😢😢😢😢as long as these goons are not punished including rogue politicians involved in these evil schemes, Kenya will go down as a very corrupt and useless state. Very sad
Walaai Mimi kazi ya gulf siwexi toa ata fare ya kutoka kwetu kufika jkia,juu kaa ni legit deal agents uwa wamelipwa Kila kity ady medical, haijalishi ni gani ,ni vike tu hatujui bt ndii hivo , agent anapewa almost 400k za kenya na anatumia less than 50 per haed
@@MuhammadHassan-xp6dcSomalia iko pesa kwanza ukipata NGos unalipwa dollars but only Somalian na God father alfu kama daktari ama mwalimu nafasi ni mingi kwa private hospitals and schools
To all my fellow youths..kindly let's stop being fooled by this agents. Company websites are with us and if you can't get the job via the website kindly stop giving out your money .
Sasa hawa wa UN……was is it so hard to just go to Gigiri why would UN hire staff through agents…….mtu akiogopa kufikiria na ni Xmas una anguka naye hao wa UN sina huruma nao
Some of these agents are thieves, one of them is Rhodevo agent, the woman is soo evil,, she took my money na mtoto wangu hakuenda. Wee Kanini wherever you're God is watching you.... Karma is real!
Wakenya watachanuka lini?? Hii utapeli ya kazi ugaibuni imekuwa inchni zaidi ya miaka ishirini, lakini inaonekana huu utapeli umeshika kasi kutoka uda washike serikali
Ati somalia watu wanatoa doo ya kazi county unaweza enda na bus? Then nani aliwabia Qatar kuna kazi? Kitawalamba sana heri mtu afanyie hyo pesa business kuliko kulipia agent wamange kaa wamekaa chini na wewe ukam Qatar Saudi etc kuteseka
Sometimes, we should visit these offices to check if there are *TRULY* any job offers from their organisation. I PRAY God opens other doors for those who have been conned.
The best advice I can give I that usiamini mtu sana
Hata akiwa familia yako
😂😂😂😂hata ruto pia usimuamini
One thing i know for sure, these people who con desperate and poor Kenyans, is they don't go far, they don't enjoy that money, karma always gets them
UN doesn't use agency. They recruit direct mostly online.
Na ii ya south Korea nimepoanea aky was to fall in this trap..poleni Sana fellow kenyans
Mtajipata Kwa kimani mkilipua makombora North Korea
@dorcasnjeri2858 hehee nakwambia😜😂😂🍺🍺
Kenya!!!
Yeah Nairobi mimi nimeibiwa hadi nikachoka 😅😅😅
Pia mm sasa sai naona tu news 😅😅😅
@ ....Haha letu ni kulisha macho ,ata wale wamesoma wanaoshwa na mungaro wa aerial
N kweli kabisa watu wanateseka sana Qatar
Kenya imekuwa one of the corrupt county sana, kenyans wanapoteza pesa mingi sana
😢😢😢😢as long as these goons are not punished including rogue politicians involved in these evil schemes, Kenya will go down as a very corrupt and useless state. Very sad
Ni kama kuporwa ilianza juzi..... serikali haina usiano na kitu. We dedi
Ni kama kuporwa ilianza juzi..... serikali haina usiano na kitu. We dedi
But nobody will go to Jail for this conmanship. UNFORTUNATELY.
UN office is in Gigiri you were supposed to go there and inquire,,next time be careful
😅😅😅 mko na pesa
Tuliwaabia wakasema tuko na wivu😂😂😂😂wait summer time here in gulf kitawaramba kwanza hiyo job ya mjengo gulf ni noma😅😅😅😅😅lakini poleni
😢😢😢@Emily I'm surprised,I know how Qatar summer weather is the humidity is chaotic..very unfortunate
Ati pia kuna kazi za somalia
😂😂😂😂😂
Kenyans are Rich if they can gave Millions for free . The area OCDP & OCS Should be Arrested 😂😂😂😂 and NIS Director should be investigated 😅😅😅
Poleni sana kwa hicho kilicho wakuta
Is there anything good happening in Kenya.... The devil has taken Kenya by her horns.
Walaai Mimi kazi ya gulf siwexi toa ata fare ya kutoka kwetu kufika jkia,juu kaa ni legit deal agents uwa wamelipwa Kila kity ady medical, haijalishi ni gani ,ni vike tu hatujui bt ndii hivo , agent anapewa almost 400k za kenya na anatumia less than 50 per haed
😢😢😢😢😢
Kenya
Waaaaah I blame Ruto for all this
People need to research kabla upeane maganji
Hadi Somalia😂
hao wasomali wenyewe wakimbia inchi yao🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂
@@MuhammadHassan-xp6dcSomalia iko pesa kwanza ukipata NGos unalipwa dollars but only Somalian na God father alfu kama daktari ama mwalimu nafasi ni mingi kwa private hospitals and schools
Opportunity ya daktari , mwalimu na watu wa majengo iko available huko haitaki hata god father you just apply
😂😂They don't understand that@@yussufahmed136
Corruption Corruption Corruption iko juu sana.
To all my fellow youths..kindly let's stop being fooled by this agents.
Company websites are with us and if you can't get the job via the website kindly stop giving out your money .
Kijana ya murima mburu
So sorry brethren
...ehh....mandago bado hajafungwa...!!!....
Kenya imekua moto
Why not pay after visa
JAMANI NI NCHI GANI HII INASHINDWA KUTOA NAFASI ZA KAZI AU KUWAADHIBU MAAJENT GUSHI KUWEPO NA TECHNIOLOGY TULONAYO
Wajameni si sisi walunje tunapendanga kazi za security 😂😂😂😂
Sasa hawa wa UN……was is it so hard to just go to Gigiri why would UN hire staff through agents…….mtu akiogopa kufikiria na ni Xmas una anguka naye hao wa UN sina huruma nao
This is facilited by government
Man this is so sad.
Kenyans they will never learn they like risking yet they have money na wanatafuta kazi ama wanapenda nchi za nje i don't understand really
Some of these agents are thieves, one of them is Rhodevo agent, the woman is soo evil,, she took my money na mtoto wangu hakuenda.
Wee Kanini wherever you're God is watching you.... Karma is real!
Somalia😅😂unaenda kufanya nini
Kzi
Somaliland is peaceful unlike Somalia
@@iduabsura4959was it today that there was war between tribals in Somaliland or it is joke
Wakenya watachanuka lini?? Hii utapeli ya kazi ugaibuni imekuwa inchni zaidi ya miaka ishirini, lakini inaonekana huu utapeli umeshika kasi kutoka uda washike serikali
Yaani kasongo cartels wako everywhere 😂😂
Police Budget: Eat and Sleep
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mambo ni vulai,kumechamka kuchamka.CHA MJINGA ULIWA NA MWEREVU
Yaani watu wanadanganywa eti south Korea pia iko na kazi ya kuajiri foreigners 😂😂😂😂
Legit Agency ni Nammy international, mastermind ,Royal prince ngara hixo zingine ni wash wash
Uko sure ama umetumwa advertising 😂😂😂😂
@philisterongaya8653 mimi sasa Nifanye Advertising surely ni ukweli
How do we know ata wao walisema ni genuine so maybe umetumwa
@cateciru7325 kwani unaona mimi Nawesa kuwa fala kiazi hio zote iko town go and confirm by your self
Delta office mingi ni za ukora
Same ol' story.
Hii imeenda
Hizi mambo mbona zme ongezeka Sana
Mambo ya kawaida tyuh unajisahau na pesa zko aje na unajua uko kenya watu wamesoma mbya xna na hawana kazi😂😅
Agents!!
Njenga Mburu...
security personell analipwa 250,000/=🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. kenyans hamuezi kosa kulaghaiwa
😂😂😂ata interpol police department hawalipi mingi ivi 😂😂
Ati somalia watu wanatoa doo ya kazi county unaweza enda na bus? Then nani aliwabia Qatar kuna kazi? Kitawalamba sana heri mtu afanyie hyo pesa business kuliko kulipia agent wamange kaa wamekaa chini na wewe ukam Qatar Saudi etc kuteseka
Mpaka korea mwathani mwega
HATA MOMBASA WAKO. MBONA HAWASHTAKIWI ?????
N kumoto
Ati UN? ...You speak very good English how can you be so gullible?
Even the learneds ones gets conned too,these conmen got powers in their tongues.
Kwanza huyo mwenye vizungu zake ndie fala zaidi
Mpaka SOMALIA? Haki shinda inakuanga na matharau. Mungu saindie inchi yetu Kenya jameni. Ndie watu wetu wapate makazi 😢😢
Somalia iko pesa NGos but foreigners hawapati kazi
Sometimes, we should visit these offices to check if there are *TRULY* any job offers from their organisation.
I PRAY God opens other doors for those who have been conned.
KWA WASITOE MTANDAO WA KUTAFUTA KUJUA KAMA KUNA KAZI KWELI TUEZE KUJUA
Be serious Kenyans .how can security get paid 250 k.. how can you get jobs from ngo and UN from some kid 🫤😭
Hata Mimi niko hapa
Shamba la mawe😀😀😀😀
Nikikumbuka vile nilikulwa pesa...weee
Mburu....uyu jamaa anatoka wapi?????
Hio pesa mnatoa ,tumieni akili mfungue biashara mjiajiri acheni kua wajinga
Sasa Somalia kuna kazi gani? Watu wako wajinga sana
Just a reminder Kenyans,, we aren't making it with ruto,, uchumi ya Kenya iko na cancer na iko stage3
Stick to the matter and avoid being irrevant.
This is a conman and not connected to WSR
Mpka sa hii watu hawajui kuna scumers