hello ndugu zangu najua mmeanza mda kuni sapoti sasa nimewaletea kazi hii nyingine naombeni sapota yenu kiukwel kazi yangu ni kufanya kazi nzuri kaz yenu ni ku share na ku coment nawapenda
Kaka b2k nahitaji one day tukutane nikwambie kitu kuhusu mziki wako kaka mziki wako upo mbali kuliko unavyodhani wew kaka Kuna maeneo mfano simiyu,mwanza,kigoma,tabora,dodoma ni mikoa michache ambayo unafunbase kubwa sana kaka maeneo ya vijijin Kuna watu wanakujua kuliko iringa kwenyewe
B2K MNYAMA nimeisubiria hii kazi kwa muda sana ila umetisha zaidi ya matarajio 🔥🔥🔥 leta mawe iyo kazi ya kulike kushare na ku subscribe tuachie mashabik zako tutaimaliza big up bro
I upendo wewe so much B2K. Mimi ni Angola na sijui chochote kuhusu Kiswahili, lakini napenda muziki wako wote na video. Wewe ni msanii mzuri sana. Nakualika kutembelea Angola, utakaribishwa✌✊👏🙏🙏
Tulikubaliana kugawana majukumu,kazi yetu ni kupata idea kali,tuandike mashairi mazuri,tuingie studio tufanye kideo kizuri pia🎉haya kitu kizuri chenu hiki nanyi mmalizie hatua ya kutusapoti kwa comments nyingi,likes pia share sana link
Me naukubali mziki wako Toka enzi za dimaya ila nikikuta sehemu ata mtu anasikiliza ngoma zako lazima nimlipie peps haswa Mikoa nje na nyanda za juu Huwa inanipa furaha sana kaka
hello ndugu zangu najua mmeanza mda kuni sapoti sasa nimewaletea kazi hii nyingine naombeni sapota yenu kiukwel kazi yangu ni kufanya kazi nzuri kaz yenu ni ku share na ku coment nawapenda
sawa sawaaa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mbona hai play?
Tupo pamoja mwagito. Kazi nzurii
Tunaisubiliiii
Kazi safi B2K mnyama, keep it up
Unyamaa mwingi
Tuletee kayumba kwenye remix hii ni bonge la nyimbo
Sawa mzee mwenzangu hii imeenda
Nimekuwa wa kwanza kulike na kucomenti
nakubal sanaa
oyaaaaa
Video vixen sijampenda
UNYAMAAAAA,,,NAIPENDA SANA
asanteee
oya eeeeee mwanetyu huyu kwa hili goma ameuwa kinoma noma sana yaaana noma sanaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Moja ya kazi nzuri sanaa ambazo umewahi kuzifanyaaa
Kaka b2k nahitaji one day tukutane nikwambie kitu kuhusu mziki wako kaka mziki wako upo mbali kuliko unavyodhani wew kaka Kuna maeneo mfano simiyu,mwanza,kigoma,tabora,dodoma ni mikoa michache ambayo unafunbase kubwa sana kaka maeneo ya vijijin Kuna watu wanakujua kuliko iringa kwenyewe
Mpaka zanibar tunazisikiliza ngoma zako ziko bambam
kazi nzuri sana .mm fans wako .ww unajua kuandika.na nimekuangalia fnl jana.
thanks.care its out come of light love.
The Pride of Njombe 🔥
B2K MNYAMA nimeisubiria hii kazi kwa muda sana ila umetisha zaidi ya matarajio 🔥🔥🔥 leta mawe iyo kazi ya kulike kushare na ku subscribe tuachie mashabik zako tutaimaliza big up bro
Noma sana🎉🎉🎉🎉
Maua ndio mengi kwako mwanetu❤🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
B2k kazi zako nazipenda sana hata ngoma ya DIMAYA na ya UHAKIKA dah nazipenda kinoma
nakubal sanaa
I upendo wewe so much B2K. Mimi ni Angola na sijui chochote kuhusu Kiswahili, lakini napenda muziki wako wote na video. Wewe ni msanii mzuri sana. Nakualika kutembelea Angola, utakaribishwa✌✊👏🙏🙏
Kijana wa njombe sambaza upendo bhana tuko pamoja wewe maana kusini ni wewe bhana
toka zamani pakasasa unikeli uniboi ndokwanza mistariyako natumiya kumliwaza waubaniwangu , toka twaendana huwakika kamwambiye adi nikohapa mwana🎉
Mnyama una upiga mwingi sana
Unajua sana mwanangu wa damu goma Kali utatuuuuwa mzee baba 🔥
Kila la khery kaka katka kaz yko mziki mzur kipaji kikubwa🙏B2k Mnyama
nakubal sanaaa
Tulikubaliana kugawana majukumu,kazi yetu ni kupata idea kali,tuandike mashairi mazuri,tuingie studio tufanye kideo kizuri pia🎉haya kitu kizuri chenu hiki nanyi mmalizie hatua ya kutusapoti kwa comments nyingi,likes pia share sana link
great
Kaka vip Kama nataka kuurecod shngap
❤❤❤🌹🌹Huna shoo mbovu nakukubali sana broo
Mnyama wangu nakukubali sana much respect bro
Kaka MOGA Lee yupo msapot hata Kwa wimbo mmoja
Wanangu wa makambako dondosha like hapa
BEEM WAITING FOR THIS,,THIS IS A VIBE
tuondokeee
🎉🎉🎉🎉aiseh hi noma sana,big lovey from diasporah lebanoni ,kenya 🇰🇪 yakupenda zaidi u pole Kam WA king kiba 👏👏👏💐💐
BONGE LA CREATIVITY C.E.O WETU 🔥🔥🔥🔥🔥
Ngoma kali ya moto sanaaaaaa
B2k mi ni shabiki yako sana kila ukiachia chupa nko nayoo💯💯💯🫡🫡nakukubali ....
pamoja sanaa
Kazi safi alafu luku jameni ni moto mwanangu 🎉
Mda wetu sasa wakuwa on trending top 5
KAZI ikopoa mm mshabiki wako Kila KAZI Yako haiku all❤
Nyimbo kali saaaan❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
asanteeeee
Kazi nzur sauti nzur kaza buti Una mashabiki wako wengi❤❤
Bro B2k yengine HIT eeeh bro kali iyi
bloo tupo pamoja sana mzk wake unavutia Sana hata kama ulikwa namastrec ukisha skia ngoma yako strec mawazo yote kwisha❤ 2:48
🔥🔥🔥🔥
jamaniiii kalibuni mu enjoy
Tumefika tayali tu enjoy music mzuri
Bro Ile nyimbo inaitwaje ambayo unasema namshukuru magumu yameniendea mbali
Nzuri sana
Nakubali kaka we n bora mdawote
Boy unajua mpk unapitiliza💣💣💣💣💣💣💫💥
Wakwanza APA like kwanza djamaani
❤ umetisha sana nduguu tuna enjoy na nyimbo zako
nakupenda sana tena sana kaka unajua sana tena sana😂😂😂😂😂😂😂
My favourite song,B2k nina ngoma zangu tano kweny playlist yng hii ikiwemo
Ila nyieh! Uyu master keys kama mdudu 🙈🙈🙈
B2k upo vizur since ulipo toa goma la TUNAENDA tangu hapo hujawahi niangusha
asantee snaaaa
Tumeisubir kwa hamu..kawimbo kazuri sana kaka
asanteee
wangaptuna isubl kwa pamoja
Jang boy hapa kali sanna kaka dah b2k pamoja sanna
Nakupenda n nyimb zako zuriii ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Leta mawe hayo Mnyamaa
nakubal
Amusing artist. I loved Late SAM WA UKWELI napenda kazi yake MNYAMA B2K
tuna kupenda pia b2k napenda sana nyimbo zako kaka
kwa sauti za uimbaji . 1,King kiba .2, B2k mnyama. 3, Vannilla music 🎶 🎉🎉🎉🎉🎉
This song is hit. Nimeipenda kutokeya challenge TikTok🎉🇨🇩🇹🇿
mziki mtamu saana kaka,,,,endelea kutuburudishaa
Daaaaqh bonge la ngoma aise
Big up brooh... alway'z good juxt keep puxhng
asantee sanaa
Kazi nzuri sana b2k
asanteee mnoo
Yaan song naisikiliza mara tatutatu❤❤❤❤
Iringaaa stendapuuuuuuu
KAZI nzuli
#B2KMYAMA nakuelewa kinyama yani big love for u
master keys anabalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hongera sana bro... its me Benste
Ngoma nikaliii sanaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤💪💪💪💪💪
Goma letu jipya hilo nakubal sana wakunyumba B2K
pamojaa mwanang
Ujawah kutuangushaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaaa anaweza aseee
❤❤❤🎉❤❤
nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kwaya master 💥💥💥
😂noted
Nakuku bali sana bro tangu tunaenda adi Niko apa
Safi sana kwa huuu wimbo b2k umetisha ❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ unyama Sanaa b2k
Gud ila kuna kakinanda kamerudiwakutoka kwa nasri nimekumbuka mbali 🎹🫡🫡
Kusample fresh hakuna kipya mkali
@@Chrisnaida_1 aah kimekaa utamu tuu sio kesi wala
Ila jamaa kakichukua hajasample yani
@@Chrisnaida_1 ila si umeipata ngoma yenyewe
Naifahamu vizur naish nayo mi mwenyewe singer nae jitafuta bado
Sisi tunangoja mzee hujawah kosea
Shabiki namba moja wa b2k mnyamaaaaa
Me naukubali mziki wako Toka enzi za dimaya ila nikikuta sehemu ata mtu anasikiliza ngoma zako lazima nimlipie peps haswa Mikoa nje na nyanda za juu Huwa inanipa furaha sana kaka
Nyimbo nzuriii sanaaa❤❤❤❤
Nakukubali Sana mdg wangu
Nimeipenda kabla sijaisikiliza😩
nakubal
Sjafuata shepu yako nimefuata mapenzi nyongisee ❤
nakubal
Uakikaa
Unyma sana 😊
pamoja
Ukali kaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
kaz nzuri jombaa
Sio kiushabiki tu ila hii Ngoma kaliiii jaman nimerudia zaid an❤✅🔥🚀
oy bob unajua mpak unakera👍👍
Go go kijana
Ngoma Kali sana kaka
Tuko pamoja kka achia 🔥🔥🔥🔥📻🎵
nakubal
Umepat bro❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Bado kidoogo watasema sina kipaji 😂❤💪
umecheza apo droo🎉
Makin goma mzee
Unajua brother✅