DADA DOLLZ AFUNGUKA MWANAUME ALIYEZAA NAE, ANAISHI MAREKANI - "SINA MPANGO WA KUHAMIA HUKO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • DADA DOLLZ AFUNGUKA MWANAUME ALIYEZAA NAE, ANAISHI MAREKANI - "SINA MPANGO WA KUHAMIA HUKO"
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 36

  • @mdundotv4501
    @mdundotv4501 ปีที่แล้ว +9

    Hivi ni kwanini watu wengi waliomaliza Chuo kuanzia mwaka 2017 hawajui Kingereza na hawajui kutumi L na R. Unakuta mtu ana Digrii lakini kuona kaandika Lehema badala ya Rehema ni kitu cha kawaida saaana. Elimu ya Bongo watu wanasema wanasoma kwaajili ya Show off.

  • @AishaDjuma-zw5rj
    @AishaDjuma-zw5rj ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣iyo kingereza hapo umetupiga my dongoz🤣🤣ila mnapenda kujizalilisha wenyewe khaa

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 ปีที่แล้ว

    Ilove you so much Regina ❤❤❤

  • @rachelpatrick3749
    @rachelpatrick3749 ปีที่แล้ว

    The Tumbo mbele😂😂😂 kingerezaa ni huzunii jaman

  • @asyasaid5012
    @asyasaid5012 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana siz

  • @rodrigueciza6917
    @rodrigueciza6917 ปีที่แล้ว

    Love from🇧🇮

  • @carindor9825
    @carindor9825 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona mnaongeya sana?? Muace jamanii apumzike kam amekosea nibasi

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 ปีที่แล้ว +3

    Si ndoa huyuuu kwenye UTU ya Kiba

  • @VanesaNyongole
    @VanesaNyongole ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @johnwilfred3920
    @johnwilfred3920 ปีที่แล้ว

    Diva anauliza maswali kama hajajiandaa. Kwa hiki kipindi, Diamond kapigwa.

  • @dittochristopher9114
    @dittochristopher9114 ปีที่แล้ว

    Hahahaha my duguz wadogo love it

    • @siphamathew503
      @siphamathew503 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 nkajua mim tu nmeckia

  • @AngelMasawe-h4i
    @AngelMasawe-h4i ปีที่แล้ว +5

    Si uongee kiswahili

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 ปีที่แล้ว +4

    English inagomba mwamba inakuwa ngumu kujieleza

  • @felisterben6620
    @felisterben6620 ปีที่แล้ว

    Kiswahili mbona kipo poa tu

  • @GaudeReuben-gm4sx
    @GaudeReuben-gm4sx ปีที่แล้ว

    Hich kipind huwa ni sk gan na mda gan

  • @mishiomarhassan7115
    @mishiomarhassan7115 ปีที่แล้ว +1

    My nduguz 😅😅😅😅wadogo 😅😅😅

  • @hellenyyusuph3790
    @hellenyyusuph3790 ปีที่แล้ว

    Nyie English ya nini khaaaa mnakela

  • @LilyJoe-s2d
    @LilyJoe-s2d ปีที่แล้ว +1

    My ndugus wadogos😂kah

  • @mishiomarhassan7115
    @mishiomarhassan7115 ปีที่แล้ว +1

    😅

  • @naimumtinda2494
    @naimumtinda2494 ปีที่แล้ว +2

    khaaa ndo huyu wa kunnua gar na hela ya boom jmn mmmmmh Kwan kiswahili ukiongea c unaeleweka tu nyie kuaibika tu

  • @AishaDjuma-zw5rj
    @AishaDjuma-zw5rj ปีที่แล้ว

    Kuwa msani haumaanisha kuwa lizami uongee kingereza, kiswahili ni luga safi na inaeleweka 😏🤔🤔acheni kutukera na kingereza fake, kwani ukiongea kiswahili utakuwa umepungukiwa nini

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 ปีที่แล้ว +4

    Nonsense interview

  • @LilyNdossa
    @LilyNdossa ปีที่แล้ว +8

    Poor English 😢

    • @angelholsey2484
      @angelholsey2484 ปีที่แล้ว +1

      Ni huzuni kwakwel 😂😂😂😂😂

    • @mdundotv4501
      @mdundotv4501 ปีที่แล้ว

      🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 ปีที่แล้ว

      Lakini wenyewe wanaona wanaweza kingereza mtihani mkubwa huo.