KWAYA YENYE STYLE KALI KENYA - AIC MASII KWAYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2023
- Style kali za kwaya kutoka Kenya. Fuatilia AIC Masii wakiwa location.
#gospel #Music, # Mix Gospel Songs, #Gospel songs
Kila mwenye Pumzi na amsifu Bwana. Nyimbo hizi zinakupa hamasa katika kumsifu, kumwabudu na kumshukuru Mungu. - เพลง
Kazi mzuri sana.. Jina LA Hilo wimbo
th-cam.com/video/WzkWOcrrlOs/w-d-xo.html. This is the Original Song
Wah, congrats.i love the song and even the dance stills.Am from A.I.C Kithembeoni
Kwa kulea vizuri ni hii deni la A .I.C may God bless you surely nokuoleke tu kunafanya tutoke our former church's
Very nice song also hiyo dance Iko sawa
Hongera kwa ujumbe mzuri mbarikiwa Zaid na zaidi na kuendelea kureta msg Kwa njia ya uimbaji👏👏
Kujeni kwetu tuwaonyeshe kivumbi ❤enway congrat mumejaribu
Kazi ya Jembe . Kazi nzuri kabisa . I salute u men n women of God
Ila huyu mdada was mwisho hapa mngemshonea nguo sare za kiume Ili acheze comfortable 🥰🥰
Nawemapenda sana... Masiii Choir .... U blessed me some years back ... Tukiwa mwala regional mens conference at masii
Asante sana,soon wimbo wote utakuja
Utazeekea hapo ukusema ni za kuhosha wewe najua hata umekauka Kama kuni hats mguu huezi move kwenda nyuma
Like AIC masii kwaya youthful life is good 👍😂
Kwaya hii nimekukubali Mungu awabariki
Huyo msichana hana nyelwe yuko sawa Mungu amuinue saidi
Kudadeki safisanaaaaaaaaa kwelihadikielewekeeeeee
Bravo! nice one youths,even in the bible David danced to his top most
Ngoma poa,hongereni
Mubarikiwe na mwenyezi mungu ❤❤
Mungu awabariki sana watumishi muko vizuri
Thanks for that gospel dance it has blessed me so much be blessed.
Safi sana wana was Mungu,, muwe mmekopy Au hamjakopy mubarikiwe mnamtukuZa Mungu
Hawajacopy bali mwalimu kutoka Tz ndio yuko nao
It's original song na wao ndio waliingia studio under Teacher wao
Kaz nzur mubarikiwa na mungu 2:29
The girl on the extreme right 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Nice one!
Nilikuwa natafuta hii comment😂😂😂😂
Through Christ Jesus we continue to bless your work
Congratulations 👏 guys good job more 🔥🔥🔥 fire
Congratulations waibaji wenzagu
Gooooood song❤
Wauh so amazing,keep it up
Mbalikiwe Wana wa mungu
nice one...kujeni AIC tala sasa
Mung awatie nguv wazind kusong mbere
This song makes me miss home 🏠
Bravo
Nice one 👏👏👏 very talented young souls... I like the dressing
Thank you so much
Cograts guys I can see my classmate kimani there I say hi
Mimi natambua Aic Wetaa
Mumevaa smart mubarikiwe
Nimeipenda hiyoooooo❤❤❤❤❤
Karibu sana muda si mrf wimbo wote tutauleta kwenu
Hongereni wanajeshi wa yesu
You beautiful ngai eyosee utaio🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wow kweli n moto
Mbarikiwe Wana kwaya
Mm natambua Aic makindu choir
Mmependeza wenyeweeee
Mko vzr watmish
Hiyo dance ni wow
Mwendelee kimpendeza. Mungu
Good job mko sawaaaaa
Soon tutaweka wimbo wote
SO SWEET
Mungu awabariki
nice gospel, keep it up
upuzi mtupu tu,badala watu wasikije ujumbe imegeuka ni style ndio watu wanaangalia
Wewe ndo lipuuzi umekerwa na nini apo watu wapo location
Sikiza song na uache izo
Weee ni mtu useless kwa society,waimbaji mpo sawa...kongole
No 10 namwaminia
🎉I like it❤❤❤
Congratulations to you
Wow ningapata kwaya kama hii nigesonga mbele sana
Asante sana,soon wimbo wote utakuja
@@nextlevelextra247 SASA kitaelewekaje ,??ujumbe wa wokovu?utakatifu?Ibadan kwa mungu? The composer should have brought out a full meaning of the piece of music.
Jaman wanaimba xana hongeren
Asante sana,soon wimbo wote utakuja
Nzuri sana
Kazi poa
This very touching
Thank alot. Stay blessed
Congratulations 👏
Mnajitahidi sana watumishi ila sikuingine mkiwa live musi weke zile kelele za mashabiki mta weza sana video yenu ,mme fanya vizur .sema vikelele vya inje .
Kazi mzuri mparikiwe
Hizo kelele ndio utamu wa wimbo.. cd washatoa yenye haina kelele. Go buy
Mbarikiwe sana
A place to be... . Hapa ndio nilianzia uimbaji album ya usinikokote pale 2006
Mko vizuri ila wanaume tu ndo wamefaidika na hizi style sisi wenye magauni marefu tumejitahidi
Kawaida tu
Hap swa
Good job
Kazinzuli
Amazing
Wakenya wacheni wivu jivuniyeni wimbo ya wakenya mbona munapenda wimbo za lnchi zegine kam Uganda 🇺🇬 na Tanzania 🇹🇿
Sharing is carering I like tz kiswahili Chao kizuri kweli
I like different songs for different reasons. This song is a high energy with amazing fast beats, soloist and no one can beat Wakamba in dancing. So it's not a competition but appreciating variety of talents. As a Kenyan I have resonated more with Tanzania gospel-I guess the tempo matches my personality and what I'm feeling most of the time -meditative mood. I declared Tanzania the Kwaya Capital of East Africa ever since I was a kid. Kenya is great at other things such as Marathon running, tourism, international relations etc.
And when I feel like dancing or walking in tempo, I crank the volume, feel the spirit, and break a sweat with music like this one.
Great performance!!
😂
❤❤❤
Glory to God
Good songs
Jamani😂😂.mnacheza.je?ujumbe.ummooo.au
🎉
Aid masii choir
Wow
great
👍
Great
Wacheni ma kelele huko nyuma.
My home church choir
wapi official video yao
Style sikufunza hivo mimi 🤔✖️
Mnadance
Mko poa sana
Ubarikiwe sana
Swaga tupu hiyo
biti zadin
Wow😅😅😅
Nice
Mungu awabariki sana. Ila hiyo camera mliyoitumia haionyeshi vizuri
Hyo ilikuwa ni kionjo location. Hivi karibuni wimbo tutauweka
nice
Nawaaminia heko kwako 6
Where can we get the official song coz this is not clear and people are talking inside
Thanks for entertainment
Nice work bt next time mkishoot izo makelele za mashambiki apo zikome na mtaeda far siku moja nitawatembelea tufanye kazi pamoja
Na mwenye haitikake naw anaita kabisa waimbaji Hawa wanatukubaliaha kweli
Wapi soloist munafocuse kwa dancers tu
Haka ka mwisho kana kiherehere 😂
Hahhahahhhahhaha
Hii church nijue kwenye inapatikana sitakosa church
AIC MASII, Machakos Count. Masii
Wame walibia waliokuw wan ongea nje
Hyo ilikuwa kionjo cha location wimbo mzima utakuja hivi karibuni
Kazi nzuri saaaaaaana,ila kuna sauti zingine kando mbona?
Hiki ni kionjo tu cha location, wimbo si muda utakuja
@@nextlevelextra247Asante sana watu saMungu
😅😅😮😢
😂😂😂😂😂