SHEREHE za Ufunguzi wa OLIMPIKI Paris 2024 ZALAANIWA kwa kudhihaki UKRISTO na kutangaza USHOGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 240

  • @IsmailiNiraji
    @IsmailiNiraji หลายเดือนก่อน +32

    Mungu atunusuru ushoga ni ubaya ubwela inaumiza sana Allah atulindie ndugu zetu amen asante sky kwa simulinzi nzunri big up much love from arusha tz 🎉🎉🎉

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 หลายเดือนก่อน +1

      MUUMBA WETU
      ATULINDE NA VIZAZI VYETU

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 หลายเดือนก่อน +1

      Wao ndo walileta bibilia kwetu. Na wao ndo wameleta ushoga duniani. Mengine hatukupaswa kuyachukua zingebakia kua imani za kwao

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 หลายเดือนก่อน +19

    Nafurahi Kuona kumbe bado Kuna baadhi ya watu ktk dini ya kikristo wanaithamini dini na kuiheshimu hata huko ktk nchi za ulaya ..

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn หลายเดือนก่อน +25

    NATO ni mashoga ndo maana Putin haelewani nao

  • @saidkhatib9146
    @saidkhatib9146 หลายเดือนก่อน +17

    Yan wanakufuru mara 2 kufru ndan ya kufru Allah awaongoze

  • @user-ke9fc1tq9u
    @user-ke9fc1tq9u หลายเดือนก่อน +2

    Mungu hadhihakiwi wamesahau yaliyotokea Brasil

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s หลายเดือนก่อน +19

    Waacheni tu kitawatokea kama Brazil mungu WA wakristo hachezewi wasubili tu itakuwa mara mbili ya Brazil

    • @user-zv2ng6ov2k
      @user-zv2ng6ov2k หลายเดือนก่อน +2

      Dunia yamwisho hiii Mungu atuokowe kweli

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s หลายเดือนก่อน

      @@user-zv2ng6ov2k inasikitisha 😞

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani หลายเดือนก่อน +1

      @@Chakol123-k7s ili uishi lazima kingine kife wako watu wamegundua vitu kama hivi tuna vyo tumia nasio mana bii kaziyenu niku bariki nakutumia nasio kugundua vya kwetu bblia ita waacha masikini wengi

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani หลายเดือนก่อน

      @@user-zv2ng6ov2khakuna mwisho wa dunia

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s หลายเดือนก่อน

      @@BarnabasFabiani angalia jaluba lilotokea Brazil utaelewa iwe kaunda mungu au binadamu kama umevuka mipka ya dini mungu ataangaika na wewe broo wait

  • @barakaharrison8677
    @barakaharrison8677 หลายเดือนก่อน +10

    Kwa kila mtu atakachokipani ndicho atakachokivuna mpenda uovu atavuna uovu 😢😢😢😢😢

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw หลายเดือนก่อน +6

    Ujio wa Yesu upo karibu sanaaaa ila watu wengi hawajui hii

    • @kombat_coin
      @kombat_coin หลายเดือนก่อน +1

      mwe utakufa huja muona huyo yesu😢😢😢😢😢

    • @GeorgeChitemo-kt8sw
      @GeorgeChitemo-kt8sw หลายเดือนก่อน +1

      @@kombat_coin utakuja kumbuka maneno yangu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Hata wewe hujui lini, hamna ajuaye ila ni kweli yu karibu kuja, matukio haya yamekuwa mengi sasa

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 หลายเดือนก่อน +4

    Masherani mungu awape mwisho mmbaya wao na vizazi vyao ila mjue mungu yupo nataman kila mtu angejua ndani ya mwaka kama watakuwa hai

  • @nick1o7bang17
    @nick1o7bang17 หลายเดือนก่อน +5

    Awakosi sababu awa Mungu anawaona lakin atuwezi wauhukumu Mungu atapambana nao 😎

  • @mwamudaniel7912
    @mwamudaniel7912 หลายเดือนก่อน +3

    Ishara za kuja kwa yesu kumekaribia. Mathayo 3:2

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 หลายเดือนก่อน +3

    Bwana yuhaja. Mwogopeni Mungu enyi wanadamu.

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 หลายเดือนก่อน +3

    I'm proud to be Muslim.... Alhamdulillah

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😂mpuuzi hata ujui kitu.unazani ni kwa nn waabudu shetani wote au illuminati wanajitahidi siku zote kudhihaki ukristo au KRISTO kwa sababu ndiyo Imani ya kweli na ndiyo mpinzani wao wa kweli tangia kuwekwa kwa ulimwengu hivyo wanajitahidi kwa kila njia kuwapoteza wengi kama wewe na wakristo wapimbavu wasiyoujua ukweli halisi.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh ila ifike tu mahali mambo ya dini yasiingiliwe au kuigizwa kwenye mambo yasiyohusiana na dini.
    Its just too much sasa...binadamu tumekuwa huru sana kumdhihaki Mungu karne hii.
    Its a shame,

  • @musajackson3289
    @musajackson3289 หลายเดือนก่อน +7

    Ni siku za mwisho 😢

  • @JudithSylvester-x1z
    @JudithSylvester-x1z 15 วันที่ผ่านมา

    Yesu aliyajua aya namengine yatatendwa namwisho kifo2

  • @ndiiyolazaro1125
    @ndiiyolazaro1125 หลายเดือนก่อน +7

    Mashetani wakubwa sana hawa wazungu mapumbavu

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 หลายเดือนก่อน +4

    Islamic ilishaonaga mrefu mnoo, sishangai tena kwann waliharamisha vitu kama hvyo, Islamic is the way of life for sure.

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅unazani kwa nn waabudu shetani au illuminati siku zote wanajitahidi kudhihaki ukristo au KRISTO kwa maana ndiyo Imani ya kweli na ndiyo upinzani wao wa kweli tangia ulimwengu kuweko.Ni kwa sababu hakili yako imegandishwa na haujajaliwa kukujua ukweli pole.

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 หลายเดือนก่อน +3

    Ina uma eeeh? Mme yisikia inavyo umwa? Acheni sasa nanyie kila siku kuchokonowa uislam. Chaajabu sasa huyo huyo mnae muunga mkono kwa ushoga na usaganaji ndo kawachokonowa nanyie japo wanasema malengo yao hayakuwa hayo. Jifunze kuheshim chamwenzako chako pia kitaheshimiwa ahsante🙏🏽

    • @beatricejoseph2347
      @beatricejoseph2347 หลายเดือนก่อน

      Kwahyo wewe unaunga mkono ushoga na usagaji kwa sababu wew si mkristo?sijakuelewa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Hujui kitu unabwabwaja tu

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward หลายเดือนก่อน +1

      ​@@beatricejoseph2347Mbinu wanazotumia wanaoeneza ushoga. Imani Zetu haweza kuwa Kinga. Kote kote tatizo kubwa mno.

  • @ms123ru
    @ms123ru หลายเดือนก่อน +4

    Nashukuru MUNGU kila mtu amepinga

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 หลายเดือนก่อน

      Ni kwa sababu MUNGU HADHIAKIWI🙌

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt หลายเดือนก่อน +1

      ​@@zuricakes6817Mnawaonea bure mbona papa ali ruhusu mfilane na hamjapiga kelele!nyie dhambi zenu zilisha bebwa na Yesu nyie jiachieni tuu😊

    • @Nim68182
      @Nim68182 หลายเดือนก่อน

      ​@@IbniAbbas-yz3ktmakasiriko ya nin😂
      Mau alikatwa masikio akasema kuwa hawajamkata kiuno kobcjui wanao mfanyia vile ni wakristo 😂

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt หลายเดือนก่อน

      @@Nim68182 hujaeleweka ebu andika vizuri nikuelewe

  • @faza4023
    @faza4023 หลายเดือนก่อน +8

    Sababu Yesu ndy njia ya kweli ndio maana hawaishi kuigiza

    • @athumaniamani9905
      @athumaniamani9905 หลายเดือนก่อน +2

      Cyo kama njia ya ukweli Bali ni njia mbovu na ndo maan watu wengi Huwa wanaziaki

    • @GoodDeeds-Jesus
      @GoodDeeds-Jesus หลายเดือนก่อน +1

      UPO SAHIHI KABISA ,MTI WENYE MATUNDA SIKU ZOTE NDIYO HURUSHIWA MAWE

    • @m_o_s_e_s
      @m_o_s_e_s หลายเดือนก่อน +2

      ​@@athumaniamani9905Shetani huwa analenga na anataka kuharibu palipo na ukweli kaka, ukiona kilasiku ukristo unadhihakiwa jua kuna kitu huko kina mkera shetani, SIKUZOTE UKWELI HUA UNAPINGWA

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 หลายเดือนก่อน

      @@athumaniamani9905 MTI UZAAO MATUNDA MAZURI NDIO UNARUSHIWA MAWE. Mti usiozaa matunda mazuri watu hawashughuliki nao. WATU WANAPENDA MATUNDA MAZURI BANA. Upo hapo?

    • @Nim68182
      @Nim68182 หลายเดือนก่อน

      ​@@athumaniamani9905kitu kibaya au njia mbaya haiziakiwi bro
      Ujinga huo

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 หลายเดือนก่อน +3

    Hatariiii

  • @K-go1qj
    @K-go1qj หลายเดือนก่อน

    Ilitakiwa Celine atolee kafara kwenye sherehe hzi

  • @omarzinga7046
    @omarzinga7046 หลายเดือนก่อน

    I saw everything here in Paris man it's always lahillah illah laa

  • @zaitunifamao7777
    @zaitunifamao7777 หลายเดือนก่อน +1

    So sad.

  • @MilicentKabui
    @MilicentKabui หลายเดือนก่อน +1

    I have been Olympics fun for the longest time.. But there's something dark about this one. I wont be part of it.

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 หลายเดือนก่อน +2

    Ina uma eeeh? Mme yisikia inavyo umwa? Acheni sasa nanyie kila siku kuwachokonowa wa islam. Vchaajabu sasa huyo huyo mnae muunga mkono kwa ushoga na usaganaji ndo kawachokonowa nanyie japo wanasema malengo yao hayakuwa hayo. Jifunze kuheshim chamwenzako chako pia kitaheshimiwa ahsante🙏🏽

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      We nawe uko dunia gani? Hivi ulishaona mkristu akiudharau mwuislam? Hao wazungu hawamuamini Mungu ndo maana wanafanya ushenzi wao. Huwezi kwenda kanisani Ulaya ukakuta wazungu hata nusu kanisa, ni wageni tupu.

    • @mhogomchungu7882
      @mhogomchungu7882 หลายเดือนก่อน

      Hatukuelew

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 หลายเดือนก่อน +2

    Wanatakiwa kutubu ama mwisho wao ni jongomeo hadi kuzimu.

  • @igurusitv6553
    @igurusitv6553 หลายเดือนก่อน +3

    Ukristo unadhihakiwa sana na hakuna wa kuwanyoosha. Hii ni chimbuko la andiko linalosema "ukipigwa shavu la kushoto mgeuzie na la kulia."
    Hii hukumu ni ya Mungu itaharibu dini yetu, uislamu hawawezi kuvumilia maujinga haya

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 หลายเดือนก่อน

      Kama wangeigiza muislamu ungefanya nini sasa? Hayo ni mataifa yenye nguvu yanaweza fanya chochote kiovu na hakuna kitu utawafanya

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Oldskulgemini9991umesahau waislamu walivyokinukisha hapohapo ufaransa Kwa sababu ya lile gazeti lililomchora Mtume Mohamed? Miaka si mingi

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 หลายเดือนก่อน

      @@MsAggie5 walifanya nini? Huwezi kuleta vurugu kwenye nchi kama ufaransa zaidi utapiga kelele tu ila huwezi kuwatishia chochote SEMA Huwa wanaheshimu hisia za watu tu ndomana Huwa wanaoimba msamaha ila sio kwamba eti wanatishika hakuna mtu anaweza kuwafanyia chochote hizo ni nchi zenye nguvu kubwa

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward หลายเดือนก่อน

      Neno hilo, ilikuwa fundisho la kimapinduzi, wa Israel, alikuwa wandhauliwa. Hivyo akimpiga mtu Kofi anageuza mkono kupiga mtu upande wa kulia mkiwa mnaanaliana, ikiwa mpigwaji Hana lolote au Hana heshima. Yesu anawafundisha kukabili iyodharau kwa kugeuza shavu upande wa kusho. Kitendo cha mpigaji kugeuziwa shavu. Kilimanisha anayepigwa hakubali dharu, ya kufanywa mtu wa daraja la chini. Wagiriki walikuwa wana sheria kuwabebesha mizigo njiani, sheria iliwataka kila mwembrania abebe maile kadhaa, kwa kupokedhana. Hivyo Yesu alitoa mafundisho ya kukataa. Ili kupunguza waisrael wengi kushiriki kubeba mzigo wa mgriki. Kwa hiyo aliwafusha kama njia ya kupunguza usumbufu wa kamzogo kadogo kushirikisha watu wengi. Na hivyo wabaki majumbani kuendelea kufanya kazi zao za kijamii. Fikria enzi hizo mfano mgriki ana kilo Tano za unga anakwenda umbali wa km 20. Huo mzigo wangeshiriki watu wangapi kubeba?. Ukweli hayo maneno tuyape hiyo tafsiri.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward หลายเดือนก่อน

      ​@@Oldskulgemini9991Hilo andiko.Ni andiko la kimapinduzi. Watu wanao angaliana mmojawapo akitaka kupiga mwezake shavu la kulia mkiwa mmeangaliana uso kwa uso . Mpigaji anatumia nyuma ya kiganja chake. Namna hiyo mgriki ya kupiga Kofi waisrael aliitumia kama dharau kwao. Hivyo kupiga mtu Kofi mtu ambaye mnaangaliana uso kwa uso ilimanisha huyo mtu unahofu kwamba ana nguvu na ana adhi kama yako. Yesu anafundisha watu kujitetea kwa kutokubali dharau ya wagiriki wasimame na kuonyesha wao si dhaifu na kudharauliwa. Wagiriki wakati huo waliwatumikisha waisrael. Ili kuwa sheria ukiona mgriki ana mzigo mikononi , Ilikuwa sheria mwisrael uache kazi zako ubebe mpaka umbali ulioamuliwa kisheria, na mwisrael mwingine anapokea mpaka mgriki anakokwenda. Ukifikisha mfano jirani na kwenu wewe ni mwisrael familia yenu kulingana mzigo mnalazimika kubeba umbali wa kisheria. Yesu akuja na mafundisho ya kimapinduzi kwamba kupambana hilo waisrael wawe tayari kujitoa ili sheria ile isiwe inawavurugia mfumo wa maisha mtaa mzima au Kijiji kizima au kata mzima na nk. Yesu anaimiza moyo wa kujitetea kijasiri na kujitolea. Kumbe ni ujasiri wala sio unyonge.

  • @RaymondMuga
    @RaymondMuga หลายเดือนก่อน +2

    Sky nakubatiza Jina. A reliable source. Nipo Michigan niadd insta tuna mengi ya kushare katika Habari, mi ni mdau

  • @JohnCage-we6tp
    @JohnCage-we6tp หลายเดือนก่อน +4

    waislam wakianza kupinga hizi ishu watu wanasem waislam watowi haki za binaadamu wakazivamia nchi nying na nchi nyingi kuwekewa vikwazo kwa sabab hizizi, ila pia papa sio alisem anabariki hayo mambo

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli Papa hajabariki ushoga sijui hizo habari mnazipata wapi

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 หลายเดือนก่อน +4

    Uislam kamwe hauwezwi kuchezewa namna hii ila tatizo uyo papa kiongozi wa wakristo anasaport ushoga sasa maana yake nini

    • @aminielkombe66
      @aminielkombe66 หลายเดือนก่อน +2

      Mara ngapi Quran zinachomwa hadharani kudhihaki uislamu, huwa mnaanzisha vita baada ya hapo? No, kulaumu na kulaani tuu

    • @user-ud4hu6xe1c
      @user-ud4hu6xe1c หลายเดือนก่อน +3

      Nyamaza tuu na wewe hayakuhusu na uisilamu wako ya wakristo waachie wenyewe

    • @salimfaraj5509
      @salimfaraj5509 หลายเดือนก่อน +2

      Upo sahihi kabisa uislam peke yake ndie dini ya haki

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน +1

      ​@@aminielkombe66tulia lije agano jipya jengine Muolewe

    • @judithkirenga9977
      @judithkirenga9977 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuna haki tunaishi na waislam na madhambi yao tunayaona wazi kulinda jina bila kujiheshimu nisawa kutumia fedha kuyayushia dhahabu, Useless

  • @19ddr
    @19ddr หลายเดือนก่อน +4

    Wakristo mmefeli mlipoanza kuwachora na kuwajengea masanamu mitume hiyo yote ndiyo inawapeka huku. Yaani imepita miaka mingi baada ya yesu alafu anakuja mtu anamchora yesu na mnaamini huyu ni yesu

    • @m_o_s_e_s
      @m_o_s_e_s หลายเดือนก่อน +1

      Sio wakristo kaka ni dini ya Rumi hiyo, biblia ya kikristo inapinga sanamu

    • @robertmosha6801
      @robertmosha6801 หลายเดือนก่อน +1

      Tulikatazwa kuhukumu tusije tukahukumiwa..kila mtu alkuj dunian kivyake atafanya mambo kivyake atakufa kivyake na atahukumiwa kivyake..so Haina haja ya kusikitikia au kukosoa maisha ya mtu

    • @p.kasongot979
      @p.kasongot979 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@robertmosha6801Asante sana 😢😢

  • @JosephMbagala
    @JosephMbagala หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu.likini ukifikilia awa jamaa wanajua wanacho kifanya mahana izi dini wamezileta wenyewe kwann wazikejeri wanajua walitumia dini hii kutufanya watumwa wanaziilisha wazi walitudanganya sisi wa African keep it in your mind

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 หลายเดือนก่อน

    Udini umechangia sana...ivi mbona amkutpatia habari za Celindion kurejea

  • @yahayaannu3663
    @yahayaannu3663 หลายเดือนก่อน +2

    Hii michezo niya kfreemasoni

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanini ni uikristo tu ndo wakufanyiwa masihara😢😢Wangegusa uislam lingelipuliwa bomu ilo kwenye uwanja watu wapasuliwe

    • @GoodDeeds-Jesus
      @GoodDeeds-Jesus หลายเดือนก่อน +1

      MTI WENYE MATUNDA SIKU ZOTE NDIYO HURUSHIWA MAWE.

    • @veeJesus
      @veeJesus หลายเดือนก่อน +1

      UJIULIZI KWA NINI WANADHAMBULIA UKRISTO IZO ZENGINE NI FAKE UTAWAHI KUSKIA MABADHA AU DINI YOYOTE KWA SABABU HAZINA ISSUE

    • @Thepresentruthsministry270tv
      @Thepresentruthsministry270tv หลายเดือนก่อน

      Hakika wanatambua nguvu ipo wapi ndiyo sababu wanavurugaa sana katika ukweli...pia lengo au madhumun ya vita ya tatu ni kuharibu ukristo na kuleta utawala wa lufica hivyo wakristo tuongezee bidii katika utiifu Kwa MUNGU ... karibuni BWANA anarudi

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Ukristu unafundisha kusamehe na kuombeana lakini wakiwadhihaki waislamu wanajua watakachokipata. Hawajasahau walivyowabomu na kuwaua walivyo mchora katuni Mtume Mohamed

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 หลายเดือนก่อน

      Ukiristo ndio fake na ndio maana mnabadilisha maandiko kila kukicha. Hamna lenu jambo. Ni rahisi kudhihakiwa Mungu wenu wenyewe mmemtundika teina nguo ​hafifu.@@veeJesus

  • @andrewandrew1991
    @andrewandrew1991 หลายเดือนก่อน +2

    Dunia imefika mwisho mashetani

  • @AbuuMwachi-tr3ul
    @AbuuMwachi-tr3ul หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nafurahia ili tukio

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 หลายเดือนก่อน +2

      Na baada ya kufurahi umepata nini ? Mbona bado ni masikini vilevile tu 😂😂😂😂😂

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 หลายเดือนก่อน

      mashoga wote wamefurahia hili tukio

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 หลายเดือนก่อน

    Ubuhuzi Sana Tena Sana shetani mtupu... Watu Hawana ufu na Mungu... Tena. Bora ule dogo akamatwe Aliya fanya izi Pic

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 หลายเดือนก่อน +1

    Wazungu wanautumia ukiristo kisiasa. Wanautumia kupenyeza agenda zao

    • @user-sy4ku4xm7q
      @user-sy4ku4xm7q หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa ndugu haya mambo yote yamepangwa ila wanajifanya hawajui

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 หลายเดือนก่อน +2

    THE UNSINCABLE YAAANI ISIYOZAMA KAMWE 😂😂😢😂 CHAPA KUBWA NA YA KIPEKEE ILIYOWEKWA KWA MELI YA TITANIC NA TEENA WAKASEMA HATA MUNGU HAWEZI KUIZAMISHA NAFIKIRI WALIUONA USO WA MUNGU BARABARA HII TUACHE TUU BAHARI ITAONGEA NAO😅😢😢

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa.

  • @asyajey3479
    @asyajey3479 หลายเดือนก่อน +1

    Wazungu kwa ushoga kma mma 😂

  • @ngoyaboy1590
    @ngoyaboy1590 หลายเดือนก่อน +1

    Niwaambie tuu waafrica tuende tuu kwenye dini zetu

    • @rajabuhamisi2769
      @rajabuhamisi2769 หลายเดือนก่อน +1

      Mm nimeludi kwenye mizim

    • @rajabuhamisi2769
      @rajabuhamisi2769 หลายเดือนก่อน +1

      Mm nimeludi kwenye mizim

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j หลายเดือนก่อน

    Uzuri haya mambo walileta wao na wameanza kuchafua wenyewe dini zimechafuliwa na wao

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 หลายเดือนก่อน

    Jamani papa mtakatifu si aliwaruhusu na kanisa katoliki limekubali kuwaozesha

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu Kuna mpumbavu mmoja juzi wakati wa ufunguzi watu waamechoma Waya Za treni anasema magaidi wa kiislamu waislam wanajuwa Nini kinaedeleaa UFARANSA ndiyo maaana wanaishambulia hiyo nchi😫😫

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 หลายเดือนก่อน

      Shambulieni mkipigwa msije kulia mitandaoni

    • @aediayumgo8546
      @aediayumgo8546 หลายเดือนก่อน

      @@emmadora7848 kiazi matosani 🌈💯 Hakuna mtu anayelia UFARANSA ndiyo inaumiaga siku zote

    • @ericdiseteh8111
      @ericdiseteh8111 หลายเดือนก่อน

      Hakuna hofu ya kifo ​@@emmadora7848

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 หลายเดือนก่อน +1

    Tunataka GPS kaka huo ushoga ni kwa wazungu ....na baadhi wa wakristo km papaa alivyovariki ndoa za jinsi moja

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 หลายเดือนก่อน

      Unahitaji kweli GPS, maana ni dhahiri huko tu ndiko unapata habari. Papa HARUHUSU mahusiano ya jinsia moja kubarikiwa. Sisemi 'NDOA ya jinsia moja' kwa sababu kwa sisi Wakristu neno NDOA NI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME. Sasa pengine utafute ili ujue ni nini Papa alisema, au usuburie GPS wakutafutie.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Waliobariki ndoa ya jinsia moja ni CHURCH OF ENGLAND kanisa linaloongonzwa na QUEEN AU KING OF UNITED KINGDOM. Sio Papa.

  • @DM_15
    @DM_15 หลายเดือนก่อน

    Mimi nadhani picha sio tatizo maana hatahio picha inayo dhaniwa kutumika na ukiristo nipichatuu yakufikirika na bwana davich, sio picha halis ya yesu , hivyo nadhani tunapaswa kuaminikua mungu yupo na haijui dini ya majengo namichoro, dini pekee anayo ijua mungu ni matendo safi na uaminifu katika yeye. Hivyo hio michoro ni vitu vya kufikirikatuu na ukritu uliletwa na rumi duniani nasasa papa karuhusu kubarikiwa kwa ushoga naenikiongozi wadini je, nani alikataa nakumchuliahatua, hivy picha na Dhani nisanamuhilo.

  • @user-cp8df8ik5h
    @user-cp8df8ik5h หลายเดือนก่อน +1

    Wakristo walianza kujidhalilisha wao kwa kuruhus ushoga

  • @simbaedouardo8499
    @simbaedouardo8499 หลายเดือนก่อน +1

    Washenzi hao

  • @chany9950
    @chany9950 หลายเดือนก่อน

    Duuuh 🙄

  • @ElijahOwino-xe2cd
    @ElijahOwino-xe2cd หลายเดือนก่อน

    MUNGU hadhihakiwi... MUNGU atamtumia Rasia kuiharibu France na Europe nzima pamoja na Marekani

  • @BillySmart-tk1wu
    @BillySmart-tk1wu หลายเดือนก่อน +9

    Kwanza kihistoria iyo picha sio ya yesu kwaiyo wenye kujiita wakristo musikasirishwe na kitu, kwanzia picha mpaka iyo Olympic vyote ni maigizo tu.... Navyote hivyo wenyewe wazungu ndoo wamepindua meza ( ukweli kuwa uongo, na uongo kuwa ukweli). NIPENI LIKE ZANGU WAKWANZA 😅

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 หลายเดือนก่อน

    kumbe hatawao wanaumia mung kukufuriwa sasa siwakatazi hiyo

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw หลายเดือนก่อน +1

    Tuwe waaelewa ulaya kunatabska tofauti wapo wasio amini kama mungu yupo na wasio amini katika dini na ni wengi wanafanya watakavyo kama uchokozi sio kama Africa serikali zinaingilia mambo ya dini huko hakuna wanafanya watakavyo Kwanza hawaamini kama kuna dhambi sasa nyie mnadukila tabia za watu wengi kuleta kwatu kudhalilisha watu hebu tubadilike ktk mtazamo ktk mataifa tamaduni tofauti Hilo tulijue

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Ulaya ya wapi? Humsikii Sky alisoma waliolalamika ni WA ulaya wenyewe? Mbona inakosolewa dunia nzima hata America! Uhuru wao WA kuamini na kujieleza hauwapi ruhusa ya kutoheshimu imani za wenzao. France hawakomi walibutuliwa na waislamu walivyochora cartoon ya Mtume wangapi waliuawa? Wanajua wakristu hawawezi kuwaua. Hii haki za mashoga imekuwa ujinga Kwa wazungu sasa, I'm glad wamejua wamefanya kosa.

  • @iam_sami
    @iam_sami หลายเดือนก่อน

    Nyie mnawabishia nn walio watea dini ndio hao ss nyie mnabisha ili iweje iyo Israel yenyew ina ruhusu ndoa ya jinsi moja ww nani ukatae… one love for everyone

  • @111dudi
    @111dudi หลายเดือนก่อน

    Hawa walizidi kuwatetea wanawake, matokeo yako wakauoanda ushoga na usagaji. Wazungu wanaona bora wawe hivo kuliko ndoa ya halali. Tufurahi, kwa sbb huenda ndio naqma wanayo teremshiwa, na hatimae ulaya kuisha kabisa

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio mana namsapot Putin

  • @drsilo
    @drsilo 28 วันที่ผ่านมา

    Hamna din wakiristo

  • @abushaddad989
    @abushaddad989 หลายเดือนก่อน +1

    Sioni Gps kulikoni tena

  • @dunstunnchimbi7994
    @dunstunnchimbi7994 หลายเดือนก่อน

    Hao wote ambao wanamiliki makampuni, viongozi wakubwa wa serikali na waliofanya dhihaka hiyo wote ni wamoja. Utifauti ni kwamba mmoja alipewa jukumu la kufanya na wengine walipewa jukumu la kujifanya wanakemea ili wasionekane wamekaa kimya. Ila hao wote wanakutana na kupanga kufanya matukio ya ajabu kwenye matukio yanayofuatiliwa na watu wengi duniani. Kwa kuamini hilo jambo litafikiwa na wengi. Mi siwaamini hao wote wanaojifanya wamekemea. Ni sawa na mimi kama mkurugenzi wa shule Nampanga makamu mkuu wa shule tupige hela tulifanikiwa najifanya kumfukuza kazi. Mpango wa kuiba hela ulikuwa wa siri kisha namfukuza hadharani kwa kujifanya nalaani kitendo hicho.
    Sio rahisi kunielewa kama hujui namna dunia inavoendeshwa.

  • @Leo-kg2lt
    @Leo-kg2lt 28 วันที่ผ่านมา

    Sasa wanakua na hasira wakati wagiriki ndio waliandika biblia na wao miungu yote wanaijua na wameiweka kwenye biblia pia na watu wanaiabudu sasa wanachowaza ni nini

  • @fellaforlife2948
    @fellaforlife2948 หลายเดือนก่อน

    SKY TUNAOMBA GPS PLEASE PLEASE

  • @arkei4003
    @arkei4003 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kila prophecy hutimizwa na wazungu ila sio waafrika??😂😂

    • @chiccynaturaldamnhot877
      @chiccynaturaldamnhot877 หลายเดือนก่อน

      Kweli hivi kwanini

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Shetani anafanya kazi kwao Kwa kiasi kikubwa kuliko kwetu.

    • @arkei4003
      @arkei4003 หลายเดือนก่อน

      @@MsAggie5 it's bcz bible waliandika wao to foolish yu as an African ona sasa wanatimiza hzo prophecies ndio ww uone dunia inaisha 😂focus ma'am make your own heaven wao wako busy kutuangamiza ndio kwao kubaki kukoendelea 😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      @@arkei4003 kwani kuna Bible ya wazungu na ya waafrica? Sikuelewi. Jielimishe wewe mwenyewe Kwanza ndo unielimishe mimi, na kama unataka nikuelimishe

    • @arkei4003
      @arkei4003 หลายเดือนก่อน

      @@MsAggie5 mi sio mjinga kma ww 😂 elimisha akili yako 🤫

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 หลายเดือนก่อน

    GPS vip jamani??

  • @BarnabasFabiani
    @BarnabasFabiani หลายเดือนก่อน +1

    Mungu hayupo acheni kupigwa nyie wala shetani hayupo hii ni mipango ya binadam

    • @drmpemba5528
      @drmpemba5528 หลายเดือนก่อน

      Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
      Zaburi 14:1

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani หลายเดือนก่อน

      @@drmpemba5528vina kusaidia nini toka ume vipata

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani หลายเดือนก่อน

      @@drmpemba5528 sunday nisiku yajua wewe ndo siku ya kusali kumwabudu mungu jua

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o หลายเดือนก่อน

    NDOMAANA RAISI PUTIN HAPATANI NAWO HAWA JAMAA WASHENZI,MAHANISI MASHOGA WAMELAANIKA. "NATO"

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 หลายเดือนก่อน

    C’est pas possible shame on them my GOD punish them all who attended to reject GOD amen jina la bwana halichezewi hovyo wacha MUNGU ashuke kwenye mji aliouumba 🧷🧷🥂🍾

  • @jacksonseverin5670
    @jacksonseverin5670 หลายเดือนก่อน

    Hii haijakaa poa ata kidg

  • @akbarkisamo8392
    @akbarkisamo8392 หลายเดือนก่อน

    Ukijua asili ya hata mashindo hutashangaa kinachotokea

  • @Bambagatz
    @Bambagatz หลายเดือนก่อน

    Mambo yote hayo yanayoendelea kufanyika ni Utungu
    Ila ule mwisho Bado,
    Tujiandae Kwa Dhiki kuu.

    • @lydiajoseph2571
      @lydiajoseph2571 หลายเดือนก่อน +1

      Dhiki kuu itatokea baada ya Unyakuo . So ni vizuri watu kutubu dhambi zao na kumgeukia YESU na kujiweka tayali Kwa ajili ya unyakuo

    • @Bambagatz
      @Bambagatz หลายเดือนก่อน

      @@lydiajoseph2571Ayubu 15:24
      zaburi 20:1
      zaburi 31:9
      zaburi 107:6
      zaburi 109:143
      mithali 11:8
      kasome Baadhi tu hayo maneno ya Mungu
      dhiki ipo kwa Sasa Kwa wana wa MUNGU,ila inakuja Ile Dhiki kuu ambayo itaambatana na chukizo la Uharibifu.

    • @avinjason7032
      @avinjason7032 หลายเดือนก่อน

      Unauhakika gani kwamba dhiki kuu itakuja baada unyakuo? ​@@lydiajoseph2571

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 หลายเดือนก่อน +2

    Mti wenye matunda ndio wapigwa mawe

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 หลายเดือนก่อน +2

      MATUNDA YA USHOGA?

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 หลายเดือนก่อน +1

      True biblia imepinga ushoga no wonder freemasons na LGBTQ wanapigana na hiyo imani.

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@alicejumaa89andiko gani biblia imepinga ushoga?

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 หลายเดือนก่อน

      @@barakashaban9698 unamaanisha kitabu gani au biblia gani. Ni hii yangu hapa

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 หลายเดือนก่อน

      @@barakashaban9698 andiko la Leviticus 18:22 unaelewa?

  • @GreysonMdee-wm8tn
    @GreysonMdee-wm8tn หลายเดือนก่อน

    Watu wa kwanza kumdhihaki MUNGU ni wale wanamfananisha MUNGU na binadamu watu wamemkufuru MUNGU kwa kusema MUNGU ni mwanaume, Kabila yake myahudi anatokea Israel tena MUNGU huyo kazaliwa na mama ambae alikuwa bikira halafu leo mnashaanga huo ujinga uliyofanyika Olympic, kilichofanyika huko Olympic ni muendelezo tu wa kufuru, kufuru ya kwanza ilishaanza zamani ya kumfananisha MUNGU na binadamu tena mkasema mpaka ana mtoto, kuna wakina PAPA huko wamebariki ndoa za jinsia moja. Mkiambiwa ukristo sio dini acheni mihemuko kaeni chini mjitafakari

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 หลายเดือนก่อน

    Angalau Elon amesema kweli ni wazi kabisa

  • @GoodDeeds-Jesus
    @GoodDeeds-Jesus หลายเดือนก่อน

    MTI WENYE MATUNDA NDIYO SIKU ZOTE HURUSHIWA MAWE, NA SI MATUNDA TU ILIMRADI MATUNDA BALI WENYE MATUNDA MAZURI NA YALIYOIVA NA MATAMU.
    NDUGU ZANGU WAKRISTO MSIJISIKIE VIBAYA KUDHIHAKIWA BALI WAOMBEENI, NA TUWAPENDE KWANI NAO BADO NI WATOTO WA MUNGU NA MUNGU BADO ANAWAPENDA HAIJALISHI NINI WANAFANYA, HATUJAAGIZWA CHUKI AU KISASI KWA WATUPIGAO AU KUTUKOSEA NA KUTUDHIHAKI BALI UPENDO UPENDO UPENDO.
    TUNDA LA ROHO NI UPENDO, FURAHA, AMANI, UVUMILIVU, UTU WEMA, FADHILI, UAMINIFU, UPOLE, KIASI (WAGALATIA 5:22-26)😊

  • @19ddr
    @19ddr หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo picha kwnz imechorwa na daVinci mtu ambaye hajawahi kumuona yesu, halafu hiyo picha wakristo wanaiamini na kuona yule ni yesu kwl, wkt mwamba mmoja tu kakaa chini kachora. Khaa wakristo mnashangaza. Baada ya kumlaumu davinci aliyechora nyie mnawalaumu wanaouchezea mchoro wa davinci??

  • @Prosperitytales
    @Prosperitytales หลายเดือนก่อน

    Matatizo mengine ni kujitakia 2😂

  • @user-nv6wt3nx5h
    @user-nv6wt3nx5h หลายเดือนก่อน

    Utakapo yaona hayo changamkeni...watavuna sio muda

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 หลายเดือนก่อน

    Ndio maan Putin hawapend hawa mashoga

  • @sosom14
    @sosom14 หลายเดือนก่อน +1

    Magaribi nimashetani

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 หลายเดือนก่อน

      Sio kweli, ni wachache sana. Sikiliza na angalia hii habari kwa masikio mawili, na sio kwa hisia

    • @sosom14
      @sosom14 หลายเดือนก่อน

      @@zuricakes6817 kwahiyo unapinga sister I live in uk i know what I mean

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 หลายเดือนก่อน

      @@sosom14 kwa hiyo katika dunia hii yote umechagua kwenda kuishi kwa MASHETANI? Binadamu utaishije na mashetani?! Does this make sense to you? Umeingalua hii video? Katika hii video umeona watu waliojitokeza kupinga kilichafanyika, sio watu wa magharibi?

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 หลายเดือนก่อน

      @@sosom14 n 1900 nearly 95% of Europe’s population professed some form of Christianity; in 2020 the continent is 76% Christian. The main gains were made by agnostics and atheists, who together make up more than 15% of Europe’s population (from 0.4% in 1900).
      Bara la Europe lilikuwa linaongoza kwa namba ya Wakristu wote duniani. Miaka ya karibuni wako wengi waliouacha Ukristu. Lakini haina maana kuwa walioucha Ukristu ni wengi kushinda wale ambao bado ni Wakristu.

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q หลายเดือนก่อน

    Wamekata tamaa putin kawapiga sana

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 หลายเดือนก่อน

    PUMBAVU ZAO WOTE WALIO UDHIHAKI UKRISTO NA NAWAONBEA LAANA YA MUNGU MWENYEWE IWAPATE SAWA SAWA NA WALICHO KIFANYA😠😠😠

  • @brother_majesty
    @brother_majesty หลายเดือนก่อน

    MUNGU ATAIADHIBU UFARANSA...SI PUNDE

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 หลายเดือนก่อน

    Bora wakristo mshaanza kuamka Sasa maana freemason wamelikamata kanisa hivyo ndug zang kuweni makini na mafunzo ya kanisa la leo

    • @JKQGAME
      @JKQGAME หลายเดือนก่อน

      Umeandika vizuri sana

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 หลายเดือนก่อน +1

    Ilikua ni ushetani mtupu

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Mashoga hao ndo walioandaa hilo, hawaupendi ukristu hata wanajua unakataa ushoga wamefanya makusudi

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 หลายเดือนก่อน +1

    Ukristo upo Africa tu

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน +1

      Wenye dini yao hao ndio wana fanya wanavo taka African ndio wanatakiwa wao wajitambue

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 หลายเดือนก่อน

      kama Uislamu ulivyo uarabuni tu

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke หลายเดือนก่อน

      @@lakasid3860 warabu walikua wana dini zao za masanamu na kishirikina na wao ndio ulio wajia mwanzo uislamu na ndio wa mwanzo kuukataa miongoni mwao ndio waka ukubali sasa utasemaje dini ya warabu soma ndugu 🤣🤣

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 หลายเดือนก่อน

      @@MohamedAhmada-ie7ke sasa siumeanzia huko uarabuni au hujui Africa mababu zetu walikuwa wakiabudu miti na mizimu 😂

  • @mansoursiulapwa8624
    @mansoursiulapwa8624 หลายเดือนก่อน

    Wakati waislam wanapambana na hawa Mashetani, mnawaona waislam Magaidi.. walishawaaminisha mapambano wanayofanya waislam kulinda dini na heshima yao muwaone kama Magaidi.. ila sasa wamehamia na kwenu Christian

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward หลายเดือนก่อน

      Usalama haupo kwenye dini zote. Ushoga hajalishi uko Imani hipi. Kama Imani Kinga basi Zanzibar usingesikia ushoga kuwepo huko.

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 หลายเดือนก่อน +1

    Paris kudadadeki washenzi wakubwa hawo wapumbazu🖕🖕🖕

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 หลายเดือนก่อน

    Kristo wenyewe wapenda ushoga papa wa Roma si alipitisha ushoga ,,,😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Alipitisha lini?

    • @humbleshoal
      @humbleshoal หลายเดือนก่อน

      ​@@MsAggie5
      Mwenzetu uko dunia gani au upo sayari ya pluto?

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      @@humbleshoal ni watu tu na ubongo wao waliosema kama Papa karuhusu ushoga sio kweli ukinambia church of England hapo nitakubali sio Papa

  • @user-cs6jr5fr8d
    @user-cs6jr5fr8d หลายเดือนก่อน

    Wakristo hamjielewi😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 wewe unajielewa? 😂😂

    • @user-cs6jr5fr8d
      @user-cs6jr5fr8d หลายเดือนก่อน

      Wewe peke yako ndo unaejielewa 😂

  • @Salviiboy
    @Salviiboy หลายเดือนก่อน +1

    Si muda yatatimia yaliyoandikwa

  • @nadhifamustapha7557
    @nadhifamustapha7557 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 wamefikiwa na wao c wanasapoti LGBTQ hawa

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga หลายเดือนก่อน

    Alf utaskia watu humu wanawaita taifa la Mungu,na hii IPO chini ya uzayuni

  • @jawadimwalim3634
    @jawadimwalim3634 หลายเดือนก่อน

    Mi niseme tu Ndugu zangu wa Kristo, Ila Sio kwa ubaya, Hivi mnasubiri Nini Kujiunga Na Uislam? Papa wa Roma karuhusu Mashoga kufungishwa ndoa kanisani, Anglican ndo kabisaaaa Wao Ni kitambo, Haya Sasa matukio mengine hayo na Bado patazuka mengi sana

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      Uislamu?????????????

    • @jawadimwalim3634
      @jawadimwalim3634 หลายเดือนก่อน

      @@MsAggie5 Ndio

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      @@jawadimwalim3634 over my dead body lol

    • @humbleshoal
      @humbleshoal หลายเดือนก่อน

      Hayo ni mawazo yake yeye Papa na c ukristo, kujiunga uislam utanisamehe kiukweli hapana.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      @@humbleshoal eti!

  • @faza4023
    @faza4023 หลายเดือนก่อน

    HAWAUSUMBUI UISLAMU SABABU HAMNA KITU MULE, MTU KAMA ANAPOTEA UNAHANGAIKA NAE WANINI? MTI WENYE MATUNDA HUPIGWA MAWE.

    • @cdeegwau551
      @cdeegwau551 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 Kwan wa kristo si kwel mna support mashogaaa

    • @ShahMursal
      @ShahMursal หลายเดือนก่อน

      Unajizima data, hawawezi kufikia hatua hiyo coz WANGEKULA NAO SAHANI MOJA, wakristo wameishia kulaani kwenye mitandao tu.. Kwenye Uislam ungesikia mtu anatoa DAU atayeleta kichwa cha hao washiriki.

  • @Amafaranga300
    @Amafaranga300 หลายเดือนก่อน

    Shame on LGBTQ++++++++++

  • @alibinali_
    @alibinali_ หลายเดือนก่อน

    LGBTQ WASIPO PIGWA VITA MAMBO YATA KUWA MABAYA ZAIDI YA HIYO WALIO FANYA

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial หลายเดือนก่อน

    🧭🤳🙄🙄

  • @fellaforlife2948
    @fellaforlife2948 หลายเดือนก่อน

    SKY TUNAOMBA GPS PLEASE PLEASE