MashaAllah Fabian Mwenyeez Mungu akutunze uendelee kuwafuata wenye uhitaji jamani Fabian hana majivuno bimkubwa kachangamka bimdogo mpole bi Mwajuma anaongea kwa upole
Mmeona ukewenza huo mumewao amefariki lakini Bado wanaishi pamoja Tena chungu kimoja Hadi hara sio sisi vina wa siku hizi hatuyawezi hayo ni wachache mno
Akiiih,mm nampenda faby hana majivuno jamini sichokagi kutizama vipindi vya kaka etu,kaka faby allah akutunze na akupatie kila hitaji la moyo wako
Amiin🥰🥰🥰🥰
Ameen
AMEN
Amiin
MashaAllha MashaAllha mwanangu fabi Allah hakupe afay njema na hakupe kitabu chako kwa mkono wakulia na hakupe pepo ya Firdausi
Amiin ya Rabby
Amin
Fabi peponi lazima huingie una moyo wa upendo sana❤Mungu akufanyie wepesi kwenye utafutaji wako
Allahumma amin
Fabian mungu akupe umri mrefu wenye faida duniani na akhera tunakupenda San kwaajili ya Allah unapambana San kuwasaidia masikini
Mashallah faby allah alinde mapenda sana kufatilia vipinde vyako mimi ni wa cabo delgado . Ningue penda sana sijupoja allah atukutanishe inshallah
Mashaalah ugali natamani Sana Bibi anakula Kwa Raha zake
Wake wenaza wa sasa jamani jifundisheni kwa wa mama zetu jinsi wako pamoja mashallah tabark rahman my bibi mashallah
Mashaallha wanawake tubadilike unawaona mtu na mke mwezaka wananonga vizuri mashaallh
Fabi mwenyezi mungu akubariki
Kaka Fabian mungu akuzidishie moyo wahuruma
Mashaalah fabi nakupenda kwa ajili ya allah
Nawapenda dtv❤❤❤
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MashaaAllah Wajina Wang kiboko 😂😂😂😂
Pole sana bibi Mungu akuwekeye wepesi bibi
Mashallah tabaraka llah 😂😂😂 Hadi Raha 😋❤❤❤❤
Maashaallah fb. ALLAH AKUZIDISHIE IIMAN 🤲
MASHALLAH MASHALLAH MASHALLAH wenyewe wanaelewana.
Manshala wake wenza wanapendana sio kama sisi waleo
MashaAllah Fabian Mwenyeez Mungu akutunze uendelee kuwafuata wenye uhitaji jamani Fabian hana majivuno bimkubwa kachangamka bimdogo mpole bi Mwajuma anaongea kwa upole
jmn fabi hodar sana mungu akujalie kla la khery
Allshumma Aameen Yaarb Alaameen Allah amzidishie alike mbali Fabiy hana tamaa kabisa
@@zainabkhekhamis Allahuma Amin 🤲🤲
@@sheikhanasser4714 na hii kazi ndivyo inavyotaka
@@رقيهالخصيبي Kwakweli kabisaa kwa moyo wake hijifichiii si kama wengine Allah atamsimamiya atafika mbali saana
Mume wako atakuwaje kama toto wako
Astaghfar
Ni haramu sana ni kama amelala na mamayake subhanallah Subhanallah Subhanallah Subhanallah
Nmeipenda hyo ya kula wote
Mashaa llaah
Mashallah
Fabi kaka kwan mwajuma na Hussein mama yao na baba wao wap😢😢😢😢
Hussein mama yake ndio uyo bibi na mwajuma mamayake amefariki
Nimependa. Kka fabi. Una majivono. Upo sawa. Sawia
😂
Ndugu mtngazaji waache wale😅
Eti anaeshuti haragi jmn kk Faby 😂😂😂🙌
Mungu awasimamie
😂😂😂😂Unataka nikakojoe niwake motoo bibi pambe😊
😂😂😂 Bibi mwajuma anachekesha
😂😂 bibi ako sawa
Kaka fabi jmn😂😂😂😂😂 umeonja ugali wa mwajuma leo😂😂😂
Mmeona ukewenza huo mumewao amefariki lakini Bado wanaishi pamoja Tena chungu kimoja Hadi hara sio sisi vina wa siku hizi hatuyawezi hayo ni wachache mno
Mke mkubwa kumekucha inaonesha bibi anazipata fresh maskin
😂😂😂bibi kachangamka hatari
Nzige wa kwanza namiaka 9 haha
😂😂😂😂nmeonja tamu
atariii bb 😅😅😅😅😅
Shikamooooo bi mkubwa 🤣🤣🤣pambeee
Uyu bint mpita sijui ni ndugu wa bibi yangu kizaa baba nae pia ni bint mpita
Kweli.walikuja.nzige.hata
Baba
Angu.aliwahi.kutwambia.
Gran 😂😂😂😂😂😂
Mke mdg mpole maskini
Ila bibi kachangamk jomon
Bi mkubwa mjanja hatari. Eti nzige wa Kwanza ana miaka 9 😂😂 Mimi hata sijaelewa kwahiyo ana miaka 90😂😂
Kawaulize wakubwa 😂😂
@@khadijahali4837 🤣🤣🤣🤣
@@zainabubalama8869 😁😁
Hapo 30 imepita mie nina 39 na nimezaliwa mupo hapo sasa sijui huko nyuma mlikaa mingapi maana simpati shangazi yk Mwajuma kiumri wala baba ake 😅
Basi wakitambo Sema Bibi kazeeka
Bi mkubwa. Anaonekana mtata hicho kipindi
😂😂😂😂😂 yani
fabi mroho
Sio uroho kafanya kwa akili yake asione anawadharau
@@fatmamansour676 ahaaa unakili kumbe
sawasawa
Mashallah
Mashallah