Sadiki Ukipenda: Kitabu cha maajabu huko Zanzibar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Sadiki ukipenda, inasafiri hadi Pemba huko Zanzibar kukitizama kitabu kikongwe kilichookotwa baharini kikiwa kikavu bila ya kulowana. Wakaazi wanasimulia huku serikali ikijaribu kukitangaza kama mojawapo ya maajabu ya dunia. #Sadikiukipenda

ความคิดเห็น • 10

  • @Kimanga_Official
    @Kimanga_Official 7 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah

  • @safasulmaso288
    @safasulmaso288 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallah Ni akhiri zzaman

  • @IbnuAlly-cg2gn
    @IbnuAlly-cg2gn ปีที่แล้ว +1

    Acheni mambo ya kichawi msahafu huo uliandikwa na nan au malaika? mbona misahafu ipo kibao wala haina mambo hayo? au huo una qur'an tofauti na hii tunayoijua?

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 6 หลายเดือนก่อน

    Kiasi maisha yawe magumu kwa ushirikina nyie wapemba mpaka madukani munaweka misukule majoka kwa ajili ya kuvuta wateja.pumbamvu. halafu mukikaa vibarazani munaanza kuwalaumu viongozi.ami maishani mmagumuu. Kumbe na nyie pia munachangia

  • @eng.saalim8646
    @eng.saalim8646 ปีที่แล้ว +1

    Ushirikina. Wacheni kuuchafua uislamu

  • @salumahmadasalum1556
    @salumahmadasalum1556 ปีที่แล้ว

    Qur aan ina maajabu mengi sana lakini si kwa mtazamo wenu huo
    Huo ni ushirikina tu

  • @frankfrancis5736
    @frankfrancis5736 ปีที่แล้ว

    Hakuna Ushahidi wa kuwa kiliokotwa acheni uongo

    • @user-gy7ye9fi3m
      @user-gy7ye9fi3m 11 หลายเดือนก่อน +2

      Usihukumu kwakitu usicho kijuwa.

  • @saadomar2480
    @saadomar2480 ปีที่แล้ว

    Kilasiku watu, tumekua tunataja ushirikiana kilakitu, matokeoyake tunakosa nakupita mambomengi.

  • @mazruqmohammed4108
    @mazruqmohammed4108 2 ปีที่แล้ว

    Huu ni ushirikina