hivi kwanini nyimbo za kizazi leo zikimbwa mwanzo mwisho Hakuna kumtaja YESU kuna Mtu anaweza jiuliza hili 😢😢😢 lakini watu wa hovyo kunielewa ningumu saana 🤔🤔🤔
Barikiwa sana kaka ila naomba uwe unalitaja Jina la BWANA YESU KRISTO katika nyimbo zako ili kuzifanya kuwa nyimbo kamili za injili...neno Mungu halitoshi kuufanya wimbo kuwa wa injili kwani tunayemhubiri ni KRISTO
Leo nimekuwa wa kwanza ohoo! Baraka ni zangu Amen Amen naombeni like zangu
Bonge moja la combination wow wow wow Obby na namsikia Godfrey Steven, Yani aaah , wimbo umebamba👌👌👌👌
Anybody from kenya ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
always am fan namba one of in My and kiboooo from kenya NAVAKHOLO CONSTITUENCY
Mungu akubariki Obby alpha nilikua nasubiria hii albamu kwa mda mrefu barikiwa mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Obby , Godfrey na Kibonge I've been waiting for this combination for 3 years and finally imefanyika... ...
Msiri wangu ana msiri wake rafiki yangu ana rafiki yake
Kibo🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉You have done this So well Superstar 🙌🔥
Ihi kubwa sana 🎉🎉❤😂
Hii Album is just blessed and more annointed😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉more love
Gospel heat ni nyie barikiwa
Ukiachana na niokoee hii combination ndio nilikua naisubiria na mpaka sasa nimerudia mara 3🎉🎉🎉🎉 super #UMEBAKI WEWE
Uzidi kubarikiwa,unanibariki kwa tungo zako
Barikiwa Sana
Barikiwa sana Familia
Nimependa hii
Ooh thank you lord for this singer @alpha. He keeps on blessing us every morning. May you bless him too abundantly ❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen Amen and Amen 🙏 nice song ❤️, from Kenya but currently in gulf ❤️❤️
May God Bless you Man Of God
hivi kwanini nyimbo za kizazi leo zikimbwa mwanzo mwisho Hakuna kumtaja YESU kuna Mtu anaweza jiuliza hili 😢😢😢 lakini watu wa hovyo kunielewa ningumu saana 🤔🤔🤔
Nimeurudia zaidi ya mara 3
Mdg wang hongera
Amen ndugu zangu tangulien kaka zangu MUNGU awashikirie daima mdogo wenu nipo nakuja japo miba njian lakin nitafika maana alienituma ni jemedali
This gentleman is actually talking about my testimony and my sequence of life...we need to meet up and talk about the Goodness of the Lord😭😭😭😭
The first one to comment from Burundi 🇧🇮
Mnipeni likes zanguu
Be blessed brother
ONLY YOU #UMEBAKIWEWE🎶🙌🔥🔥🔥
Obby alpha WIMBO nzuri
❤❤obby alpha❤❤my brother ❤Always best yes yes yes 🙏✔️ you are blessed Amina Amina yes I love you my mother 💯💯🌹🌹🌹 good job ❤👍👍
Kiboo melodiez❤️✨️✨️✨️❤️❤️❤️❤️
WOW NOMA SANA FROM KENYA 🔥🔥🔥
Godfrey sauti yako ni perfect sn Mungu awabariki
kma umebalikiwa na hu wimbo kma mmi gonga like
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
MSIRI WANGU NI WEWE MUNGU PEKEEE,, SIHITAJI RAFIKI YOYOTE
Nice song
Such a blessing song❤
Barikiwaa sanaa 🔥🔥🔥🔥
Wa kwanza mimi
Hi guys
wow🥰🥰
NICE COLLABORATION
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kibo melodiza Godfrey Steven na obby mafundi hatari sanaaa
🔥🔥🔥🔥
Amen🎉
Nipeni like zangu maana sio mchezo kuwa kutoa coment❤
Ameni kwa kibar kizur
❤❤❤
Barikiwa sana kaka ila naomba uwe unalitaja Jina la BWANA YESU KRISTO katika nyimbo zako ili kuzifanya kuwa nyimbo kamili za injili...neno Mungu halitoshi kuufanya wimbo kuwa wa injili kwani tunayemhubiri ni KRISTO
🙏🙏
🎉❤❤
100 to view 🎉🎉🎉🎉🎉
Obby , Godfrey na Kibonge I've been waiting for this combination for 3 years and finally imefanyika... ...
❤❤