HIVI NDIVYO PEDI ZA KUFUA ZINAVYOTENGENEZWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Leo nimekuletea huu mchongo wa kutengeneza pedi za kufua kwa kutumia vitaulo na matirio mengine.
    Huu mchongo nimeuchukua kutoka kwa kituo cha kulelea watoto yatima kinachoitwa Kisarawe Orphanage. Unaweza kununua kwa ajili ya kuwapa sapoti watoto hawa, fanya kupiga 0714208066 au 0754868297 ili uweze kununua kwa jumla au reja reja kwa ajili ya mtumizi ya kawaida na kuuza na kutengeneza kipato.

ความคิดเห็น • 13

  • @TheodoraTungaraza
    @TheodoraTungaraza 7 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sàna

  • @salomemgaya1244
    @salomemgaya1244 4 ปีที่แล้ว +1

    Woooow inapendeza kwa kweli ni kazi njema,nimefurahi watoto wanaonyesha raha sana,hongereni sana na MUNGU awakumbuke.

    • @jovinajoshua7834
      @jovinajoshua7834 4 ปีที่แล้ว

      Plz naweza fanya biashara na ninyi?? If it is possible nicheck kwa namba hii 0769379420

    • @FIFO28
      @FIFO28 3 ปีที่แล้ว

      @@jovinajoshua7834 wameweka namba za tayari hapo juu kwenye maelezo ya video clip hii. Wapigie ndugu

  • @janethmpinge8983
    @janethmpinge8983 2 ปีที่แล้ว

    Waooooh my home

  • @ClaudiaAlberto-l2b
    @ClaudiaAlberto-l2b 2 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji napataje jaman

  • @zulfachongera7390
    @zulfachongera7390 ปีที่แล้ว

    Ù

  • @EuniceMsuku
    @EuniceMsuku 2 หลายเดือนก่อน

    Samahan dada naomba majina ya matilio na izo batani za kubania

  • @TheodoraTungaraza
    @TheodoraTungaraza 7 หลายเดือนก่อน

    Nitajatibu kushona maana mashine ninayo tayari

  • @hawapume8889
    @hawapume8889 ปีที่แล้ว

    Naitaji nipo mlandizi kibaha

  • @jacklinecharles4764
    @jacklinecharles4764 ปีที่แล้ว

    Nazipataje niko dodoma

  • @MrsSamweli
    @MrsSamweli 3 หลายเดือนก่อน

    Zinaxpaya kwani?

  • @jovinajoshua7834
    @jovinajoshua7834 4 ปีที่แล้ว

    Plz nahitaji kufanya nanyi business 0769379420