TUMAINI SHANGILIENI ARUSHA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • wafahamu kwaya ya tumaini shangilieni na hudiuma yake ndai yake

ความคิดเห็น • 10

  • @samkabena
    @samkabena 4 ปีที่แล้ว +2

    Bwana yesu asifiwe. ..huwa nabarikiwa Sana na nyimbo zenu nzuri ...nimewasikiza tangu niwe kijana mdogo na nashukuru mungu kwa ajili ya nyimbo zenu ...nimetoka Kenya.. barikiwa Sana..

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 ปีที่แล้ว

    huwa ninawakubali,kazi yenu huwa nzuri ingawa Mimi ni mu AIC

  • @laurenciamasalu3619
    @laurenciamasalu3619 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki sana Tumaini Shangilieni Choir. Uimbaji wenu unanibariki sana sana.

  • @bizamanamvukira7833
    @bizamanamvukira7833 4 ปีที่แล้ว +1

    Jambo ndugu zetu wa choir tumaini Shangilieni ahsanti kwa ushuhuda ni nzuri sana Inajenga myoyo yetu tena Mubarikiwe sana kwa ku kaa muda murefu kwa choir najuwa siyo Jambo rahisi ku cyunga wana members wa choir hii myaka yote kweli ongera mimi ni mucyungaji leo kazi ya kuongoza kwaya nime ipitiya najuwa hii kazi si raisi inaomba neema ya Mungu na hata leo na cyunga choir nyingi kwa kanisa na ongoza inaomba neema na hekima ya Bwana kweli mume fanikiwa sana tuta wasiliyana Mucyungaji Rwanda Kigali

  • @marygodda6770
    @marygodda6770 3 ปีที่แล้ว

    Haleluyaa

  • @ernestdismaseryd1677
    @ernestdismaseryd1677 4 ปีที่แล้ว +1

    Bombaaaaaa

  • @silviakipingi3778
    @silviakipingi3778 ปีที่แล้ว

    habali yakati huu samahani nilitaka kujuwa katika kundi hilo la tumaini choir wote mungu amewajalia kuwepo au Kuna wengine wame tangulia mbele yahaki

  • @quaresmabm750
    @quaresmabm750 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba mturudishie albamu za shangilieni,ewe mwanadamu kupitia you tube ambazo zimetoweka ivi karibuni

  • @israelkdaktari2272
    @israelkdaktari2272 2 ปีที่แล้ว

    HONGERENI SANA WATOTO WA MFALME YESU, LEO NINAOMBA KUULIZA... ZAMANI KULIKUWA NA KIKUNDI FLANI HAPO KWENU KILICHOKUWA KINAITWA "MTANGOO GROUP" NA KILIWAHI KUTOA ALBUM MOJA ILIYOKUWA INAITWA "HUNIFICHA MIKONONI" HIVI NINAWEZA KUZIPATA VIPI NYIMBO ZA ALBUM HIYO?. MUNGU AWABARIKI SANA.