RAIS MAGUFULI APAGAWISHWA NA KWAYA, ASHUKA JUKWAANI KUCHEZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @peterkailembo4101
    @peterkailembo4101 5 ปีที่แล้ว +8

    Uniform imeikaa powa hiyo kwaya. Hongereni sana kwaya bora

  • @jaredmutego6884
    @jaredmutego6884 5 ปีที่แล้ว +11

    nawapenda watanzania wanampenda rais wao hongera wa Tanzania kwa umoja wenu pia rais magufuli tunakuombea sana

  • @furahinimbwambo
    @furahinimbwambo 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmeimba vizuri mmevaa vizuri

  • @kipendarohozavery5148
    @kipendarohozavery5148 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wabariki viongoxi wetu

  • @gideonkalumbu5220
    @gideonkalumbu5220 5 ปีที่แล้ว +8

    Umoja wetu asili ya ladha yetu, na amani yetu ndo nguvu ya maisha yetu,hii ndo Tanzania

  • @jacobkassim3642
    @jacobkassim3642 5 ปีที่แล้ว +2

    Mziki hauko vizuri mngerekebisha mitambo yenu.

  • @mariambilonkwa5183
    @mariambilonkwa5183 3 ปีที่แล้ว

    Yaan Rais Magufuli nitazd kukukumbuka

  • @ahdahmed8383
    @ahdahmed8383 5 ปีที่แล้ว +1

    Safisana magufuli.oyeee tunakupenda sana tena sana

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 5 ปีที่แล้ว +5

    Yaan wengine walipoambiwa mtaimba hawakulala yaan acha tu

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana.

    • @judithandrew6480
      @judithandrew6480 5 ปีที่แล้ว

      Kwa hyo ulitaka wacheze uchi

    • @micamathew6433
      @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว

      @@judithandrew6480 mbn sikuelewi?? Hata sijajua swali lako linalenga nini.

  • @khneesajumaa2052
    @khneesajumaa2052 5 ปีที่แล้ว +9

    Nani kama rais maghufuri??hakuna tumhunge mkono rais

  • @eliabamayi4344
    @eliabamayi4344 5 ปีที่แล้ว +3

    Basi huku kenya kwetu ata rais haezi cheza hivi yaani atakua na wasiwasi kupigwa risasi ya uso 😂😂😂😂😂

    • @teddymwageni1763
      @teddymwageni1763 5 ปีที่แล้ว

      Eliabu bhana rais analindwa atapigwaje risasi ya kichwa

    • @eliabamayi4344
      @eliabamayi4344 5 ปีที่แล้ว

      @@teddymwageni1763 😂😂😂😂 kwani analindwa na machine si ni watu ndio wanamlinda Heehee

    • @getrudamunishi5016
      @getrudamunishi5016 4 ปีที่แล้ว

      eliab amayi hahahahaha... Poleni

    • @ameeraaljassim4138
      @ameeraaljassim4138 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kwetu hakuna mchezo wenzetu tanzania wana raha

    • @eliabamayi4344
      @eliabamayi4344 4 ปีที่แล้ว

      @@teddymwageni1763 mmmh!! wacheza na wakenya ww mwanzo kma wamekuchukia huyo huyo bodyguard wako ndio atatumila sasa,,

  • @lizzyshoo8084
    @lizzyshoo8084 5 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂 camera man kiboko anakaa nyuma ya hadhira duuu kazi itakushinda

  • @thomasjefferson3766
    @thomasjefferson3766 5 ปีที่แล้ว

    wimbo huu unaitwa? naomba link yake

  • @mosesmbwambo8202
    @mosesmbwambo8202 4 ปีที่แล้ว

    Sasa waziri wa ujenzi na uchukuzi atafanya Nini ?

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 5 ปีที่แล้ว +1

    We nawe Bertin kama huna cha ku comments better be quite ona sasa comment ndefu lakini ni mavi ya BATA

    • @micamathew6433
      @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni kiburi, sasa ww endelea kuwa na kiburi.

  • @artisthouses3016
    @artisthouses3016 5 ปีที่แล้ว +1

    Kamara man nafikili unamatatizo ubongo wako uko kwapani

  • @maryshipemba6247
    @maryshipemba6247 4 ปีที่แล้ว

    Kamera man muuni

  • @joshuamniko6024
    @joshuamniko6024 5 ปีที่แล้ว

    Si sawa hats kidogo

  • @alexkyai6621
    @alexkyai6621 5 ปีที่แล้ว +1

    Mnakata Sana mauno huo ni uhuni

  • @qurankareem582
    @qurankareem582 5 ปีที่แล้ว +1

    yani dini yenu ni kucheza tu ee mnavaa mnavotaka kenge##

    • @charlesmaguhwa7903
      @charlesmaguhwa7903 5 ปีที่แล้ว +1

      Usitukane Mungu hapendi Muombee mtu kama anakosea

    • @lawrencehezronmwakalebela2738
      @lawrencehezronmwakalebela2738 5 ปีที่แล้ว

      Tako lako moja bovu

    • @mariachuhila9518
      @mariachuhila9518 5 ปีที่แล้ว

      @@charlesmaguhwa7903 kweli siovizuri kutukana

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว

      Matako wewe usituletee ubaguzi wa kidini katika taifa letu ! Udini wako peleka nyumbani kwako jinga wewe

    • @mkwizutv3542
      @mkwizutv3542 4 ปีที่แล้ว

      Kwahyo dini yako inakufundisha matusi🤨

  • @gideonkalumbu5220
    @gideonkalumbu5220 5 ปีที่แล้ว +2

    Umoja wetu asili ya ladha yetu, na amani yetu ndo nguvu ya maisha yetu,hii ndo Tanzania