Ni vyema kuwa na maono pamoja na Malengo ila haitakiwi kua kwa fosi. Imani tu bidii na kutokata tamaa na mafanikio yatapatikana tu.❤❤❤❤❤ From Kenya love you guys reactions
Jamaa anaifanya kazi kubwa na cha ajabu anaifanya bure. Anaitangaza nchi kwa upana na ukubwa hata sisi Kenya tunapata faida kutokana nae inapokuja swala la E.Africa. we really love him more than Tanzanians do and at times I just wish he was Kenyan 😊😊😊
Yaani mumenimaliza kweli 😂 eti ukisha collect 2 billions shillings uta pumuzika kweli? 😂😂😂. Even you after collecting that amount,, Yaani sijuwi kama naweza lala hiyo siku, I can just imagine Sasa hivi Sina hata buku mfokoni mwisho wa mwaka jamani, Kisha ni collect hata milioni kumi tu, weweeeeeeee, tarehe 2 January 2025 siku yako ya birthday mimi nanunua kwanza kiwanja hata iwe kijijini cha milioni 5 tu 😅, Kisha na fungua byashara na milioni tano yengine 😂
NINYI NA BOSI WENU SKY MMEKUWA SASA MACHAWA WA MOND;ACHENI HIZO;HIZO HELA ZA KENYA MMEZIONA AU NANYI NI WALE WALE WA KUWEWESEKA?FANYENI KAZI KAMA WANAUME;ACHENI HAYO MAMBO YA KUJIKOMBA KOMBA ;AM DONE
Ni vyema kuwa na maono pamoja na Malengo ila haitakiwi kua kwa fosi. Imani tu bidii na kutokata tamaa na mafanikio yatapatikana tu.❤❤❤❤❤ From Kenya love you guys reactions
Wa kwanza jamanii gonga like kama wewe ni fan wa Diamond na Sns
Jamaa anaifanya kazi kubwa na cha ajabu anaifanya bure. Anaitangaza nchi kwa upana na ukubwa hata sisi Kenya tunapata faida kutokana nae inapokuja swala la E.Africa. we really love him more than Tanzanians do and at times I just wish he was Kenyan 😊😊😊
Diamond 😮 we ni fire
Mungu azidi kumlinda huyu kijana!
Amepambambana sana jamani!
Mondi ❤❤❤❤
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
Alafu kuna lile Tangazo la Airtel ndan unamkuta Diamond Platnumz,Simi & Fally Ipupa❤❤❤❤❤❤❤
Diamond the best
Ukisikia Fanya kazi : ngazi kwa kangazi, hatuwa kwa hatuwa ndo hiyo. 2025 usitumikii mtu. Hakikisha unatumikisha watu. Mondi our motivation ☝️☝️☝️
HUYO NDIO SIMBA LA MASIMBA DANGOTHE 🦁🦁🔥🔥 ANAIPEPERUSHA VYEMA BENDERA YA 🇹🇿🇹🇿 NA YA EA.
Jamani uyu jamaa ni Noma sana hâta Congo tunamukubali sana ameikomboa tanzania kimiziki hilo halipingiki
Mondi maanina🏃🦁🦁🦁🦁
🙌👑🇹🇿 diamond
🔥🔥🔥🔥
Yani hizo show 3 pamja na matangazo mawili aliopata mwaka huu sio chini ya B5+6bado biashara zake nyingine jaamaa yupo mbali kimkwanja
Hard worker
Simba ❤❤
Lukuga🔥
I think ni jambo zuri kuwa na perspective ya mwanamke kwenye show. Inaleta good balance lakini huyo dada sio. Tafuteni mwingine.
UK tumepishana masaa matatu kwa sasa mpaka summer time ikiingia March ndio tutapishana masaa mawili
Sns ❤❤❤
Please tengeneza Mike wakati waku mzungumzia Diamond Maana iyo Ni brand kubwa sana ☠️🤘🏻💪🏿
😂😂😂😂
I'm from Burundi and big fun of Simba, ningelikua mu tz akina mwijaku ningekuwa tayari nishamvunja mdomo kwa mabox
Yaani mumenimaliza kweli 😂 eti ukisha collect 2 billions shillings uta pumuzika kweli? 😂😂😂. Even you after collecting that amount,, Yaani sijuwi kama naweza lala hiyo siku, I can just imagine Sasa hivi Sina hata buku mfokoni mwisho wa mwaka jamani, Kisha ni collect hata milioni kumi tu, weweeeeeeee, tarehe 2 January 2025 siku yako ya birthday mimi nanunua kwanza kiwanja hata iwe kijijini cha milioni 5 tu 😅, Kisha na fungua byashara na milioni tano yengine 😂
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Achen kumlinganish simba na kiba,mondi🎉🎉🎉🎉
Boss Simba
Ningeshauri huo mtangazaki WA kike, ajishike kama anatangaza sio kama kua boring kwenye kipindi
Mtangazaji wa kike kwa mfano anatakiwà ajishike sehem Gani....❤❤❤😂😂😂 Aisee!!!
😂😂😂 sio kujishika sehem bali ni ninamna ya kujiweka kama mtangazaji nazani bado mpya atazowey
Bahati changamka bana
Huyo dada aongez ubunifu aache kupuuza fursa bdo mpya
Macho yanatudanganya mtu aliye fanikiwa ni mwenye mungu tu ndani yake wala siyo magali na majumba
Napenda kipindi cha sns lakini huyu dada hanogeshi kipindi
Diamond hajawai panda hizo ndege zaid ya wasafi shows mzee always waga ni private jet mkuu stop kusema mwaka huu ni kawaid yake bro 😅
Hyu dem hapana buana bado xana 😂
Simbaaa
Nightmare 😂😂
Jackob wp
Acha ujinga nyie uongo hatutaki plz
LaZma kiba ajE wivu
Julisha huyumrembo namudai
Mond
Na kumtowa dida kafara kwa kuzima pdd msisahau hayo pia yamechangia kumnyanyuwa
Ulikuwep au mlishilikian jmn uwez kumjua mchaw km ww sio mchaw
NINYI NA BOSI WENU SKY MMEKUWA SASA MACHAWA WA MOND;ACHENI HIZO;HIZO HELA ZA KENYA MMEZIONA AU NANYI NI WALE WALE WA KUWEWESEKA?FANYENI KAZI KAMA WANAUME;ACHENI HAYO MAMBO YA KUJIKOMBA KOMBA ;AM DONE
Nyie SNS uyo choko mbon mnamhusudu sana vip au na nyie niwatu wa upinde nn au
Wivu jama wivu hilooooooo fanya kazi yy na ww nn choko?
@TeophilBuilding: wa upinde ni baba yako pumbavu wewe kijana anapambana hapumuzike wewe unafikiria upinde
@@janethmitema1807 nilitegemea kuon watu wanaotombw akili humu
Acha makasiriko choko, njoo hapa na comments zenye afya hustle za SIMBA huzioni nini. Ebu tumsapoti mwanetu kutuwakilisha mbele hizo VIRUS zeko kichwani kamuone Daktari mpuuzi wewe
Umaskn bil wivu bado hujaitw masikn
Diamond 😮 we ni fire
I'm from Burundi and big fun of Simba, ningelikua mu tz akina mwijaku ningekuwa tayari nishamvunja mdomo kwa mabox