GB 64 AMUWASHIA MOTO HAJI MANARA, KAULI YAKE INADHIRISHA YEYE NI SIMBA DAMU DAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Kauli ya Haji manara

ความคิดเห็น • 117

  • @user-hu2hl9sx1n
    @user-hu2hl9sx1n หลายเดือนก่อน +10

    Upo sahihi sanaa gb munguakupe umli mlefu

  • @fredrickr7173
    @fredrickr7173 หลายเดือนก่อน +11

    GB, Mimi ni Yanga, ila kwenye hili la Mobeto...nakubaliana na wewe 100% kaka.

  • @JumaKiegezo
    @JumaKiegezo หลายเดือนก่อน +6

    Kaka umesoma wakuache

  • @zubedaharoun6991
    @zubedaharoun6991 หลายเดือนก่อน +8

    Gb maashaallah. Bro
    Allah akulinde na akuepushe na husda❤

  • @JumaKiegezo
    @JumaKiegezo หลายเดือนก่อน +5

    Uposahihi broo GB 64 bonge la jitu

  • @JazilaIssa
    @JazilaIssa หลายเดือนก่อน +10

    Unafaaa kuwa msemaji wa simba wa baadae baada ya ahmed ally

    • @kassimdiscover7730
      @kassimdiscover7730 หลายเดือนก่อน +1

      Unajua vigezo vya kua msemaji wa klabu?.....

  • @ekiliangoliga644
    @ekiliangoliga644 29 วันที่ผ่านมา +1

    MashaAlla wewe baba unaipenda simba mpaka unakera

  • @anatoryjames4128
    @anatoryjames4128 หลายเดือนก่อน +7

    Kweli manara ni mjinga sana yaani ashawaona wanayanga kama hawana akili kabisa njaa inamsumbua tu

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp หลายเดือนก่อน

      Hahaha dah hakika

    • @SaraRobert-io8xv
      @SaraRobert-io8xv หลายเดือนก่อน

      Ila hapa kweli mimi mwanayanga ila manara nisimba kabisa

  • @LovelyBakedBuns-ue7un
    @LovelyBakedBuns-ue7un หลายเดือนก่อน +1

    😛😛😛vyura fc mnateseka na gb Kawa choma mkuki WA moyo👏👏👏

  • @siliviamushi4119
    @siliviamushi4119 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera kaka mkubwa

  • @AbdullrazackHussein
    @AbdullrazackHussein หลายเดือนก่อน +4

    Uhakika kaka haupingiki

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 หลายเดือนก่อน +2

    Haji mwenyewe alisemaga yanga wote hawana Akili sasa hivi na yeye yupo huko huko Kwa watu wasio kuwa na akili Kwa hiyo asahivi Haji manala nae Hana akili anafanya kitu bila kutumia akili

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe หลายเดือนก่อน +3

    Kwel kabisaa

  • @HOLINESSPIUSE-gv8ud
    @HOLINESSPIUSE-gv8ud หลายเดือนก่อน +3

    Nimekuelewaaaa SEMAJI la mashabiki upo swadakitaaa saaana

  • @danielmwambashi3386
    @danielmwambashi3386 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa nikichwa na zaidi,big up GB 64. Unatosha nanusu😅😂

  • @mohamedymkopi5887
    @mohamedymkopi5887 หลายเดือนก่อน +2

    After Mohamed Ally ni wewe Bro msemaji First Eleven kbsa unaaanza Gb64 no doubt 🎉

  • @AllyMwinjum
    @AllyMwinjum 17 วันที่ผ่านมา

    Nakukubali kaka

  • @issamtengela7152
    @issamtengela7152 26 วันที่ผ่านมา

    Nakubali kaka

  • @MussaJacob-n7r
    @MussaJacob-n7r 16 วันที่ผ่านมา

    Nimependa, to the bechi la ufundi, kweli GB 64

  • @AllyMwinjum
    @AllyMwinjum 17 วันที่ผ่านมา

    Wambie kaka wanaiga hao

  • @lucymchuma8674
    @lucymchuma8674 29 วันที่ผ่านมา

    Akii unajua kuchamba😊😊😊😊

  • @HalimaAli-c5v
    @HalimaAli-c5v หลายเดือนก่อน +2

    Magoma kashasema manara nibsimba

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 หลายเดือนก่อน +1

    Fundi huyuu na nusu mwalimu wetu kule rushoooto

  • @EMA-vq8vc
    @EMA-vq8vc หลายเดือนก่อน

    manala ni dam yetu sema maisha yanatulazim tuishi tusivyo taka

  • @OmariOngoli
    @OmariOngoli วันที่ผ่านมา

    Manara mnafiki

  • @clementkyemi5352
    @clementkyemi5352 24 วันที่ผ่านมา

    Wapumbavu hawaelewi 9:27

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda hiyo from the team😂❤

  • @user-rz2ek3qw3h
    @user-rz2ek3qw3h 10 วันที่ผ่านมา

    Kama umeweza kumuombea manara mbona haujajitetea mwenyewe ulipowekwa jela? Kunguru mwenye baka jeupe wewe (Kunguru wa zanzibar)

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l หลายเดือนก่อน

    SIMBA NGUVU MOJA 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 หลายเดือนก่อน +24

    Manara nikama mtoto mdogo ukimueka mbele ya watu bila pampers anakunya mda huo huo

    • @AbuuAnuwar-ip7dr
      @AbuuAnuwar-ip7dr หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂😂😂

    • @shaabanbaiya4033
      @shaabanbaiya4033 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @shaabanbaiya4033
      @shaabanbaiya4033 หลายเดือนก่อน +1

      Manara chizi halafu ni limbukeni tu

    • @0656033716
      @0656033716 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 หลายเดือนก่อน

      Hahaaaa nimecheka Kiboya😂😂😂😅

  • @clementkyemi5352
    @clementkyemi5352 24 วันที่ผ่านมา

    Anaongea ukweli lakini wapumbavu hawaelewi !

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 หลายเดือนก่อน +1

    "NONSENSE" yaani ukiongea kiingereza ni ushahidi wa kuonyesha kuwa umekwenda shule ,ujinga mtupu " Kiingereza ni lugha tu kama zilivyo lugha nyingine --- wako wengi tu wanaojua kiingereza,na hawajakwenda shule kabisa "

    • @allyemmanuel7702
      @allyemmanuel7702 หลายเดือนก่อน +1

      Acha wivu bongo kizungu kinaongelewa na wasomi

  • @PhiniasAbdalah
    @PhiniasAbdalah หลายเดือนก่อน

    nakubali sana mashine ya kuongea

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange4500 หลายเดือนก่อน

    Ramadhani waso wapiii, yanga nonda shabani

  • @OmaryMdoe-fs4hj
    @OmaryMdoe-fs4hj 24 วันที่ผ่านมา

    Nikwelii manala nisimba angemfuats baba yake lakini kaenda simba niandiomaana kamtambulisha mobeto na azizii k kwenye wananchi

  • @kulwamisana8896
    @kulwamisana8896 หลายเดือนก่อน

    Kaka Kweli ata huku ukerewe wana yanga leo walikua wanakunywa supu

  • @JuliusKideula-qt4pq
    @JuliusKideula-qt4pq หลายเดือนก่อน

    Hivi wee gb ni mlevi kumbe,pole sana

    • @user-xq8pq2ey6t
      @user-xq8pq2ey6t หลายเดือนก่อน

      Yanga ni wale wote automatically wawili ndo Wana akili Ile aibu ya mwaka😭😭😭

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 หลายเดือนก่อน

    Anaitwa Stephan

  • @SaidIbrahimsaid
    @SaidIbrahimsaid 16 วันที่ผ่านมา

    Kaka endelea kuwafuza

  • @user-pj4mx2ro4h
    @user-pj4mx2ro4h หลายเดือนก่อน

    Hana akili yule mda wote simba na sie simba hatumtaki malaya yule

  • @robertchazya2351
    @robertchazya2351 หลายเดือนก่อน

    Kumbe kiaz

  • @tumainilupamba2249
    @tumainilupamba2249 หลายเดือนก่อน

    Wasemaji mko 2 tu na Ahmed Ally nchi hii...

  • @clarencemeena1628
    @clarencemeena1628 หลายเดือนก่อน

    GB 64 akili Mingi sana, una material ya kutosha kichwani

  • @SihabaJuma-s2o
    @SihabaJuma-s2o หลายเดือนก่อน

    Ila Mo Kumtambulisha dada Yake Mbele Ya Umma Ni Sawa Ila Aziz K Mumvusha Jez Hamisa Niny Mnaumia Cyo..😂😂Na Bd Tarehe Nane Ndo Mwisho Wa Furaha Yenu Mbwa Nyie😂😂

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 หลายเดือนก่อน

    kwa ufup manara anahalalisha zinaa

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 หลายเดือนก่อน

    Mbona kiingereza cha form 0ne!😂😂😂 Form six unajiona msomi sana

  • @philemonnestory4239
    @philemonnestory4239 หลายเดือนก่อน +1

    Manara afungiwe tena

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @AlbertNshunju
    @AlbertNshunju หลายเดือนก่อน

    Nishakwambia kinereza Archana nacho unaharibu babuuu

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u หลายเดือนก่อน

    Gb 64 nakufatilia

  • @saidkizota3595
    @saidkizota3595 หลายเดือนก่อน

    Kurjuan ile kapigwa manara

  • @paulmapunda887
    @paulmapunda887 หลายเดือนก่อน

    Amesema kesho haendi uwanjani

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 หลายเดือนก่อน

      manara ni simba sema hela tyu

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 หลายเดือนก่อน

    bun ya kwanza kweli ni manara 😂😂😂😂 anaongea chochote

  • @muddywatown
    @muddywatown หลายเดือนก่อน

    To the benchi la ufundi 😂😂😂

  • @salama1113
    @salama1113 หลายเดือนก่อน

    Kabisa GB 64 iyo yote watitaka kutuiga mwisho wasiku wanaalibu😂😂😂😂😂

  • @allymchuma
    @allymchuma หลายเดือนก่อน

    Ndomana wanawake wenzio walikuweka ndan

  • @mudathilumwilu8295
    @mudathilumwilu8295 หลายเดือนก่อน

    tafuta pwent

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 หลายเดือนก่อน

    Waulize mbona hawajamtambulisha Mkuu wa mkoa Mbele ya Makamu wa Rais,

  • @LovelyBakedBuns-ue7un
    @LovelyBakedBuns-ue7un หลายเดือนก่อน

    Utopo hata kwenye cm hamjui kuandika polen gb ni msomi mnatakaje sasa divion 0 ziko huko kwenu vyura nyie kelele TU..🤣🤣

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 หลายเดือนก่อน

    Gb 64 mimi nilivyo kusikia ukiongea kizungu ni kumbe wewe ni mswahili wa kutupwa.Mwanamme kuwa rafiki wa kike sio lazima mufanye gwiji gwiji ujuwe hivyo huwo ni mawazo ya kiafrika ya ujinga Azizi k amezaliwa Ufaransa ujuwe hivyo ni kitu cha kawaida mwanaume na mwanmke kuwa marafiki ujuwe hivyo

  • @NasriMalogo-iz2tb
    @NasriMalogo-iz2tb หลายเดือนก่อน

    Amedy Ally yanga damu

    • @user-xq8pq2ey6t
      @user-xq8pq2ey6t หลายเดือนก่อน

      Unaforc Kuma kujamba fala wew

  • @SihabaJuma-s2o
    @SihabaJuma-s2o หลายเดือนก่อน

    Unashanhaa manara kua simba mbona ahmed ali yanga lialia na watu hatusemi..Shida Kwamba Elimu Yako Ya Kufoj Manara Hicho Kipengele Hakuizungumzia Timu Moja Tu Ambazo Zitakazo Fungwa Na Naomba Utambue Ule Ni Mfano Tu..

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

      Kwani alikamwe mbona husemi na privadinho au ndo mpaka uwashwe wifi 😂

  • @hozajuma2239
    @hozajuma2239 หลายเดือนก่อน

    Tunaweza kupata mamba zako

  • @allymchuma
    @allymchuma หลายเดือนก่อน

    Wow GB 64 nabos wako nimashoga tu hapo umeongea ujaitaja yanga au unakua kama choko bana

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp หลายเดือนก่อน

      Falaaaa wew kafireweeee msenge mpumbavu

  • @SihabaJuma-s2o
    @SihabaJuma-s2o หลายเดือนก่อน

    Acha Uwongo Ww pimbi Na Kutaka Kutuzuga Et Alitambulishwa Kama Mzamini Mpya..Watu Tumesikia Kabisa Na Kuna Dada Yake Mwengine Wa Kutoka Mombasa Ile Simba Siyo Klab Ni Taasisi Ya Familia Ya Mzee Dewj Akifa Mo Dada Zake Wanalisi....😂😂

    • @Zenampande
      @Zenampande หลายเดือนก่อน

      Yule ni mlezi wa timu ya kike

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 หลายเดือนก่อน

    Ila GB 64 unakomesha kweli aisee

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 หลายเดือนก่อน

    Kweli nyie mbumbumbu, kwahiyo hicho ni kingereza kweli?

  • @peterchande957
    @peterchande957 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama yeye ni Kolo kelele za nini?

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl หลายเดือนก่อน

    Wachaa😂wewe mbele ya maokoto?

  • @SamsonJohn-mo7en
    @SamsonJohn-mo7en หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @OmaryMustapha-ho7bk
    @OmaryMustapha-ho7bk หลายเดือนก่อน

    Tamba baba achana na wajinga wanaokuponda maana hawana tim ya ya kuiongelea

  • @inesskasale-hr1em
    @inesskasale-hr1em หลายเดือนก่อน

    Ila akae huko huko Yanga maana akija Simba ataleta tu ugonvi.

    • @Leeeeeeee-96
      @Leeeeeeee-96 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂🎉

  • @aliceniyungeko2279
    @aliceniyungeko2279 หลายเดือนก่อน

    Sasa imekuwa kipindi cha Manara na Mobeto ongea mpira aca ujinga kutumalizia bando bure

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

      Umelazimishwa au ndo shobo tu 😂

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe หลายเดือนก่อน

    Ilaaa gb 64

  • @saidibuye8859
    @saidibuye8859 หลายเดือนก่อน

    English yenyewe Mbooooovu ndio ujikute umesoma , wewe pimbi hata Linah Yanga humuwezi. Kenge weee

  • @ErickKhamisi-dp8uv
    @ErickKhamisi-dp8uv หลายเดือนก่อน

    tafta hera ww na miwani yako 😮😅😅

    • @SephBakari
      @SephBakari หลายเดือนก่อน

      MBNA kama unateseka😂😂😂

  • @ZahoroMohamed
    @ZahoroMohamed หลายเดือนก่อน

    Yaan laiti ingewezekana uyu ndio angekuwa msemaji wa simba sio yule komedi asiye jitambua

    • @saidbakari2408
      @saidbakari2408 หลายเดือนก่อน

      Et asiyejitambua 😂 roho mbaya tu kuoga aah!

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 หลายเดือนก่อน

    That's why we going to talk shit..🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @HalimaAli-c5v
      @HalimaAli-c5v หลายเดือนก่อน

      Magoma kashasema manàra ni simba

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 หลายเดือนก่อน

    kwahiyo wewe ukiitaja Yanga umekua yanga, mbuzi wewe

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 หลายเดือนก่อน

    wewe walikuchezea tako Central,
    kiboko yako mangungu

  • @user-rz2ek3qw3h
    @user-rz2ek3qw3h 10 วันที่ผ่านมา

    Hivi huyu hiki anachoongea ni kiingereza? He's very best stupid in this world, alafu anasema Alikuwa mwalimu, kweli alikuwa mwalimu wa ujinga na aliowafundisha shule ni wajinga kama yeye, ana uhakika wa zinaa anayoingelea? Kesha wahi kutembea na huu ujinga wa kuamini Jina ni dini ni mpumbavu tu, hapa south africa na nchi za magharibi majina hayanamaanishi udini

  • @arnoldrwegoshora449
    @arnoldrwegoshora449 หลายเดือนก่อน

    Anaongea English broken alaf anasema English😂😂😂😂dah ushamba huu

    • @allyemmanuel7702
      @allyemmanuel7702 หลายเดือนก่อน

      Upo muongo hiyo sio broken

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz หลายเดือนก่อน

      Huyo ni Muhaya usimshangae. Iwe?​@@allyemmanuel7702

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz หลายเดือนก่อน

      Aliye toka kwa wakulima BK huko na aliye zaliwa pwani Kwenye Nyumba zinazo elea juu ya maji yani wewe wa Shamba uwe wa mjini. Aliye zaliwa pwani leo hii ni mshamba huyu kweli Rwegoshora.

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa na kisugu wanaiharibu Simba sana sio mda wanasimba mtatambua hawa ni njaa tu wanajali kushiba basi hawanauchungu wowote na Simba akina mzaramo ndo wenye uchungu na simba

    • @allyemmanuel7702
      @allyemmanuel7702 หลายเดือนก่อน +1

      Wanatoa elimu

    • @user-xq8pq2ey6t
      @user-xq8pq2ey6t หลายเดือนก่อน +1

      Hiyo ni darasa tosha Kwa wapumbavu kama manara na Ali kamwe kawadanganya et yanga day tutamtambulisha Rasta Toka ulaya Kiko wapi mnatakiwa mtafakari msiwe wapumbavu

    • @khaleedmadaiz3063
      @khaleedmadaiz3063 หลายเดือนก่อน

      Sisi simba tuna enjoy

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 หลายเดือนก่อน

    Kwani Ahamed Ally anaiongelea Yanga yeye nae Yanga? Haya yupo Simba kwahiyo!!! Pumbavu wewe

    • @Khalidniya380
      @Khalidniya380 หลายเดือนก่อน

      Shida sio kuongelea Yanga au Simba shida ni mtu kutumia mda mkubwa akiongelea timu pinzani kana kwamba huna mengine ya kuongelea ya timu yako

  • @user-zj3ne7oy8h
    @user-zj3ne7oy8h 11 วันที่ผ่านมา

    kweli hata mimi nakubali, manara ni simba. lakini wewe kingereza huwezi, just read the comment which I am going to write for you you have to go some where special to learn English because your pronunciation is not good, so me as young fan welcome i may teach you good English please take this opportunity.

  • @clementkyemi5352
    @clementkyemi5352 24 วันที่ผ่านมา

    Anaongea ukweli lakini wapumbavu hawaelewi !