Babà Jimmy umekua super star!!! Alafu huringi!!! Unasalimia kila mtu na inakubali video.. I appreciate mtu Wa Mungu. Mama Jimmy tunza sana huyu mtumishi.
We thank you God for this family we really ❤them at heart. We can see the greetings which come from the heart ,,,,,warm . Welcome. Stay blessed 🙏 With your family. Shallom shallom.
It's not hard to identify you when you are walking around with a camera strapped to your chest. 😅 Happy you got Royco for Mama Jimmy. There is nothing like it in America!
A white dude with a Kenyan humility. Papa chimmy you’re one of a kind. Heshima ya kiafrika the way you speak with the locals. 😮
Let's grow together 🙏🙏🎉
𝑨𝒕𝒂 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒔𝒉𝒂𝒏𝒈𝒂𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒊 𝑴𝒛𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒏𝒂𝒐𝒏𝒈𝒆𝒂 𝒔𝒘𝒂𝒉𝒊𝒍𝒊???
𝑾𝒆𝒆𝒆𝒆..𝑾𝒂𝒌𝒊𝒏𝒂 𝑩𝒂𝒉𝒂𝒕𝒊,𝑴𝒊𝒍𝒍𝒊𝒆 𝑪𝒉𝒆𝒃𝒃𝒚,𝑪𝒂𝒍𝒊𝒈𝒓𝒂𝒑𝒉 𝒘𝒂𝒌𝒐 𝒘𝒂𝒑𝒊?????????????
Papa chimmy ata shopping ulifanya fisuli kweli??? All those fans ❤❤❤🎉
Baba Jimmy is an example of a "pure heart" ndio maana Mungu anamtumia. May God's abundance be upon you always and may He use you immensely
exactly
Ba Jimmy hata mbinguni hatapiga hodi mlango utakywa wazi . This kind of hearts are rare in the world 🎉
Baba Jimmy uko na fans wengi almost all kenyans
Wow Baba Jimmy you are a real superstar in Kenya..The warm reception you received from you fans is amazing.
I just love Baba Jimmy's content and always influence my family to watch with me. And today I have subscribed ....🎉
Kakamega watu wanakupenda. Karibu sana nyumbani feelanga free
County ni kakamega but ye Ako karibu na uasingishu 😂😂
Nipitieni guys pale kwangu🎉
Ati iyo supermarket Iko Uasingishu
Humble gentleman making everyone feel happy be blessed❤
Baba Jimmy Kenya is your home kila mtu anakujua Fanya kazi ya Mungu vizuri.
Papa Jimmy, next time write a shopping list ndio usisahau sahau❤❤
It’s like listening to a kind Luhya guy❤❤
Tunakujua wengi sana. We love you and your family. You just wont meet all of of us but we exist❤❤❤❤❤
Baba Jimmy ni handsome ❤❤❤ tupitiaane guys ❤❤
Nipitie nikupitie
Watu wa Baba Jimmy nipitieni and nitawapitia wote💪💪💪
Okay
@annndunda3953 done ✅
Have been watching this guy and am learning something special about family
❤❤❤❤much love baba Jimmy may you always be a vessel of God
Kila mtu anaulizia mama Jimmy,,we love our Africa girl and we are happy she is doing well
Kweli kazi ya Mungu inafanyika na Injili ina endelea kusambazwa. Asante sana.
Angalau 🤣🤣🤣huyu ni waingo original
Baba jimmy hoyeeeeeeeeeeeeeee, tunakupendako shemeji wetu God bless u baba jimmy mi Niko Nakuru Kenya,ukikuja Nakuru tunakukaribisha
Babà Jimmy umekua super star!!! Alafu huringi!!! Unasalimia kila mtu na inakubali video.. I appreciate mtu Wa Mungu. Mama Jimmy tunza sana huyu mtumishi.
You're great man of God hewill always guide you and mama Jimmy ❤
🎉🎉🎉from Eldoret..thank you for the captions
Baba jimmy unapenda watu sana... it's very easy to interact with u
My resolution list this year was to meet you when you back to Kenya . One day I'm hoping to do so...
Baba Jimmy wewe Mungu amekupa kibali, unajukikana na watu wengi, Mseveve ukikauka huwa inakubaliwa kuingia
Baba Jimmy
Welcome Home KE
Baba Jimmy u loved man of God in 😊africa
Baba jimmy very humble nakupenda kutoka mombasa
Wow wewe ni celebrity kweli. Ukirudi usa mpatane na Silvia and Koree. I think Silvia ni Mennonites pia.
Haiya! Ata wewe hua unawatch Baba jimmy na koree?
Taking over the internet with the God-inspired content ...Baraka baba Jimmy
Salamu nyingi baba jimmy
BARIKIWA sana 🙏🙏🙏
Baba Jimmy uko na laptop hatari 🔥
Papa Chimmy
Much love ...wewe niwa ingo
Baby Jimmy amekuwa famous...tuonane na Karibu Texas ukirudi.
Hello man of mungu akubari kwa kazi poa......karibu kericho sikumoja
Baba jimmy watu wanakuoenda sasana,be blessed
Great waiting for part two
Baba jimy nataka collaboration ✅ nawee
All the best baba jimmy
Mzungu mkenya akiii we're very proud of you ...... Twakupenda sana haswa your family .
Kumbe Baba Jimmy wewe in celeb. Hio count at imepita 100
Baba Jimmy, you have now the opportunity to buy shamba in kenya for a holiday home. Tunaku penda sana sisi wakenya.
Wakenya wako na upendo.wamekarbisha baba Jimmy vuzuri
I wish you all the best baba Jimmy
Waaa...papa Chimmy waambie wote wajikusanye once mfanye tikitoko iwatoke...cheiii
Am just addicted with how baba jimmy talks
Am always happy for you mtumish.
Naona hadi baba Jimmy amekutana my friends brayo
Haiya umevaa aje manguo ya piko haraka ivo😂😂😂😂😂
😅😅mama Jimmy papa jimmy anaibiwa
Almost everyone in the supermarket recognized you !
Have learnt something baba jimmy to use microphone when on motorbike am a TH-camr too so most when on motorbike the sound is not clearly audible
Humility is admirable!
Papa Chimmi, unakula lunch kwanza, halafu shopping😅😅
baba jimmy ni mtu mpole sana na mwenye huruma
Baba jimmy Niko Nairobi much greeting nilipatana na wewe nitakusalimia Mimi nifun wenu
Sauti iko sawa papa Jimmy have a lovely day.
Baba Jimmy may God bless you
Kama unapenda Baba jimmy gonga like hapa
Wee ulisahau kufunga mlango 🙆🙆
We thank you God for this family we really ❤them at heart.
We can see the greetings which come from the heart ,,,,,warm . Welcome. Stay blessed 🙏
With your family.
Shallom shallom.
This man Baba Jimmy ako Tu na roho mzuri a very humble man God bless you Baba jimmy
Baba Jimmy is a celeb
😂😂😂😂 the fact that they ask where mama jimmy is and they watch your videos daily 😂😂😂😂😂😂
Usikanyangeko Churchill. Nyota itaenda....Wakristo wakiendamo huko wanapotezanga neema fulani
Nice motorbike baba jimmy.
Team kupitiana nipitieni niwapitie tugrow pamajo road trip to 1k please ❤
Hata Mimi natamani kumeet baba jimmy Asante shemeji
Wakati mwingine charipu ufikako Mombasa.
Watu wanakupenda Kenya baba chimy .
The best and cheapest WiFi is from Faiba with kes 1500 you get 100gb per month
How do I get it?
@GladysBelfast share your number
Si Faibà optic wampelekee Baba Jimmy kama zawadi na awafanyie promotion especially wakitumia hizo ma cartoons zao iwe compe ya biashara roho Safi.
I like the machine🎉
Wow ❤
Hi uki edit video usikimbize mbele hivo,heri ukatekate that that speed motion.
Most Kenyans are kind…
Baba Jimmy deni ya musheveve utalipa tuu😅😅😅
Papa Chimmy ako Rupa Mall Eltoret🎉🎉🎉🎉
Hata watoto wasalike hapo, "mambo Lame"😂😂
Kila corner 'Baba Jimmy' 🤣
We love you sir
Wueh baba Jimmy that explaining was hectic....you had to tell everyone where mama Jimmy is.
Good one
It's not hard to identify you when you are walking around with a camera strapped to your chest. 😅
Happy you got Royco for Mama Jimmy. There is nothing like it in America!
Kama si baba Jimmy ninani mwingine😂😂😂🎉
Baba Jimmy ulikuwa umejenga Kenya
I hope to see you in Eldoret. I'll be there over the weekend. 🎉God bless you.
@user-ns7dj1lo3r 😂😂 he's funny, Godfearing and i like his kiswahili luhya accen
Huko ni wapi, Eldoret nice shops.
Msa watu wanakupenda
Love you baba Jimmy
I love how everybody is checking on kina Mama Jimmy😂❤️
Guys mnipitie tugrow pamoja napitia back
Pikipiki ni ya nguvu
Tunakusia vizuri saana
Sauti iko sawa
❤
Eeeh hiyo bike niya kenya
Kwani wenye wanaulizia mama jimmy hafuatiliagi contents 🤔
Everyone is like where is mama jimmy ?anapendwa kweli
Kenya 🇰🇪 First
Me sijai ona pikipiki kama ii my first time 😅