Mungu tunakuomba kwa mapenzi yako kuiruhusu na kuibariki kauli hii ya Ally Kamwe kiumbe wako mdhaifu, iwe ndio hali halisi ,, kwani siku zote tunapata nguvu za kuyatamka haya kwa ujasiri mkubwa kwa kuwa WEWE ndio tegemeo letu. Peke yetu bila WEWE hatuwezi. Amina.
Yes brother 🙌 look like that. And 💚 and yellow we turf very turf mazoeziniiii yesss yesss its. Meaning kupambaaana ktk exercise on pitch sides ewe moll tunakuomba utusaidie.tuseme yaarab amiin amiin hakika kwa soote dawar
The Giant Youngs Africans vipi apo lakini eee tunaona mbona sugar sugar sugar and also upthere its good good stuff and also chai cream n.k. again me ask wananchi mmpo lakini eee hayaa Twendeee kazi wananchi wooote allover the world 🌎 ok sugar sugar muwaa mbelee eeeee
Mungu tunakuomba kwa mapenzi yako kuiruhusu na kuibariki kauli hii ya Ally Kamwe kiumbe wako mdhaifu, iwe ndio hali halisi ,, kwani siku zote tunapata nguvu za kuyatamka haya kwa ujasiri mkubwa kwa kuwa WEWE ndio tegemeo letu.
Peke yetu bila WEWE hatuwezi. Amina.
Ally Kamwe una kipaji kikubwa cha kuzungumza, hongera sana🎉🎉
kipaji gani hapo?
Ally Kamwe kweli nimekukubali unajua boli . Aziz Ki na Pacome ndio Injin ya Yanga ❤❤❤❤❤
Mwenyekiti kakesha kwa Diva,basi kwenye interview full kupiga miayo 😊😊
Safiiiiii Aly kamweeeeeeee😢😢😢😢😢😢
Young African Americans, tunachukua ubingwa wa CAF champions League
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaaaaaahhhhhh umepigaje hapo?
Mbona umekimbia manara tv
Yes brother 🙌 look like that. And 💚 and yellow we turf very turf mazoeziniiii yesss yesss its. Meaning kupambaaana ktk exercise on pitch sides ewe moll tunakuomba utusaidie.tuseme yaarab amiin amiin hakika kwa soote dawar
MIAYO FC
❤❤❤❤❤yanga ni time bora
The Giant Youngs Africans vipi apo lakini eee tunaona mbona sugar sugar sugar and also upthere its good good stuff and also chai cream n.k. again me ask wananchi mmpo lakini eee hayaa Twendeee kazi wananchi wooote allover the world 🌎 ok sugar sugar muwaa mbelee eeeee
Nakubali ally kamwe
Semaji la CAF NI WEWE BROTHER
Mm yanga,niliangalia
Tickets za YANGA vs Mc Alger zingeanza kuuzwa Sasa hivi badala ya kusubiri hamasa za wiki Moja 😊😊 ni ushauri tu lakini
NAWAKATI MNAMUOMBA MUNGU TIMU NYINGINE IFUNGWE
Tulia bab mbn tunatoboa
Na wewe Ali Kamwe umeanza tena tatizo lako ambalo Mimi nilidhani umeliacha😅😅😅...kupiga miayo kwenye interview...Acha😅
Wew ali una ugonjwa wa mihayo?
Lakini Kamwe Wachezaji waelezwe kuwa kuna madeni - 2. Wanatakiwa kuwafuta
Katika sehem alizoongea point huyu mwamba ni sehem ya Aziz ki
Hakika unasitahili kuwa mwenyekiti wa wasemaji
vp baba mbn miayo mengi hujala nn?
JITIENE MOYO TU......😂😂😂😂
HESABU ZA VIDOLE
We dogo huna maajabu zaidi comred
Halo ukienda kwenye media usiwe umechoka namna hii, why
ila semaji la cuf litakuelekeza nn ukifanye
Leo semaji amechoka! Afu ana stress! Miayo ni mingi sana
MUNGU WANA YANGA TUNAKUHITAJI WEWE KTK MECHI ZILIZOBAKIA TUPATE USHINDI MKUBWA
Niwatakie safari njma
Hiyo miaka sasa
Tupunguze maneno. Tuzidishe vitendo. Maneno yalitupunguzia umakini.
Mbona kama anaugulia wivu 😅😅😅
Hakuna air conditioner, mbona mwandishi anahangaika
🎉
Ali kamwe punguza ukali wa maneno
Alafu Ally kamwe Fanya mazoezi ya pumzi na unywe maji mengi diaphragm ikae fiti
😅😅😅😅😅😅