Jinsi ya kupima voltage kwa kutumia Multimeter (How to measure voltage with multimeter)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Pata urahisi wa kupima VOLTAGE ya aina yeyote ikiwa A.C au D.C kwa kutumia multimeter cha msingi ww kama ndio mara yako ya kwanza kutumia multimeter fuatilia video hii utaweza kujifunza sheria na ujuzi wa namna ya kutumia multimeter ndani ya muda mchache baada ya kutazama video hii cha kuzingatia ni kwamba ni rahisi sana kutumia multimeter hata usiwe na shaka.

ความคิดเห็น • 3

  • @BeataMgwassa
    @BeataMgwassa 8 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mkuu

  • @MussaOmar-h6l
    @MussaOmar-h6l 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naona,mambo ni moto,hiyo mikono yako bado migum kama wewe mwenyewe na ubishi wako.kkkkk

    • @willemdachi
      @willemdachi  8 หลายเดือนก่อน

      Hahahaaaaaa haya bhana msumbiji