ASIJIFAKHARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2013
  • เพลง

ความคิดเห็น • 24

  • @zennakaboyonga4525
    @zennakaboyonga4525 3 หลายเดือนก่อน

    Daah! Nyimbo yangu pendwa hii miaka ya 89 kwenda mbele daah! Wapi Amour Abdallah Ally!

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 3 ปีที่แล้ว +1

    Naam nyimbo naipenda hii Wallah

  • @NasrahRajab
    @NasrahRajab 2 หลายเดือนก่อน

    hii nyimbo inaujumbe mzito ndani yake

  • @asmasoud6498
    @asmasoud6498 3 ปีที่แล้ว

    Asijifakhari,sio umbo walasura zinazofuatiwa,twabia ilionjema atuhulilia.

  • @user-wl8ng3pj5r
    @user-wl8ng3pj5r 7 หลายเดือนก่อน

    Sauti ya Sada mohammed

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndio kwanza naanza shule miaka ya 80s naskia wimbo huu asubuhì

  • @jayblackxxx
    @jayblackxxx 11 ปีที่แล้ว

    mashaallah mashaallah hasanta kwa wimbo huo

  • @albusaidkhelef6655
    @albusaidkhelef6655 6 ปีที่แล้ว

    kweli sada sio upigwao. ata huyu mwimbaji angalia shairi linavo kuja kisha angalia na mdomo wake. majipu yamo mpaka katika majimbo

  • @user-qj3uf2er1j
    @user-qj3uf2er1j 10 หลายเดือนก่อน

    Old is gold

  • @arbaab9337
    @arbaab9337 2 ปีที่แล้ว +1

    OHHH OUR ZANZIBAR ISLAND...✍️

  • @jamilaaliyussuf2878
    @jamilaaliyussuf2878 5 ปีที่แล้ว

    ...Ikiwa hana busara atajijutia...

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @nawal01
    @nawal01 11 ปีที่แล้ว

    Mashallah..i like her!

  • @shaabanjuniorshaaban9456
    @shaabanjuniorshaaban9456 2 ปีที่แล้ว +1

    Video haiendani na mziki hii nyimbo ya culture video ya Nadi Akhwaan Safaa show ilipigwa mwaka 2005

  • @alisaeedndosi6365
    @alisaeedndosi6365 11 ปีที่แล้ว

    IMeniongoa ya kale, tamu sana, ziwapi hizi kwa sasa??!!!!

  • @hasinahamza6752
    @hasinahamza6752 8 ปีที่แล้ว

    muelezen aache kujizuzua,,masikin hadhi yapotea....

  • @abduliabdallah9197
    @abduliabdallah9197 2 ปีที่แล้ว

    Naomba bin seifu fuatilia Hilo Ili wasifu wa wasaanii usipotee Kuna watu wanasema ameimba saada Mohd lakini SI kweli umeimbwa Nasma kidogo Akiwa zanziba

  • @user-hn8tk7re8k
    @user-hn8tk7re8k 8 ปีที่แล้ว

    asante

  • @yussufbaga4726
    @yussufbaga4726 7 ปีที่แล้ว +2

    mbona huu wimbo ni wa culture Musical Club na huku Nadi ikhwan safaa ilikuwaje?

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 5 ปีที่แล้ว

    Hichi kilikua kikundi cha taifa walichanganyika

    • @mamtime8891
      @mamtime8891 3 ปีที่แล้ว

      MashaaAlla hii nyimbo 😁😁

  • @abduliabdallah9197
    @abduliabdallah9197 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu umeimbwa na marehemu Nasma khamis kidogo na kama mtu anabisha hataki kukubali aende sauti ya Tanzania Zanzibar wenye kumbukumbu ya nani aliimba kabla ajajiunga na TOT akiwa na malindi ya Zanzibar na hiyo sauti ni Marehemu Nasma

    • @abduliabdallah9197
      @abduliabdallah9197 2 ปีที่แล้ว

      Bi Nasma Akiwa bado ana umri mdogo Akiwa zanzibar