BabaLevo amwaga ubuyu wote kuhusu sababu za DIAMOND kumfukuza MWIJAKU wasafi bet / ANAMSEMA TAJIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @augustuss4503
    @augustuss4503 11 หลายเดือนก่อน +69

    Uaminifu na upendo ni vitu muhimu sana katika haya maisha , Baba levo ni rafiki wa kweli kwa Diamond. There's no doubt about that. Much love baba leo& stay safe 🇳🇴

    • @LenatusPosiano-hi7tk
      @LenatusPosiano-hi7tk 11 หลายเดือนก่อน

      Kweli aise

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน

      True

    • @JemimaNyange-si8cr
      @JemimaNyange-si8cr 11 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @kyungumedardmaurice8321
      @kyungumedardmaurice8321 11 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa bro

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 11 หลายเดือนก่อน

      KILA MWANAUME ANAETAKA KUMUOA ANAKUFA, WAKATI MWINGINE MATITI YAKE HUPOTEA KIFUAN NA ANAKUWA KAMA MWANAUME.
      SHETANI ANATESA WATU SANA CHINI YA JUA HILI, YATUPASWA KUSIMAMA NA MUNGU KWA UAMINIFU MKUBWA ILI AWEZE KUTUOKOA NA MUOVU HUYU.
      TAZAMA BINT HUYU MREMBO WA KABILA LA KINYAKYUSA LA MBEYA ANAVYOPITIA NJIA NGUMU YA MAISHA YAKE.
      WAZAZI WAKE WALITAKA KUMUOZESHA KWA NGUVU KWA MGANGA WA KIENYEJI NA PESA WALIKULA.
      BINTI ALIKUWA AOLEWE NA KUWA MKE WA NNE NA MBABA MTU MZIMA NDO AKATOROKA KUJA DAR.
      SASA KILA AKIPATA MCHUMBA ANAFARIKI GHAFRA, AU YEYE MAZIWA YAKE YANAPOTEA KIFUANI.
      KARIBU UTAZAME TUKIO ZIMA AMEONGEA NA MKOI TV.
      AHSANT KWA KUUNGA MKONO JUHUDI KUBWA ZINAZOFANYWA NA MKOI TV ZA KUWASAIDIA WATANZANIA WENZETU KWA KUIBUA CHANGAMOTO ZAO.
      TUNA UHITAJI WA VIFAA VYA PRODUCTIONS, Camera, Lapto, Mic, NA MAHITAJI YOTE YA PRODUCTION, HIVYO UNAWEZA KUTUCHANGIA CHOCHOTE KUPITIA NO TIGO PESA +255713575718. JINA LIVINGSTONE MKOI.
      UPATIKANAJI WA VIFAA HIVI UTASAIDIA KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI NA TUTARUSHA MFUMO WA VIDEO KAMILI.
      AHSANT SANA, MUNGU WA MBINGUNI AWABARIKI SANA.🙏🏻🙏🏻
      th-cam.com/video/bgTUMnB2q0M/w-d-xo.html

  • @ibraimoselemane17ibraimo29
    @ibraimoselemane17ibraimo29 11 หลายเดือนก่อน +35

    Baba levo wewe uwaga unaongeya ukweli, ila mwijaku yeye anapenda kutembeya na upepo aijalishi ni kweli au siyo kweli, kwakweri ana kera sana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 11 หลายเดือนก่อน +19

    Yani ukipata Mtu kama baba levo mwenye mapenzi yakwer dhidi yadaimond nisafi Sana kwenye haya maisha,,ila baba levo namkubalig Sana yani,,,na baba levo anamkubali Sana Daimond safii,,baba levo nakajua kufiti kwenye nafasi yake Kwa Daimond safi,,mungu awatunze na urafiki wao ,,asikwambie mtu ukimpata mtu mwenye mapenzi yadhati na wewe kama baba levo Yani unaweza kumpa Kila kitu chako Yani,,,safi

  • @user-ls4sj3fv7t
    @user-ls4sj3fv7t 11 หลายเดือนก่อน +9

    Leo ndo nime amini kwamba wewe ni mtu mzima,baba levo ❤️❤️ ngonja ni ji unge kwenye comptes zako baba ❤️❤️

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 11 หลายเดือนก่อน +36

    Safi Sana baba levo uko na mapenzi yakweli wewe siyo munafki❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @aliyumuhammed6054
    @aliyumuhammed6054 11 หลายเดือนก่อน +11

    Huyu Jamaa yuko real Sana kwa Mondi🤝…Mwijaku mnafiki ndo maana anapapalika kwa kila mwenye hela

  • @user-kg6ee4pi6r
    @user-kg6ee4pi6r 11 หลายเดือนก่อน +18

    Rafiki mnafiki hafai kabisa hongera Sana babalevo kwa kudumisha urafiki wako wa kwel kwa Diamond❤

  • @PalmaresseEnock-cz9dx
    @PalmaresseEnock-cz9dx 11 หลายเดือนก่อน +9

    Safi sana Diamond kumfukuza huyo shoga Mwinjamama 🤏🤏🤏

  • @marwajoseph8060
    @marwajoseph8060 11 หลายเดือนก่อน +12

    Mwijaku anaongea sana ila hana point anaongea mbaka anabowa hata kama ingekuwa ni mimi sidhani kama ungechukuwa hata wiki mmoja

  • @vitrahbongz9420
    @vitrahbongz9420 11 หลายเดือนก่อน +13

    Actually mwijaku anazingua
    Anazidish uongo

  • @muhamadikipemba1749
    @muhamadikipemba1749 11 หลายเดือนก่อน +10

    Good sana baba levo

  • @user-ct3kz3rq1q
    @user-ct3kz3rq1q 11 หลายเดือนก่อน +10

    BABA LEVO NI MZIMA

  • @user-ov3ll9ns5s
    @user-ov3ll9ns5s 11 หลายเดือนก่อน +4

    Safi baba levo

  • @issackathman850
    @issackathman850 11 หลายเดือนก่อน +4

    kubali sana baba levo

  • @saliieking7279
    @saliieking7279 11 หลายเดือนก่อน +19

    Baba levo mnamuona Kma mweu lakini anajitambua

  • @AbdallahOmary-sd8kw
    @AbdallahOmary-sd8kw 11 หลายเดือนก่อน +5

    Baba levo ni kichaa ila kichaa anaye jitambua ila mwijaku kichaa aliye longwa ajitambui kabisaaa yeye ana angalia upepo una vuma wapi aende

  • @odaxcontawa
    @odaxcontawa 11 หลายเดือนก่อน +6

    Baba levo🔥🔥🔥🔥🔥

  • @godymastermind9534
    @godymastermind9534 11 หลายเดือนก่อน +3

    Baba levo ana mapenz ya dhati kwa Diamond. Mwijaku anaongea bila point ya msingi

  • @elijahmwanga9276
    @elijahmwanga9276 11 หลายเดือนก่อน +5

    Baba Levo Hilo Koti Lako La Upinde Usiende Nalo Kenya,Kuna Sheria Katika Mchakato Kwa Ajili Ya Kuwashughulikia.

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂😂😂 tulikubaliana tujifanye wehu lakini nikaona mwenzangu amekuwa mwehu kweli kweli 😂😂😂😂

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 11 หลายเดือนก่อน +9

    Sifa sio nzuri B Levo leo mwijako jana bodyguard na weye iko siku itakuwa weye

  • @wilsonjaphet5547
    @wilsonjaphet5547 11 หลายเดือนก่อน +11

    Mwijaku kakidhiri kwakweli

  • @mjanthony4864
    @mjanthony4864 11 หลายเดือนก่อน +12

    mmesikia hapo sijui kama na Sallam… Sallam na Diamond kwishney..

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 11 หลายเดือนก่อน +7

    Mwana wa kwelii

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 11 หลายเดือนก่อน +2

    Baba Revo👍

  • @djumadjumbe6907
    @djumadjumbe6907 11 หลายเดือนก่อน +6

    Baba levo kua mkweli bro ,usije uka umwa waanze kutembeza kopo

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 11 หลายเดือนก่อน +1

      Alipotoka jela ulisikia kopo likitembezwa ulichangia ngapi?

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 11 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani Baba Revo❤️❤️❤️

  • @parcymomademomade3849
    @parcymomademomade3849 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @KimbilimaSocial-dy9cl
    @KimbilimaSocial-dy9cl 10 หลายเดือนก่อน

    Kabisaaaaa mwijaku kuchwa kibovu
    Kimeja maji musimpokee tena

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 11 หลายเดือนก่อน +3

    Sijuh km na salaam

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 11 หลายเดือนก่อน +3

    Maua 🎉🎉🎉

  • @mchumiajuani1993
    @mchumiajuani1993 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tunatoka katika familia, malezi, elimu, ujuzi, maarifa, dini, ustaaarabu tofauti HATUWEZI KUWA SAWA, KUNAMUDA INABIDI TUHESHIMU HUO UTOFAUTI

  • @user-wl5kt4ux9j
    @user-wl5kt4ux9j 11 หลายเดือนก่อน

    Baba levo kukuba sana hata kama unatafuta ridhik lakin unaupendo wa kwel diamond yaan simbaaa namaanisha chibudenga

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahah, wabongo bana.. kwa kutaja milion kirahisi lakin mfukon wana laki 2

  • @ImuDabo
    @ImuDabo 10 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku anatamaa

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 11 หลายเดือนก่อน +3

    Fundi❤🎉😊

  • @StarRaphael
    @StarRaphael 11 หลายเดือนก่อน +1

  • @edwardkawiche2811
    @edwardkawiche2811 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nakubali funding majumba

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwa Salam sk vip?

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 10 หลายเดือนก่อน

    Riziki huwa anatoa Mungu Tu kwa waja huwa zinaputia

  • @patrickmfundiri8669
    @patrickmfundiri8669 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yule misifa mingi

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa kwa nini mwenzako anaenda kuwa chizi kweli au kitambo cha nyuma aliwahigi kuwa chizi akapona na sasa uchizi umerudi tena 😂😂😂😂😂😂

  • @Me-tw4nf
    @Me-tw4nf 11 หลายเดือนก่อน

    Bora mwijaku anaongea kupitiliza anaboa

  • @MichaelBusinesHub
    @MichaelBusinesHub 11 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂❤

  • @user-qz8gn6bn6r
    @user-qz8gn6bn6r 11 หลายเดือนก่อน

    Acha uchocheze LilOmyy Sasa Domo ajuwi hutaki ashambuliw kwa nn

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 11 หลายเดือนก่อน

    Diamond anaroho mbaya, kila mtu akitaka kujiweza anamfukuza

  • @omanmct135
    @omanmct135 11 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂

  • @user-yf3yn3ym9y
    @user-yf3yn3ym9y 11 หลายเดือนก่อน +3

    Uwezi kuongea bila kumtaja harmonaizi wewe pimbi

    • @leahzuu6468
      @leahzuu6468 11 หลายเดือนก่อน +3

      Unateseka ukiwa wapi😂

    • @kilungahamis1270
      @kilungahamis1270 11 หลายเดือนก่อน +3

      Masikini anateseka kinyama.😂😂😂 na bado Diamond atawatoa koromeo bila kuwagusa popote

  • @elijahmwanga9276
    @elijahmwanga9276 11 หลายเดือนก่อน

    Baba Levo Hilo Koti Lako La Upinde Usiende Nalo Kenya,Kuna Sheria Katika Mchakato Kwa Ajili Ya Kuwashughulikia.