MTU ANAYESEMEKANA KUWA MWENYE UMRI MKUBWA ZAIDI DUNIANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Mzee mwenye umri mkubwa anayefahamika kwa jina la Ambilikile Panja, mkazi wa Kijiji cha Majengo, Kata ya Ihanda ambaye amekuwepo tangu nchi haijapata uhuru wake, lakini ana kumbumbukumbu ya kushuhudia vita vya maji maji, vita vya kwanza na vya pili vya dunia kwa ukaribu.
    Mzee Ambilikile ambaye kwa sasa ni kikongwe asiyeweza kufanya chochote bila ya msaada wa mtu mwingine, hubebwa au kusukumwa na kiti cha magurudumu ‘Wheel Chair’, japo hakumbuki umri wake kwa sababu ya kula chumvi nyingi, anakadiriwa kuwa na umri wa miaka 127 mpaka sasa. Hivi sasa juhudi zinaendelea kumwingiza katika Guiness World Records.

ความคิดเห็น • 3