IBADA YA ISHARA NA MIUJIZA NA NABII WA MUNGU JAMES NYAKIA 25-08-2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Prophet James Nyakia - SOJA MEGA ONE CHURCH
    Nabii Dkt. James Nyakia ni Nabii ambaye Mungu amemuwekea nguvu ya kuona jambo lolote ambalo binadamu amefanyiwa katika maisha yake, nani aliyefanya, lini alifanya, na kwa nini alifanya.
    Pia, Mungu ameweka nguvu katika viganja vya mikono yake ambapo kupitia nguvu za Roho Mtakatifu, viganja vya mikono yake hugeuka na kuwa kioo au kompyuta na kumuwezesha kuona ugonjwa wowote katika mwili wa binadamu, uwe katika figo, ini, tumbo, au kichwa na Roho Mtakatifu hutoa suluhisho

ความคิดเห็น • 1

  • @Zenaida-nr7lq
    @Zenaida-nr7lq 17 วันที่ผ่านมา

    My Dady Mungu azidi kukupigania baba