Mama rose muhando umenijenga kiroho, kwamaana mwaka 2008 watu walini dharawu, kipindi nilikua kwenye magumu mengi sana. Kupitia wimbo wako wa aliekudharau atakusalimia law eshima. Ilitimizika kabisa, naeshimiwa leo. Alafu leo ulipo hubiri pale kigali, ukagusia kipindi chako chamagumu ulipitia, mtu mungu anaependa mpaka ajaribiwe, nikweli nami nimejaribiwa kupitia magonjwa tafauti. Lakini umenijenga moyo kwakweli nimepona kupitia uhubiri wa enjili hio. Kweli mungu akubariki, NA ULIPWE MARA DUFU.
Nazipenda nyimbo zakorosa nazipendaka zaindi kuziyimba kila kuamka nakulal
Mama rose muhando umenijenga kiroho, kwamaana mwaka 2008 watu walini dharawu, kipindi nilikua kwenye magumu mengi sana. Kupitia wimbo wako wa aliekudharau atakusalimia law eshima. Ilitimizika kabisa, naeshimiwa leo. Alafu leo ulipo hubiri pale kigali, ukagusia kipindi chako chamagumu ulipitia, mtu mungu anaependa mpaka ajaribiwe, nikweli nami nimejaribiwa kupitia magonjwa tafauti. Lakini umenijenga moyo kwakweli nimepona kupitia uhubiri wa enjili hio. Kweli mungu akubariki, NA ULIPWE MARA DUFU.
Kitoko makasi danse neti Fally Ipupa
Best and active singer ever since.
Mungu akuzidishie nguvu na akubariki Kwa kila JAMBO ju ukweli unainua moyo wangu kila ninaposikiza nyimbo zako.
Wow lovely Sana love you mum rozii from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥
😁😀😁😀😂 murefu kapata shida😂
Mungu apewe sifa... Courage kwa kazi 8e CEPAC MONDE
What's the meaning, nice song
Rose muhando napenda nyimbo zako sana
Mungu akubarki saana
Nous sommes contents de voir cet après midi cher tous merci pour le poste
Mum rosy you always bless and makes me stands firm through your songs
May the almighty God 🙏 bless you and your team.
It so amazing dada
Rose Muhando wetu karibu nyumbani dada
Iyi vidéo siyo ya Uvira ndugu. Apa ni Rwanda
th-cam.com/video/GNhGBWLbuYQ/w-d-xo.html
Wewe unakumbuka kabs hiyi niya rwanda
Ninafurai sana kuwona mutume wamungu Rose. Nakupenda sana
Rose may you be blessed ever i have been blessed
Félicitations chers tous
Tuna wapenda saana jamaani
Naubarikiwe mama
Mhhhh barikiwa
CEPAC MONDE asante kwenu
Mimi Nina penda gospel songs Yako mama keep it up from mushili ndola Zambia
Tuko pamoja from nchelenge luapula zambia lake mweru
Yayayaya good come to Uganda entebbe airport our church Jesus araond
I've a great passion to join you
Rose unanibariki kwa energy ya Yesu uliyonayo. Natua mizuho yote Kwa Yesu
Mungu akutangulie
Iyi video niya kigali siyo Uvira
Congratulations, God bless you abundantly sister rose
Wow so nice aki
Just smilling, hallelujah!!!!,God bless u dada Rose
Dance steps always very powerful. May God continue to renew your age
Communauté yangu mungu awatiye nguvu
Banange when are you coming to Ugandan we Miss you
Rose muhendo mon meilleur ami
Roza muhando turakwemera
Mungu apewe sifa
Nyoosha kipenzi chetu kitaeleweka
God bless you 🙏
Mbinguni , ni zaidi haya ... Randevous pâle dada.
Mungu wangu Uvira ina toka tchini kweli
Hatari sana ♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wooooow🙏🙏🙏🙏🙏 napenda kweli 🙏
Weeuuuu be blessed Mama
Nice work
Merci pour la vidéo 💖💖🇨🇩
So nice
*que Dieu te benis mon leader
I appreciate
Mungu alishampa kipawa cha kuimba
Good
Wow😊😊😊😊
Bah ati esperace
Vidéo ni ndogo saana
Dada rose yuko baraka ya kanisa
Not Uvila, she was in Kigali
She never gets old
Subilieni mtamjua munao fulahisha kwamba Ninani
th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html
th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html
th-cam.com/video/d-3kQOSW-NI/w-d-xo.html
Dah nakumbuka sana🔥🔥🔥☝️☝️☝️
8e Cepac monde asante kwenu
Merci mes frères
ok
❤
Atafanya siku ngapi pale Uvira ??
Hii imeenda
...
th-cam.com/video/oR5K8SHKf34/w-d-xo.html
Eloko ya kosakana na yango ya kobina
Roza muhando turakwemera
❤