Mkuu wa mkoa amezingua kweli. Hata kama ameongea kujitetea but hafai kabisa. Kama anaona kwenye siasa hawezi basi aache .sio kutumia kivuli cha madaraka aliyonayo. Tunakemea vkl na kulaani vitendo visivyo vya kiungwana.
Simba kubwa sana na watu wanaipiga vita sana ata wazili wa feza nae anaiujumu simba kwani si waache mpila uchezeke uwanjani sisi yanga team yetu mbovu wazee wengi msimu huu sasa fitina zanini kuwafanyia simba
Jamaa huyu nikijana anajiamini kila anacho amini simba tumempata mtu sahihi kabisa Amedy 3 wewe ni mwamba simba imepita kipindi kigumu sana ila umekuwa bega kwa bega ungozi w simba nawaomba baadaye apewe ungozi hapo simba
Hili ni sawa kabisa, iwe ni kwa Wakuu wa mikoa wote wanaotoa ahadi za pesa pindi Simba akicheza kwenye mikoa yao, Kwanini watoe kwa Simba tuu?wafanye hivyo hivyo kwa mechi zingine.
Anamuongopea kitu gani we ulikuwepo? kama hukuwepo unaongelea nini kwani simba haijawahi kwenda mikoa mingine kinyume na mwanza je huko hakuna wakuu wamikoa au Ahmed anaugomvi na mkuu wa mkoa wa mwanza? Acha mambo yako ya kitoto
Kwanza nasikitika sana kumuona Mtanda moja anafanya mambo haya ndugu yangu Mtanda jina la Ukoo wetu ni jina la watu waungwana sana wenye hikma sana busara sana ndio maana ukachaguliwa na mkuu fanya kazi ushabiki ww ni rais wa mkoa watu wote wako Sasa ukuu wa mkoa tu unafanya hivi je ktk urais si utakuja kutuuwa ndugu yangu acha my brother usitufanye tukuchukie wewe ni mtu wa watu
Kumbuka yule kocha wenu aliwahi kusema mashabiki wa yanga mnabweka hovyo kama nyani mkamtimua pia manara kawahi kusema pale yanga wenye akili ni watu wawili tu wewe haumo kwenye hao wenye akili
Dogo ni mpuuzi sana huyu tatzo mnalewa sana sifa. Ndo maana kana sauti kama kamemeza chura 😡. Hizi nafasi za usemaji nadhan zingetolewa kabisa hazina maana zaidi ya kukosea watu heshima zao. Hata yule wa Yanga aliwahi kumfananisha mtu mzima na heshima zake na andazi.
Safi sana unaongea perfect wewe ni msemaji sio mropokaji❤❤❤❤
Safii sana semaji bila kupepesa macho
Washindwe KWA UWEZO WA MWENYEZI MUNGU.AMEN❤❤❤❤❤❤
Tumecheza na timu tatu 1 pamba 2 yanga 3 mkuu wa mkoa mwanza
Semaji unahotaji ulinzi wa hali ya juu hayo.ni.maoni yangu maana unapambana kwa simba yako
Big Up
Inshallah 🙏❤tena alaniwe anae piga majungu timu yangu wao wapambane na soasa na sio kuleta choko2 kwenye mpila
Mkuu wa mkoa amezingua kweli. Hata kama ameongea kujitetea but hafai kabisa. Kama anaona kwenye siasa hawezi basi aache .sio kutumia kivuli cha madaraka aliyonayo. Tunakemea vkl na kulaani vitendo visivyo vya kiungwana.
Wana simba nguvu mojaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤
Tushilikiane kwenye hili
Mkuu ndugu yangu umeyakanyaga kwa simba....!!!. Unatumia cheo vibaya.😊
Huyo mkuu wa mkoa hajui kuwa, simba ni kubwa kuliko yeye hajui hata hao polisi anaowatuma kwenda kuvamia mazoezi ya simba nao pia ni simba?
duuuh umetisha sana semaji la mpira wa miguu
Speech nzuri kanisa
Safi sana sana, kuna wengi wanatumia mamlaka yao vibaya, ni aibu kubwa
Mungu akupe umri mrefu
safi sana Ahmed umeongea vzr hakika wewe ni msemaji sio mropokaji.
Asante semaji kwa maneno yako ya hekima
Simba kubwa sana na watu wanaipiga vita sana ata wazili wa feza nae anaiujumu simba kwani si waache mpila uchezeke uwanjani sisi yanga team yetu mbovu wazee wengi msimu huu sasa fitina zanini kuwafanyia simba
Simba nguvu moja
Simba hawakukosea kukupa nafasi hiyo semajinla caf
Safi semaji la kimataifa, simba nguvu moja
Safi sana
Ahmed tuko na wewe kwenye kutetea maslahi ya Simba.
Kbsaaa
Good sana
SEMAJI SAFI SANA Umenyooka naye Huyo Dharimu la Michezo
Safi sana semaji la caf huyu mkuu wa mkoa anajilida tu lakini alishaharibu .hivyo anataka kujinasua tu na kashfa.maji yamemfika
Hajui kwamba Samia ni Simba ngojeni atahamishwa kumanina zake
MKEKA ujao huyo hayupo nakwambia😂
Huyo mkuu wa mkoa ni mvuta bangi
Jamaa huyu nikijana anajiamini kila anacho amini simba tumempata mtu sahihi kabisa Amedy 3 wewe ni mwamba simba imepita kipindi kigumu sana ila umekuwa bega kwa bega ungozi w simba nawaomba baadaye apewe ungozi hapo simba
Tena cha Malawi
AHMED ALLY MSOMI,HATISHWI NA MTU,ANAJUWA SHERIA SAFI SANA
Alizani ni Chadema
Asante semaji na viongozi wa simba
Timu zote zinazofadhiliwa na gsm ni kwa ajili ya kuidhoofisha simba ili simba wasifanye vizuri lakini kwa uwezo wa Mungu hawatafanikiwa
Mm yanga lakn kwa niaba ya mpra wet Tanzania mkuu wa mkoa kukoxea kwel kwel
Safi sana Semaji
Hili ni sawa kabisa, iwe ni kwa Wakuu wa mikoa wote wanaotoa ahadi za pesa pindi Simba akicheza kwenye mikoa yao,
Kwanini watoe kwa Simba tuu?wafanye hivyo hivyo kwa mechi zingine.
Uko sahihi bwana ahemed yule ni mkuu wa mkoa ni kuma yanga dam
Niliona na li Hbaba linalalama jukwaani
Safi semaji wamejiona sana kuteuliwa tuu
Wasituyumbishe tutasimamia sheria za nchi Simba aman tosha wasituvuruge watuache na Simba yetu ok
Ameyatimba huyu bwege semaji la CAF wew na mkuu wa mkowa wa mwanza wew uko juu atajuwa ajuwi
SIMBA MOJA NGUVU MOJA...
Wamewatesa Chadema saivi wameingia simba
Simba hatujazoeya ukolofi jaman ili tutaniane vizur inatakiwa timu kama nikushinda ishinde safi ili mtu kama nikutaniana umtanie safi
Ok tumekupata
Safi semaji yani wanatuletea siasa kwenye michezo kwasababu yy yupo selekalini
Ama kwel safar hii tumeamua,UBAYA UBWELA
He, aliteuliwa Kwa ajili ya kufanya hayoo?
Ovyo kabisa SASA Kwa nn hao mabausa wamzuwie mkuu wa mkoa
Umemkaanga
Mkuu wa mkoa unaleta ushabik wazwaz mbwa kwel yule
Apo apo tunasimamia na tunalaani kabisa
Asiachwe naenae nawengine wenye mihemko kama yeye wajivunze
Mkuu wa mkoa anajiona jiwe lakini kumbe anajidañganya.
Pumbuvu we unamuongopea mkuu wa mkoa utaenda jela
Anamuongopea kitu gani we ulikuwepo? kama hukuwepo unaongelea nini kwani simba haijawahi kwenda mikoa mingine kinyume na mwanza je huko hakuna wakuu wamikoa au Ahmed anaugomvi na mkuu wa mkoa wa mwanza? Acha mambo yako ya kitoto
UBAYA UBWELA
Wamakonde atuna konana kona ukikosea tunakuchana tu atuogopi kwakuwa amesema kweli
Semaji msomi anayeelewa kazi yake na na kuelewesha wasio elewa kazi zao na mipaka yao aminia sana semaji letu la cuf
Sisi simba tusifanywe kama wana chadema atutakubali
Mkoa wa mkoa anazingua huyo.
Mpeeee hyo 😂😂😂😂😂😂😂semaji tunaye,kocha tunaye,na alama tatu tunazo km inawauma mchomoe😂😂😂😂😂😂
Hajielewi madaraka yake ayapeleke kwa utopolo wenzie
Huyu mtu wa mwanza anataka nini
Simba mnatupigia kelele
simba uwez kuichezea nje ya uwanja
Wewe ni msemaji mwenye weredi wa Hali ya juu sana kiutangazaji ,umewazidi wengi wasemaji ktk vilabu vyetu nchini
Heko
Ndo Raha ya kuwa na elimu
Mtanda Nduguyangu umekosea heshimu kaziyako mamlaka kikubwa ungewachia watu wa mpira kamda wao wangekuwa tarifa sawa sio watu wa pamba
Mkuu wa mkoa wa mwanza kama kweli kayafanya haya hafai kuwa kiongozi popote pale.
Ndo maana yake ubaya ubwela
Mpira unageuzwa uhasama sasa.ukweli utabaki ukweli,Utetezi wa RC wa Mwanza auna mashiko yeye angepambambana na SIMBA SPortsClub Si AHMED ALLIY.
Kwanza nasikitika sana kumuona Mtanda moja anafanya mambo haya ndugu yangu Mtanda jina la Ukoo wetu ni jina la watu waungwana sana wenye hikma sana busara sana ndio maana ukachaguliwa na mkuu fanya kazi ushabiki ww ni rais wa mkoa watu wote wako
Sasa ukuu wa mkoa tu unafanya hivi je ktk urais si utakuja kutuuwa ndugu yangu acha my brother usitufanye tukuchukie wewe ni mtu wa watu
Jana wanagongana wenyewe goli linaingia refa anakataa gorii😆😆
Hawa makolo hawamu hii wamewekeza kwenye marefa yanga tuwe nao makini sana
aligundua kosa lake ndo maana taarifa mbili zinakinzana ila tumsamehe
hakuna kusamehe mpumbavu
yeye nani ktk nchi hii mpaka aingilie hisia za watu
Ninyi makolo hamna lolote ninyi hamko juu ya sheria acheni kujiona ninyi ndo ninyi,mnabebwa tu hamjielewi.
Wewe unaongea ugoro kwani wale vijana kukaa chumbani pale ni juu yasheria au chini ya sheria we kweli nyuma mwiko
Kumbuka yule kocha wenu aliwahi kusema mashabiki wa yanga mnabweka hovyo kama nyani mkamtimua pia manara kawahi kusema pale yanga wenye akili ni watu wawili tu wewe haumo kwenye hao wenye akili
Umeongea vizuri Sana kitaluma hemed hawa wakuu wa mkoa wanatafuta umarufu wa kijinga Sana
Dogo ni mpuuzi sana huyu tatzo mnalewa sana sifa. Ndo maana kana sauti kama kamemeza chura 😡. Hizi nafasi za usemaji nadhan zingetolewa kabisa hazina maana zaidi ya kukosea watu heshima zao. Hata yule wa Yanga aliwahi kumfananisha mtu mzima na heshima zake na andazi.
Wakati mwingine uwe na staha unaongea ujinga siku zote
Kaongea ujinga sasa?
Achana na huyo limbukeni hajui azugumzalo shssssssssssss
semaji yuko sawa huyo mkuu wa mkoa alitaka kuleta ushabiki wake wa utopolo
Ndio ameongea Sasa inawauma nn nyie mabinti
Kuma kwel ww kaongea ujinga kwel lip??yule njiti na semaji Nan anaongeaga ujinga??mwaka huu mtakufa
Nawala tusimuogope mtu kwanafas yake