MCHAMBUZI DOMINICK SALAMBA AFUNGUKA KWA UCHUNGU, KIBABAGE AFUKUZWE YANGA ANAWATIA HASARA TU........

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 107

  • @bahatimtuluma3798
    @bahatimtuluma3798 6 วันที่ผ่านมา +4

    Kibabage hana levo ya kucheza yanga10000% anapanda hasaidii kitu, na harudi

  • @chuchumeta8374
    @chuchumeta8374 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kibabage, Nkane, Faridu,kibwana waondolewe,hivi viongozi.lete wazawa wengine

  • @EmmanuelJohnMussa
    @EmmanuelJohnMussa 8 วันที่ผ่านมา +3

    Dominick Salamba ni mchambuzi mwenye viwangu vya juu sana mpira hana ujuwa sana.👍👏💚

  • @winniemyamba1630
    @winniemyamba1630 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli kabisa Yule Dogo simwelewagi kabisa

  • @RobertKajege
    @RobertKajege 7 วันที่ผ่านมา +4

    Yaaani salamba uko wazi kabisa hunaga mbambamba nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi kiufupi kibabage Hana sifa ya kucheza yanga anazidiwa hata na David Bryson

  • @wilsongeorge1353
    @wilsongeorge1353 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kibabage aondoke yanga hafai kucheza hajui haeleweki kabsa

  • @JamesSosthenes-y1z
    @JamesSosthenes-y1z 7 วันที่ผ่านมา +2

    Bravo brother chukua maua yako🎉

  • @leonardleon998
    @leonardleon998 7 วันที่ผ่านมา +2

    Kibabage miyeyusho sana

  • @alianxhilaj3259
    @alianxhilaj3259 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kibabage n mchezaj mzuri ila nadhani hana quality ya kuchezea yanga .. maana always back pass ,,pia hana ufanisi wakat anapga pass ,,cross zake mbovu ... inshort hana output kabsa kweny mech

  • @SuleimanAlmas-n4b
    @SuleimanAlmas-n4b 8 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa kweli interview imenyooka

  • @exitingmomentsmovie2815
    @exitingmomentsmovie2815 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kibabage sio mchezaji wa kucheza yanga na umeongea ukweli bro

  • @HassanOmar-u1x
    @HassanOmar-u1x 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli kabisa dominic salamba

  • @selemanisabihi5994
    @selemanisabihi5994 6 วันที่ผ่านมา +1

    Uyo mtoto mshilikina mwaka ajana romalisa kila mechi kubwa amalizi leo boka atoboi kwann yeye2 uyo mtoto viongozi wamtazame

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 8 วันที่ผ่านมา +3

    Kibabage Yupo vizuri . Labda wamtoe Dube

    • @FirdausyAbubakary-bl2wo
      @FirdausyAbubakary-bl2wo 7 วันที่ผ่านมา +1

      Kibabage hana kosa jmani wamiache bebi wangu wanaomponda woote kenge tuu

  • @HassaniUlenge-j5j
    @HassaniUlenge-j5j 6 วันที่ผ่านมา

    To be honestly kibabage ana udhi Sana hajawahi kutengeneza nafasi nzuri za utoaji pasi ikafika in right position

  • @shabanisaid-vl6wf
    @shabanisaid-vl6wf 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kikubwa ajinoe vizuri tu asfukuzwe apewe muda nafas yake wapewe kina boka na faridi Musa mchezaj kiraka

  • @salumchoma8731
    @salumchoma8731 7 วันที่ผ่านมา +1

    Naunga mkono kibabage anaboa hana level ya kuchezea yanga. Aachwe ditisha dogo

  • @williamkapama8744
    @williamkapama8744 5 วันที่ผ่านมา

    Kibabage alipo.sajiriwa Yanga alijiona star akabweteka, hafai Yanga msaada hana.

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 7 วันที่ผ่านมา

    Kibabage mzuri sana atakifunza kazi yake sio kufunga

  • @RizzikMsingiri
    @RizzikMsingiri 3 วันที่ผ่านมา

    Kichwa kibovu hiki kilimaliza maneno mwanzo saizi analia tuliaaaa

  • @ambassador1067
    @ambassador1067 3 วันที่ผ่านมา

    Kumeanza kuchangamka 😂😂😂😂,Huyu jamaa alikuwa akituongelea vby sana simba, leo anakula matapishi yake.Hakuwa na + kwa mnyama.

  • @joshualusato2099
    @joshualusato2099 วันที่ผ่านมา

    Kibabage ndie aliyeokoa goli LA kwanza ambalo Yanga wangefungwa

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 8 วันที่ผ่านมา +7

    Hata mm cmpendi huyu dogo kwanza mshirikina analogue boka wakati anachocheza hakieleweki hakabi, hafungi na haassist

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂Yani hanaga akili ya mpira kbsa

    • @IssaTamba-qh1gi
      @IssaTamba-qh1gi 7 วันที่ผ่านมา

      Mvuta shisha

    • @lewismpangala927
      @lewismpangala927 7 วันที่ผ่านมา

      Acha bangi amroge vipi

    • @alexchiwenda9540
      @alexchiwenda9540 6 วันที่ผ่านมา

      Acha kumvunja moyo kijana. Tuko vitani na wewe unatukana askari wako, wapi na wapi. Hbr za uchawi wewe unazijuaje, au wewe ndo unayempa ndumba ?

    • @hamadramadhan8422
      @hamadramadhan8422 วันที่ผ่านมา

      Wewe nifala boka kaumia kwani wewe ukiumwa mbo6unaenda hospital siungeenda kwa mganga mbona unaenda hospital 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kibabage bado umri unamruhusu kujirekebisha. Acheni waendelee kujifunza. Hao ndio tunawategemea kwenye timu ya Taifa 2027 kombe la mataifa ya Afrika.

    • @chuchumeta8374
      @chuchumeta8374 2 วันที่ผ่านมา

      Ndio maana tunaesema aondolewe akajifunze JKT,kmc nk.hapo cream tu

  • @UamuziJames
    @UamuziJames 2 วันที่ผ่านมา

    Nikweli kibabage Hana ubora kuwa yanga

  • @mchallamchalla5557
    @mchallamchalla5557 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa hafai kuchezea yanga Hana kiwango cha kuchezea yanga kwann achezeshwe

  • @maftahhassan1861
    @maftahhassan1861 7 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa salamba atoke tu anazingua

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 7 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa kibabage anabidhaa ndogo sanaa kwa yanga hii yenye malengo makubwa kibabage anatufelisha bado hajakuwa kabisaa kimpira

  • @hamidumpiga6283
    @hamidumpiga6283 2 วันที่ผ่านมา

    Amna mchezaji apo mpumbuvu tu ata kwa kibwana na farid anasubir

  • @jamallnyello5743
    @jamallnyello5743 8 วันที่ผ่านมา

    Yani kibabage bado sana yani sana, tena sana, kwakweli kwa malengo ya yanga asee bado sana, afu beki wakushoto yanga, tafuteni mrefu kidogo Wandani hapa mbona niwengi sanatu

  • @AntonyMbalamwezi-ld6tx
    @AntonyMbalamwezi-ld6tx 4 วันที่ผ่านมา

    Akajifunze mtibwa

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o วันที่ผ่านมา

    Yanga timu kubwa kwa kombe la Toyoya au..!? Acheni kuzipa vyeo vikubwa timu ya Simba na Yanga wasivyostahili😂

  • @NaahMakwava
    @NaahMakwava 5 วันที่ผ่านมา

    Kibabage hatupishe

  • @michaeldelous5581
    @michaeldelous5581 2 วันที่ผ่านมา

    Sijawahi kumwelewa huyo dogo

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 8 วันที่ผ่านมา +1

    Afukuzwe aende wapi watu jamani wamuhimarishe tu mbona anakosea vitu tu vidogo uuu tanzania ndo hiyi

  • @HappyBeach-fs1ow
    @HappyBeach-fs1ow 6 วันที่ผ่านมา

    Shida kibabage akifika mbele Cross zke ni zile zile Ana ubunifu na ndio maana watu wana brock pia snasindikiza magori ajui kukaba

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 8 วันที่ผ่านมา

    Kweli kibabage anapoteza nafasi nyingi za nagoli! Salamba uko sahihi!

    • @mussastephano4938
      @mussastephano4938 8 วันที่ผ่านมา

      issue sio kukosa goli, delays nyingi, uwezo mdogo ktk mpira wa kisasa. Max anaweza kutuokoa sio kibabage.

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 วันที่ผ่านมา

    Yanga nzma ni mbovu tu wazee kibao Leo mnamlaumu kibabage bado hamjasema na mazembe anawasubir kwa hAmu jumamos kpgo kngne,

  • @erickmasumbuko3841
    @erickmasumbuko3841 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli hakifchiki atoketu

  • @mussastephano4938
    @mussastephano4938 8 วันที่ผ่านมา

    Kama yanga wanata ushindi mechi 3 za Mc Algierss, Tp Mazembe na Tp Mazembe. wampumzishe KIUMBE KIBABAGE KWANZA KIMATAIFA, pembeni afadhali acheze Wing back yoyote mwenye utimamu wa mwili(Nzegeli, Farid hata shekhan).

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mohammedmohamed9969
    @mohammedmohamed9969 3 วันที่ผ่านมา

    Katika siku nimefurahi kusikia ni kibabage afukuzwe simpendi sana huyo dogo sijui kwann maan naona sio level ya yanga kabisa

  • @elikananzibanka4186
    @elikananzibanka4186 7 วันที่ผ่านมา

    Hapana! kibwana sio wa kiwango Cha Yanga!

  • @AdamHusein-t7n
    @AdamHusein-t7n 8 วันที่ผ่านมา

    Kibabage hajui chochote anachokitoa kwenye team...out of position akienda mbele akipga kros haifiki...maamuzi yote kwenye dkk 90 ni ya hovyo kabsa ...sjui Kwa nn Yuko yanga ni kwamba hajui mpaka anakera ...

  • @JonasAthanas-m5n
    @JonasAthanas-m5n 7 วันที่ผ่านมา

    Timu yote kwa jumla hivi sasa inayumba msimuonee kibabage tazama forward wanavyokosa magoli hata mabeki wanafanya makosa mengi maana tulishambulia wanaenda wote na kuacha mianya mingi na tusipojirekebisha waarabu watatu funga nyingi maana wapo makini kuona madhaifu na kuyatumia

  • @dlamstz623
    @dlamstz623 2 วันที่ผ่านมา

    Hajui kushambulia hajui kukaba yaan kiufup very poor

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kibabage ni mchezaji mzuri hakuna mchezaji asiye na madhaifu acheni.

    • @alianxhilaj3259
      @alianxhilaj3259 7 วันที่ผ่านมา

      Madhaif gan Yule anazngua Sanaa bac tu ila kibabage Hana ubora huo ..ata Pasi zake mbovu ..tu Hana jambo

    • @bahatimtuluma3798
      @bahatimtuluma3798 6 วันที่ผ่านมา

      Kibabage hawez

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 7 วันที่ผ่านมา

    Nakubaliana nawe SALAMBA,huyo dogo KIBABAGE," akili yake ya mpira ni ndogo sana " namna anavyofanya maamuzi uwanjani,mmh mara nyingi huwezi kumwelewa.

  • @KayagwaElisha
    @KayagwaElisha 8 วันที่ผ่านมา

    Hata mm nakuunga mkono. Kibabage, azizi Ki, dube, Baleke, kibwana na Nkane waondoke hawafai kuichezea Yanga kwa sasa

    • @FilbertBanka
      @FilbertBanka 7 วันที่ผ่านมา

      Baleke ninyi yanga ndo mmemshusha kiwango maana hapewi nafasi ya kucheza kama anapewa dube na azizi ki ,hebu apewe dakika 45 japo mechi 4 ndipo tumseme

    • @omarisigera7090
      @omarisigera7090 7 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa. Mie sioni sababu. Labda hafanyi vizuri mazoezini? Lakini baleke hapati nafasi kabisa

  • @richardmasonga9041
    @richardmasonga9041 7 วันที่ผ่านมา

    Kaka katika hili naunga mkono ktk hili Kibabage ni mchezaji ambae hataki kubadirika kabisa! Sijui huwa hajiulizi Kwa Nini pasi zake za mwisho lazima zipotee? Kibabage so far Kwa Sasa alitakiwa awe anaongoza Kwa assist! Akifika mwisho anakuwa mchoyo anapoteza mipira mingi sana Kwa kupiga mashuti yanayoishia kutoka nje wakati wenzake wanaomba mpira wafunge hapigi v pass kabisa huyu mtoto ananiboa sana!

  • @hemedbakari8997
    @hemedbakari8997 7 วันที่ผ่านมา

    Yaani upigaji wake wa krosi ni wa kipumbavu kabisaa hiwezi kupiga krosi za chini kila mala na unaona hazifiki

  • @wilsongeorge1353
    @wilsongeorge1353 3 วันที่ผ่านมา

    Dube kibabage waondoke Tena kama kibabage mjinga kabsa

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa madogo wawili wanaendekeza uchawi sana..Kibabage,kibwana

  • @justinefrank9342
    @justinefrank9342 7 วันที่ผ่านมา

    Haeleweki kijanamdogo mamboyake hajitambui aondoketuu hanasfa kuichezeayanga

  • @JumanneSalumu-w3g
    @JumanneSalumu-w3g 7 วันที่ผ่านมา

    Nakuungamukono kabisa Hana chochote

  • @simonndunguru1629
    @simonndunguru1629 7 วันที่ผ่านมา

    Kibabage hawezi kabisa atoke ni zero

  • @GodfreyNgoti
    @GodfreyNgoti 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kibabage ana kimbia tu aeleweki

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 7 วันที่ผ่านมา

      Anakimbia bila akili

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shafiimohamedi311
    @shafiimohamedi311 8 วันที่ผ่านมา

    Bora umeongea ukweli hat timu ya taifa anatusumbua

  • @JosephatMganzi
    @JosephatMganzi 8 วันที่ผ่านมา

    Umeongea ukwl kbs hasa Kwa kibabage anarukaruka tu

  • @AllyNgubo
    @AllyNgubo 7 วันที่ผ่านมา

    kibabage ajipange analeta utani, yanga timu kubwa inaitaji mchezaji uwem'bunifu

  • @godsonrwegasira4414
    @godsonrwegasira4414 8 วันที่ผ่านมา

    Yanga waende kagera wamnunue luhende ni mzuri mno hata kwa kupiga kona na faulo

  • @albertmalenge-cs6zy
    @albertmalenge-cs6zy 7 วันที่ผ่านมา

    KWELI KABISAA UKWELI MCHUNGU ILA KIBABAGE WAZEE HAPANA

  • @HappyBeach-fs1ow
    @HappyBeach-fs1ow 6 วันที่ผ่านมา

    Yn mm ni yanga lia lia kibabage afai yn ni ttzo anatia hasira sana amna kitu

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 7 วันที่ผ่านมา

    kaka umeongea point sana. kwakweli hata mm kibabage simuelewi kabisa, sijui kwanini wanga wanamg'ang'ania

  • @JonasAthanas-m5n
    @JonasAthanas-m5n 7 วันที่ผ่านมา

    Ninyi ndiyo hamjui acheni kumpa presha mwache acheze mpira huyo.Ruende ana miaka mingapi aje Yanga km anajua zaidi mbona Yanga walimu acha?

  • @HawaJuma-cv7ph
    @HawaJuma-cv7ph 8 วันที่ผ่านมา

    Awe kama msindo

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 8 วันที่ผ่านมา

    AZAM toeni hapo kwenyempira wanchiyetu
    Timu ambayo haina malengo haiwezi kutufikishbali kamanchi

  • @emmanuelminja3128
    @emmanuelminja3128 7 วันที่ผ่านมา

    Kaka umeongea mkweli kabisa koshoto na kiungo mkabaja

  • @godlistenmachange4252
    @godlistenmachange4252 6 วันที่ผ่านมา

    Niulize... Hivi hizi comments za waipendao Yanga zinasomwa na Bench la ufundi la Yanga? Kama jibu ni ndio... Tutegemee mabadiliko ya huyu Kibabage. Hakika makosa ni mengi sana kwenye utendaji wa uchezaji wake.

  • @SAIDILEMA
    @SAIDILEMA 2 วันที่ผ่านมา

    Dogo anazngua sana

  • @ahmedburhan5104
    @ahmedburhan5104 7 วันที่ผ่านมา

    Kiukwel dogo anazinguw yaan anautoto mwing sana.

  • @AbdullahKilindo
    @AbdullahKilindo 2 วันที่ผ่านมา

    Afukuzwe?!!

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 7 วันที่ผ่านมา

    Hujakosea kaka kuwa huru, yule dogo anatuboa hajui kufinish shenzi kabisa

  • @IsihakaMakoa
    @IsihakaMakoa 8 วันที่ผ่านมา

    Aondoke

  • @JumanneSalumu-w3g
    @JumanneSalumu-w3g 7 วันที่ผ่านมา

    umeongea jambo lamana kabisa

  • @MobcomDavid
    @MobcomDavid 2 วันที่ผ่านมา

    Mnayumba dube je

  • @godsonrwegasira4414
    @godsonrwegasira4414 8 วันที่ผ่านมา

    Hiv kwa nn wasmwamin kibwana?

  • @mchallamchalla5557
    @mchallamchalla5557 3 วันที่ผ่านมา

    Kibabage anamroga boka na ndomana acheza sana kibabage na ukizingatia yy hana uwezo

  • @mudywambash6684
    @mudywambash6684 7 วันที่ผ่านมา

    Utachezawwe nambayake?

  • @IsihakaMakoa
    @IsihakaMakoa 8 วันที่ผ่านมา

    Uyu.kibabage.ndo.chazo.cha.yanga.kupoteza.michezo.yake.hajitambui.kabisa

  • @MohamedSaidMojr
    @MohamedSaidMojr 2 วันที่ผ่านมา

    Nakubaliana na wewe kibabage uwezo wake ni kuchezea timu ndogo hana uwezo kabisa kwa yanga hii amekuwa uchochoro mechi na Mc algers alisaidiwa karibu na watu wanne,zengeli,musonda,abuya na mwamnyeto yaani yeye alikuwa anatalii tu uwanjani,kross hawezi kupiga kabisa

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 วันที่ผ่านมา

    Upuuz mtupu uchambuz wakumkatsha tamaa mchezaji Kwan kibabage anacheza mwenyewe ndan ya uwanja?wakat yanga wanashnda KilA sku skuwahi kusikia mkichambua kibabage mbovu

  • @ReginaWilliam-b2f
    @ReginaWilliam-b2f 8 วันที่ผ่านมา

    Dube asepe tu

  • @benardbonephace4896
    @benardbonephace4896 6 วันที่ผ่านมา

    Hata Mimi nimeishasema kibabage anabaha anapofikia kwenye kupiga krosi kwa washambuliaji mpaka unajiuliza huyu kijana shida ni nini mbona kazi anafanya kubwa Ila matokeo ya kazi yake =0

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 3 วันที่ผ่านมา

    Kibabage, Nkane Kibwana Hawa woote waende ni kupotezeana nafasi Kwa wengine

  • @mudywambash6684
    @mudywambash6684 7 วันที่ผ่านมา

    Manyau nyie mtacheza nambayake nyie? Acheni ushabiki kina halandi mechi 6 kachza hajafunga nae ni mbaya mnaongea pumba tupu Hawa niwachezaji wetu inatakiwa muwaunge mkono makolo nyie mnao jificha umu nyau2

  • @CornelNyambwali
    @CornelNyambwali 4 วันที่ผ่านมา

    Nyie ni wahun uchambuz wa Kijinga huo

  • @Allymgalula-sn9lu
    @Allymgalula-sn9lu 6 วันที่ผ่านมา

    kibabage aondoke hana dhamani ya kuchezea yanga jinsi anavocheza afai