PILIPILI YA MAEMBE ( MANGO & HABANERO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024
- Mahitaji
Pilipili mbuzi 10 za rangi ya machungwa
Pilipili mbuzi 10 za rangi nyekundu
Kitunguu 1 kikubwa
Pilipili boga 1
Embe 2 kubwa
Kitunguu thom 1 ½
Siki nyeupe vikombe 2
Ndimu /lima 4-6 lemons
Chumvi kiasi
Mafuta ya kupikia vijiko 2 vikubwa
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas www.youtube.co...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
www.instagram....
Music courtesy / contemplative-middle-e...
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLEASE FOLLOW THIS LINK th-cam.com/video/93cugzJ87LA/w-d-xo.html
Thanks for sharing. So how or what do you eat it with?
@@hisgracesuffient6046 You can eat it with any meal that you like , we usually have it with rice dishes or green bananas , cassava etc
Awesome thanks for your speedy response. I love it. Will definitely try it. I'm a better cook because of you. Baraka tele.
Aroma of Zanzibar dada pilipili boga lazima liwe na rangi hiyo la kijani je linafaa pia
@@agnessjohn8404 Rangi yoyote utakayo kuwa nayo
Nimepika leo.ahsante Kwa ujuzi.MUNGU akutunze zaidi🙏🙏
Nimeijaribu hii nk tamu sanaaaa kipenzi na sasa watu wanataka ya kununua wallahi stay blessed forever hun kwa kunipa huu ujuzi
Asante sana my Angel,umenipa ujuzi na mtaji,hasa kipindi hiki cha maembe mengi🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nimetengeneza and it turned out sooo good🔥thank you so much
Pilipili nzuri.. pilipili hizi ni kali sana sana..inataka mazoezi....asante bibi..
Uki balance vizuri na hivyo viungo vyengine haina tabu
MashaAllah my wng hiyo pilipili haibakii pilipili kwangu ni 2 days imezidi 3 .....ijumaa ndio kabisaa mummy......lv u my we are together
Mashaallah jazzak Allah khery asante sna Allah akujalie kila la khery kwa kazi yko amen
Masha allah.. allah aibariki kazi ya mikono yako... unaweza kuweka na uwatu kama utapenda.
Chochote utakachopenda mwenyewe
Aksante saana mama I will try to make it just like this InshaAllah
Mashaallah shukran
Nimetengeneza ni nzuri sana asante na ubarikiwe kwa masomo mazuri unayoyafundisha
Amin
Naaaah nimeitengeneza I just love it ....❤❤❤❤
Hongera
Nimeipenda sana hiyo pilipili Mungu akubariki
Nkukubali sana @aromaofzanzibar ninawateja hatar
The best thing about pili pili yako ni kwamba imeiva. Pilipili ikiwahaijapikwa huwa naharisha nikila.
Asante dada kwa kunifunza. Ishalha mungu akuzidishie maujuzi. Ujeutufunze
Amin
asante kwa mafundisho mazuri
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Safi sana nami nitapika pili pili yangu👏🏽
Ahsante, sawa
Will try this InshaAllah
Wow thanks Aroma. I am glad naweza tumia maembe mabichi. Navyo ipenda na hizi snow hata hakuna yaliyo iva🙄😀😀
Yes unaweza kutumia maembe mapbichi but add some extra sugar for some sweetness , thanks to the Hispanic community in Houston we have mangoes the whole year through
MashaAllah thank you for the recipes
Shukran habibt kwa ujuzi. Unatusaidia sana
Jaman nimeitengeneza Jana ni tamu sana,,,,kila mtu ameipenda nyumban
Mash’Allah. Mambo bar’bar.
Asante sana nimependa
Jazak Allah kher
I'm learning n nzur kwakwel
Hii mambo yote kwa msimu wa winter!!! Ahsante ma!😋😋😋
Tunataka umoto kidogo badiri inatushinda 😉😂
@@aromaofzanzibar 😂😂wasema pole pole...lakini Houston mko sawa..East coast balaa.
Kwetu sisi 50f is soooo cold 😂😂
@@aromaofzanzibar 🤣🤣🤣🤣 you see?!!
🤣🤣🤣
Asante dada kwa moyo wa upendo ku share na wengine vitu vzr.thnks alot
Most welcome dear
Asante kwa ujuzi m nataka kufanya ya bibiashara je inaweza kukaa mda gan kwa mteja bila kuharibika
Kama nilivyo let's miezi 6
Hata akiifungua pasipo jokofu
Looks amazing I'll try in shaa Allah
asante sana ubarikiwe mpz
Asante sana Dada ubarikiwe
Jazakillah khayra Ukhty
Afwan
Dada napenda mapishi yako sana.. Pia unajua kuelezea vizuri hadi kila mtu anaelewa..
Ahsante sana
Looks yummy
I'll try. Next week by God's grace.
MashaAllah nzuri sana shukran ukhtii
Aroma hii pili pili ni atari jamani ni tamu sana nimetengeneza yangu ila sijaeka hoho tuu imetoka kama hiyo yako ina wiki ya pili sasa ipo kwenye bakuli wallah ni tamu sana mwenyezimungu akueke daima
Amin, hongera na ahsante kwa kunijulisha kuwa umeipenda
Woow so simple I love it & am sure will get all the ingredients
Asante dear napenda sana mapishi yako.,unge anza shule kabisa ya mapishi
Ahsante sana mimi siishi Tanzania
Haaa jamani, fanya kitu kuwe na shule tu wasichana wengi wa kizazi hiki hawajui kupika kabisaa, ukiachana na hao wapo pia wanaopenda kujifunza vitu vipya kama hivi.
Nimetamani sana kufanya kitu kama hicho kuja nyumbani kuwafundisha wasichana na kina mama wa majumbani kuweza kufanya biashara , niombeeni dua Mungu anipe uwezo na hatua
Amin kila la kheri utafanikiwa mamy, kwa Mungu kila kitu chema kinawezekana tunakuombea.
Hahahaha wallah mate yamenijaa eti laini sana, nzuri sana na tamu sana. Ahsnte auntie ubarikiwe
🤣🤣🤣🤣😉😉
Mashaaa Allah mpk mate yanatoka
my dada A.aleykum hizi pilipil za orange si za kunukia zile
Hizi za Marekani hazinukii kama zile za Africa
Mashaa Allah shukran sana nitajaribu kuipika
Mungu akulinde
Mmmh ninzur sana nimeitaman
MashaAllah. Nzuri 🙌🏽👏🏼👍🏽. Shukran
Iyi nimeipenda mno mpaka nataka nianze biashara ya pilipili
Mungu afukanyie wepesi, akufungulie milango ya kheri
Mashaa Alla
samahan mpndwa waweza ongeza tangawiz? na je inadumu kwa muda gan bila kuharibika?
Tangawizi italeta ladha tofauti kama unataka jaribu uone vipi itakuwa.
Hi,Athante kwa mapishi embe ni mbichi Au?
Sio embe mbichi nimeeleza na kuonyesha embe ilikuwa haijaiva vizuri
Shukran sana ntajaribu hii
Ahsante sana Dada, je naweza kuweka katika vikopo vya plastic kama nafanya biashara. Na je nikitumia mbilimbi badala ya ndimu itapendeza?
Ndio unaweza kutumia plastic, kwa mbirimbi sijawahi kupika hazipatikani huku ninapoishi. Jaribu kidogo uone vipi itakua
Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan.
Licha ya Siki ni kitu gani kingine kinachohifadhi Pilipili kwa muda mrefu ili isiharibike mapema?
Hakuna dear , ni chemicals tu ambazo sio nzuri
@@aromaofzanzibar izo chemical zinamadhara gn na zinaiitwaje
Mimi situmii ni kitu kinatumiwa na ma kampuni makubwa , majina siyajui kwa kwa kichwa . tafuta pilipili usome kuna nini na nini
Mm naitaji viungo ili niwe nauza vilivyo sagwa Kama majani ya chai,iriki,nk
Mimi siishi Tanzania
Je nilazima kuweka sukari?
Sukari ni ku balance hizo ladha sio kuweka utamu
Jmn ivo vitunguu maj vy ivo vina patikan wp apa tz?
Mimi siishi Tanzania lakini najua vinapatikana
Ma Sha Allah looks so yummy
Thanks dear
Badala ya siki naweza nikatumia kiungo kilo?
Siki ni vinegar
Siki ni vinegar
Hakuna badili tumia au usimie
Samahani nataka kutengeza ya biashara kwahy ctakiwi kuweka maji kbs?
Mbona nimeeleza Kama maji sio mazuri yanaharibu pilipili
@@aromaofzanzibar Asante mummy
Mashallah mum you are amazing dea
Asante mungu akubarik sis
Shukran, Amin
Asante sana
Habari asante kwa matunzo je pilipili hii inadum kwa muda gani
hata miezi sita kama utaieka sehemu ilokua haina joto sona
@@aromaofzanzibar habari mm nataka nipoke pilipili ya tende itakayo kaa alau kwa mwezi, nisaidie naifanyaje
salivating
Nimeipenda cnaa
Nimeipenda sana hii pilipili.....ila nakuomba utuletee upishi wa achari ya kamba ama prons
Inshallah nikipata nafasi nitaleta
Siki vikombe 2 nikama robo lita au nusulita ?
Kiasi nusu lita
Tunaomba vdeo ya staffed chicken pls
Inshallah nikipata nafasi nitaleta nimebnwa na majukumu kwa sasa
@@aromaofzanzibar shukran mamy. Tunasubir kwa ham
Naweza kuweka maji na ikakaa kwa miez hivyo sita?mana umesema vinegar inasaidia iishi muda mrefu
Nimesema usiweke maji
shukran habibty, kama ya biashara naweza ongezea preservative ndio iendelee kukaa bila kuharibika. wateja wangu wengi hawana jokofu
Uwamuzi wako huo dada
Asante kwasomo
Asante dadake❤️❤️❤️
Nzuri inavutia
Was that habanero pepper
Yes maa'm
Sawasawa hiyo ndio Mimi napenda kula kila siku
Kama sina vinegar naweza tumia maji ni kwaajili ya nyumbn tu
Vinegar ni kwa ukali pia, unaweza kutumia maji ongeza na ndimu
Nzuri sana
Ahsante sana
@@aromaofzanzibar nipo jikoni naijaribu right now
Sante mno tatengeneza kesho
A.Aleykum ukht,,,mashaallah Allah azid kukueka u2fundishe zaidi,,,lkn Je kama unafanya ya biashara unaeza kuongezea na maji????
Na kama ctavichoma nikivichemsha 2 kuna tatzo
Maji sio mazuri kama ya biashara itakua haiishi mda mrefu
Kaanga kidogo upate mafuta halafu ndio chemsha
Ahsante
Nahitaji kufanya hii kwaajili ya biashara,inakaa muda gan bila kuharibika?inaweza kukaa one year mfano?
One year huwezi nimesema mpka miezi 6 tu
Mashaallah it looks yummy first to see this kind of recipe in shaa Allah I will try it. Why did you have to chuja that pilipili before putting it in container?
Nimeichuja because nimetaka iwe smooth
@@aromaofzanzibar ahaa OK shukran dear
Nice voice
Inakaa muda gani bila kuharibika?
Tafadhali sikiliza kwa makini nimeeleza hapo 7:13
Masha'Allah, Thank you Sister for your great tips and recipes.
maashaallah nzuri sana
Kama iyo siki cna natumia nn au dukan unauliziaje
Uliza suki ndio kiswahili na kizungu vinegar
Mashallah mzuri Sana
Shukran
Samahani madam kama napika ya biashara nisitumie maji kabisa badala yake nitumie siki tu?
Pilipili haitiwi maji kama ya nyumbani au ya biashara yote sawa, maji yanafanya pilipili isiishi mda mrefu inaharibika
MashaAllah
Waooow 😍😋
Gd
Asante sana dada
Nice
Looking so yummy
Je km hauna pilipili boga yenye rangi ulizotaja naweza kutumia kijani
Tumia ulokua nayo ni rangi tu
Thanks
Welcome
Recipe nzuri sana, ahsante. Yaweza kuliwa kwa vyakula vipi?
Kama kawaida ya achari, kwa wali , pilau , ndizi mbichi , muhogo chochote utakacho penda
@@aromaofzanzibar mashallah shukran habibty naipenda kwa pilau woow tnx Allah akupe afya na furaha Amiiin
Kama huna mbuz unaweza kutumia ndefu
Mimi sijatumia mbuzi, tumia ulokuwa nazo
Nakupenda mnoooo
Shukran dear