Darassa: Nimechoka / Hatutaki Watu WAKUWE, Wapate Nafasi, Wafanye wanchofanya
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Interview ya #Darassa kwenye #ThePlaylist Times FM na #LilOmmy ameongea mengi kuhusu kukaa kwake kimya kwa muda mrefu na mengi kuhusu muziki wake!
Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp, Facebook au Twitter.
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea www.lilOmmy.com
Darassa asante kwa kurudi kwenye game mzee! nakupenda sana. na umeongea ukweli kabisa"Ngwea" hakupewa heshima wakati wauhai wake kabisa.
Class eeeh!!
Bongo Kuna watu nishawapenda Sana kiuhalisia. Kwenye music ilikuwa Ngwair na since Darassa nikujue bro....nilikuwa fan number moja Wako toka wimbo Wako WA kwanza kuuisikiliza.....pia nimefurahi venye mmemuongelea Tupac Shakur 'Makaveli'. His art and intelligence lives forever. Nakuombea bro Darassa ueke hiyo legacy ya Tupac. Me mpaka Leo najua hakuna Rapper mkali kumliko. Darassa wee ndio Tupac wetu hapa Africa. Kaaza kamba bro
welcome back mkubwa wa kuchana. you were missed too much
#lilommy tv noma
MVP kizaziii Sanaaahh
wcb 4rever...wcb 4 life
Good 😍
Nice show
LilOmmy Tv
Mshauli huyu Jamaa
Astumie madawa yatammaliza
Darassa anajielewa na pia kichwa kimetulia kuliko wasanii wote Tz.just mtazamo wangu🏗
👍👍
🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hapana tatizo, ukiamua kukaa kimya ili utengeneze mazingira yalokua yakikupa changa moto,
pia sawa, darassa hasauliki mtaani
Pambn sana darassa bdo tunakuitji
Wasanii wengi wanatoa nyimbo kwa kupaniki co ubunifu wa kvutia.bora ata killer aniangushagi.mpeni pasi killer
Ulinyonywa mzee
hajawah feliii namkubalii mieee
We
Huyu sio darasa wamemfanyia cloning
The people is smoking
Kama unagali lako unaitaji fundi waya nicheki 0767319257
we mteja tu
MUVI Kali iliyo tafsiriwa KISWAHILI bofya bluu- th-cam.com/video/_TPLxg7Pd_Q/w-d-xo.html ll
Jamaa kweli kijugu check sura ilivyonyauka unga kweli haujawai kumuweka mtu salama 🤔🤔
unga sio poa chek alivyo konda
embu fanya uangalie interviews za nyuma, hajawah kuwa bonge.
Acha unafik
Dalasa tatizo lako unakopi cn
wewe hata kuandika jina lake hujui alafu umeona alipokosea. ???
Juma Mkongowe anakopi sana? alishawahi kukopi Nani?