8.KUSHUGHULIKIA AINA MBALI-MBALI ZA ROHO YA MAUTI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @neemadalugoda2622
    @neemadalugoda2622 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu nisaidie nimeota ndoto mara nyingi na inarudia mara mbili kuna mda na sali kunamda na puuzia Asante Mungu kwaku nifungua sintapuuzia tena

  • @ceciliaonyango5367
    @ceciliaonyango5367 2 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi wa Mungu akubariki

  • @epafrangweshemi4014
    @epafrangweshemi4014 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapa comment ni chache. Inadhihirisha jinsi ibilisi ameteka fikira za watu ktk mitandao. Ingekuwa mambo ya uasi comments zingekuwa nyingi sana hapa. Hapa shetani hawezi kujifitini maana unamfunua hila na mbinu zake.
    Mungu akupe neema ya kutufikia na sisi tunaekuhitaji sana utufundishe namna ya kujinasua na kabali alizotukwida na kuendelea kututesa ili tumsujudie.
    Kwa maarifa haya hasujudu MTU hapa yeye akae sawa maana kabali itamkwida mwenyewe si muda mrefu, Haleluya. Anatuchosha sana lkn tutamshinda.
    Ubarikiwe dada Grace!

  • @reginamlay5263
    @reginamlay5263 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mwalimu

  • @emillyjeremiah9113
    @emillyjeremiah9113 4 ปีที่แล้ว +2

    Thank you Jesus for the word.iam blessed.thank you woman of God ,il always pray whenever I dream.iam not gonna tire but il pray continuously

  • @viddamakundi8679
    @viddamakundi8679 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe na Bwana mwl. Asante kwa mafundisho sitapuuzia tena ndoto. Mungu anisaidie

    • @aycamugishagwe8911
      @aycamugishagwe8911 2 ปีที่แล้ว

      Ahsante Sana Mungu akubariki Upeo Mtumishi wa Bwana Mwl Grace.Mungu atuwezeshe kupambana Daima.

  • @dianathobias8218
    @dianathobias8218 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mama

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina, ubarikiwe mwalimu

  • @rachelthomas1403
    @rachelthomas1403 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen Amen Amen ubarikiwee mwl

  • @hellenwanyama6608
    @hellenwanyama6608 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed mwalimu somo mazuri mungu ni mwema kila wakati

  • @rosepaul2871
    @rosepaul2871 3 ปีที่แล้ว +1

    Shalom mwalimu nisaidie Mimi nimuombaji lakini Sasa siwezi kuomba tena naumia

  • @aristaricklekule4932
    @aristaricklekule4932 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @neemamanyangu9665
    @neemamanyangu9665 2 ปีที่แล้ว

    Pp