Miisho Yote ya Dunia by Wasonga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 4

  • @alphamulokozi35
    @alphamulokozi35 11 วันที่ผ่านมา +2

    Hongereni sana

  • @tinukamlowe2134
    @tinukamlowe2134 11 วันที่ผ่านมา +1

    zaburi mashaili huimbiwa pale mimbalini na mtun mmoja hatakama anaimba kama mlivyoimba hivi pia maneno ya kiitikio yamejirudia sna, maana kiitikia chasema miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu. je n mlishindwa kutengeneza wimbo wa mtindo huo? ila mmeimba vizuri

    • @tinukamlowe2134
      @tinukamlowe2134 11 วันที่ผ่านมา

      hapo mnaimba wenyewe na siyo pamoja nna waamini. inamaana ushirikishwaji kwa waamini haupo najaribu kuona waamini hawaimbi, ila mmeimba vzr sana mpiga kinanda uku super

    • @batholomeokyando984
      @batholomeokyando984  11 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa tafakul hio,lkn litrugia inaweza badilika kutoka na sehem mahalia kutokana na mababa...pia repitation ya maneno sio dhambi ktk mziki na kanuni zinaruhusu mkuu