Kwa mila ya wakisii hiyo ndoa kwisha, mama akikaa kwa malazi, pia naomba bi msafwari aongelee wale wasichana wadogo wanaolewa 2nd wife na wanaishi nyumba za 1st wife kuliko waambie mume awajengee nyumba zao.
Mama mkwe kuishi na watoto wake town na si mgonjwa ... Inaudhi Sana.. tuache watoto wetu wakae Kwa amani. Yaani wengi ni dictators .. we need God fearing mother's in-law... May our gd lord help us to respect our children's marriage.
Sio Kwa ubaya bt niliacha kuwatch ii kipindi wakati..uyu mama alisema last Saturday ati.. ladies wale wameza Kwa operation hawajui uchungu ya kuza kama wale wamezaa normal...my sister alifanya operation bt her life has never been the same again...io kidonda imemusumbua for seven years...sai kutoka bwanake asikie Ivo maneno anasema ati Dada yangu anajifanyanga imagine

I'm a proud bachelor without limits period by Steve Irungu Jermaine
Mother's in law are real hell period by Steve Irungu Jermaine
Sio Kwa ubaya bt niliacha kuwatch ii kipindi wakati..uyu mama alisema last Saturday ati.. ladies wale wameza Kwa operation hawajui uchungu ya kuza kama wale wamezaa normal...my sister alifanya operation bt her life has never been the same again...io kidonda imemusumbua for seven years...sai kutoka bwanake asikie Ivo maneno anasema ati Dada yangu anajifanyanga imagine
amelisema vile, kwa sababu na yeye alizaa kwa op na kusukuma pia. so anajua ameona tofauti ipo. hata hivo nae ni binadamu ulimi umeteleza, msamehe
Marriage is a stupid institution went to the dogs I'm extremely sorry 😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐😐 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine