni story au mbona kama hajajuta kabisa
Wewe ni mujinga Sana humbwa mkubwa wewe hutateseka miaka Yako yote
HUYO ASINGEKUPELEKA KWAKE MAANA WIVU WAKO NA HUYO MAMA UNGEMWUA.
Kalipo dunia ulimwengu utakifunz ww adi kufa kwako utobarikiwa ww
Mungu Mkumb wa
Kiki za kipuuzi tu.. mbona ako uraiani bc
ibilisi wewe utayakuta hayo uliyoyatenda kwa muumba
Huyu mwanamke anaudhi mchawi
Yani amenikwanza huyu dada hata kama mkasa wake unafundisha tusifanye hivyo kweli anasababisha watoto kuishi maisha ya shida na kuachwa yatima Kwa ajiri ya tamaa zake Yani Mimi binafsi nimeumia jamani mpaka machozi yamenitoka💔💔😭😭😭😭😭😭😭
Mtoi wa dadako asaidiwe na baba lakini wewe na mtoto wako mganga anafaa kufaa .........wengi wanateseka juu ya waganga
Pumbavu hufai kabisa kwa dunia hii, kafie huko
Unajiliza nini mnafiki
Yani unaongea hata hofu ya mungu hauna
NA KUWA KM MIMI MME WAKO HURUDI KABISA MAANA WEWE UTAMWUA HUYO MME. UTAENDA TENA KWA MGANGA. WEWE MME NA NDUGU MSIJARIBU KABISA KUMPOKEA HUYO ATAWAUWA
Anaroho gumu mno mmmmh
Malipo ni hapahapa duniani
Wewe ppumbafu nafikiri hautakuya ?
Anaongea bila ata haya jmn
Unalaanaa wewe nyooo, mshenzi mkubwa, mnafiki mkubwaa wewe shetanihuko kanisani hawajuwi ushenzi wako kamfufuwe dada yakowehuu wewe
This is a drafted story because they need more subscriptions.
Huyu hana aibu hata
🙆♀️🙆♀️🙆♂️🙆♀️🙆♂️🙆♀️🙆♂️🙆♀️🙆♂️🙆♀️
Sasa umempata mume wa dada yako endelea kufaidi sasa usijite Roho mbaya mpaka unaua ndugu yako
Mmh roho ngumu
Bado usilie
Hivi mtu anaekili kuua si hua anafungwa jamani huyu kesi yake ni yapolisi
Story ya UONGO hiyo,jambo Kama hilo huwezi kusimulia USO ukiwa mkavu hivyo!
Daah kwel dunia imeixha
Yani natamani nikupige likofi limoja,huna ATA AYIBU kuongeya ibilisi wewe
Huyu anatokea mkoa gani jamani?Eti ametokea kijiji cha Muendapole!....
Ipo kibaha
Huko ni kibaha
Dhulma haidumu. Ikidum inangamiza. Umedhulum nafsi isiyokuw nahatia
Dawa zina MWISHO mapenzi ya dawa siyo mapenzi Ila uyu dada Ni SHETWANI IBILISI mkubwa Yani ningekuwa mama yako hungesogeya pembeni yangu
Wanawake kwa tamaa na wivu wa kijinga hawajambo. Unakuta kila mwanamke hapa mjini anaishi kwa pressure ya kupata mwanamme mwenye hela ili atunzwe na kutambia wenzake. Mwanamke ndiye kiumbe pekee awezaye kuua best wake ili aolewe na mume wake (mume wa best wake).
Mshezi wewe acha ujinga umeshapandia hata watoto wako raana
Ulaaniwe pepo mkubwa mtumwa wa shetani 👹👹
Hii ni fake story tunaomba na ndugu zake wahojiwe wa karbu tujue