maneno ya mwisho ya Hayati mwansasu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @Marylugonda
    @Marylugonda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni pastor ambaye siweziii kumsahauu nampenda sana tangu udogo wangu nabarikiwaaaa sanaaaa

  • @StaphordMwambalange
    @StaphordMwambalange 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu akutunze uko uliko

  • @SamwelMwilwa
    @SamwelMwilwa 3 หลายเดือนก่อน

    Baba yangu wa kiroho najua upo salama ktk kiti Cha enzi kwa Baba 💯

  • @rehemamshiko6753
    @rehemamshiko6753 ปีที่แล้ว +2

    Maneno Yako yanaishi, Asante MUNGU kwaajiri ya Mtumishi wako,😭😭😭

  • @aginessrobert3852
    @aginessrobert3852 ปีที่แล้ว +3

    Nitaskiliza nyimbo zako mpaka naingia shimoni mpendwa

  • @nivaledsimkwai6493
    @nivaledsimkwai6493 2 ปีที่แล้ว +3

    Mr mwansasu roho yangu inaumia sana kukupoteza unyenyekev wako na ujasiri wako KTK nenola MUNGU ambalo hakika umeimaliza kazi

  • @tinasinyirenda
    @tinasinyirenda 8 หลายเดือนก่อน

    R I P ER Mwansansu si amini kama haupo tena duniani I remember your ministry the time when I was in Da es salaam mahubili yako mbaka leo hii yako kwenye kinya changu

  • @Esthernduku2546
    @Esthernduku2546 2 ปีที่แล้ว +3

    Babangu wa kiroho sitawai kukusahau.....ulibadirisha kwa upako wa baba yetu aliye mbinguni my destiny

  • @stephanozakayo7199
    @stephanozakayo7199 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki sana kwa kuenzi kazi za baba

  • @neemakasambala
    @neemakasambala 7 หลายเดือนก่อน

    Mambo yote yatapira lakini Neno la Mungu litasimama unaishi kwa neno la Mungu 😢😢

  • @Esthernduku2546
    @Esthernduku2546 2 ปีที่แล้ว +2

    Mary mutua frm kenya

  • @vumiliamwakatobe5916
    @vumiliamwakatobe5916 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awe nae pale alipo

  • @andersonmwenda6390
    @andersonmwenda6390 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakika dunia mapito"Naumia sana nikimuona huyu bishop,kanilea sana toka 2010 mpaka 2015" hakika alinilea ktk malezi ya kiroho hata nikauona utukufu wa Mungu ktk maisha niishiyo "alinilea akiwa ndani ya river gospel center Riverside ubungo" Mungu amtunze ktk makazi yake

  • @jeniphersamson6852
    @jeniphersamson6852 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuu tulikapenda sanaaaa

  • @mamakendrick7538
    @mamakendrick7538 ปีที่แล้ว +1

    😭aah mtumishi wa Mungu tuseme nini juu ya mambo haya?

  • @praiseludutu4053
    @praiseludutu4053 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana

  • @georgebaby8393
    @georgebaby8393 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubslik

  • @rehemamwason9149
    @rehemamwason9149 2 ปีที่แล้ว +2

    Tutaonana tena mpendwa wetu

  • @nickolausmbelengo5251
    @nickolausmbelengo5251 2 ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa mtumishi

  • @directormwangomile4274
    @directormwangomile4274 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @mourinekipenzi5391
    @mourinekipenzi5391 2 ปีที่แล้ว +1

    Ooooh Yes ni wakati tu

  • @SamwelMwilwa
    @SamwelMwilwa 3 หลายเดือนก่อน

    Baba injili yako inafanya kz ktk ulimwengu wa roho wewe ilikuwa commando wa injili ya kweli

  • @georgebaby8393
    @georgebaby8393 2 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa na nyie mbagsls