MWISHO: KESI NZITO YA MAUWAJI - 14/14 SIMULIZI ZA KIPELELEZI (Gerezani EP).

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2022

ความคิดเห็น • 44

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

    Yaan simulizi zako zinatutoa stress wallah,asante sn Felix Mwenda👏👏👏👏

  • @aishaabdallah8558
    @aishaabdallah8558 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Felix mwenda na compani yote ya simulizi hii nzuriii hongera Sana yaomi umepata haki yako kwa haki❤️❤️🌹🌹🙌🙏

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 ปีที่แล้ว

    Ahsanteni Sana watunzi na wasimulizi Mungu awajalie mtengeneze picha kabisa naamini mnaweza Dana hongereni Dana kwA buridani

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 ปีที่แล้ว

    Wow finally fasendi yuko Hai, nilishangaa Sana komando kufa kizembe

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 ปีที่แล้ว +1

    Safy

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 ปีที่แล้ว

    Katam halafu kafup asate sana simlizi mix fellix mweda Mbalikiwe sana

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 ปีที่แล้ว

    Simulizi nzuri sana ,hongera kaka Felix n s.mix family, mwenye haki hukubaliwa tu hata km n nn n wapi

  • @juliarosekaleza860
    @juliarosekaleza860 ปีที่แล้ว

    Napenda story zako Felix hazinaga mambo mengi lkn huwaga tamu hadi raha.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

    Asante sana Felix Mwenda kwa simulizi matata 😍❤️💕

  • @khamisjai1623
    @khamisjai1623 ปีที่แล้ว

    hongera sana felex mwenda

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 ปีที่แล้ว

    Jamn simulizi tamu hii!afu imeisha vzr,yn nikiwa nackiliza nilikua naomba MUNGU Yaumi asiuliwe utazani nilikua namuona ivi!daah santeni kwa simulizi zenu nzr na tamu zinaondoa strec na cku zinasonga!sante msimuliaji Felix mwenda!yn ukicmulia wewe na Anko J iyo cmuliz lazma inoge

  • @vitreenandeth8481
    @vitreenandeth8481 ปีที่แล้ว

    Mwisho wa ubaya ni aibu

  • @bintdoman7752
    @bintdoman7752 ปีที่แล้ว

    Asantee sana Kwa simulizi tuletee muendelezo wa gerezani

  • @ameenamohammed4413
    @ameenamohammed4413 ปีที่แล้ว

    Asante sana yaumi nimwanamke nanusu 🙌

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 ปีที่แล้ว

    Mungu a mcmamie alee watoto wake na amani na cku zote haki ya mtu haizami Bali yaelea yaumi amepata Mali za mumewe

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

    Kamanda Amata🔥🔥

  • @fatmafyhgfg1821
    @fatmafyhgfg1821 ปีที่แล้ว

    Safi kazi nzuriii

  • @janethmagemakwakeliinauma3581
    @janethmagemakwakeliinauma3581 ปีที่แล้ว

    Hatimae tumemaliza asante

  • @maggiesadock
    @maggiesadock ปีที่แล้ว +1

    kaka felix asante kwa burudani nzuri 🥰🥰

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr 10 หลายเดือนก่อน

    Fantastic story 😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥😭😭😭😭😭💃💃💃💃🚁⚔️⚔️⚔️🗡️🪓🪓🪓🤸🤸🤸🤸

  • @princessalmauly1728
    @princessalmauly1728 ปีที่แล้ว +1

    simulizi kesi nzito, meli iliyopotea na treni ya kigoma hazina mfano kwa kweli asanteni kw burudani

    • @patradhaje3314
      @patradhaje3314 ปีที่แล้ว

      Bila kusahau nyuma ya mlango wa adui

  • @atuganilemwakasangam2018
    @atuganilemwakasangam2018 ปีที่แล้ว

    Kumepambazuka mwishoni.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔fasendii tulijuaamekufaaa kumbe hakufaaa umekamilishaa ahadi😊😊😊😊😊

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sanaa Felix 🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 ปีที่แล้ว

    Aisee!! 🙆🏻‍♂️

  • @vitreenandeth8481
    @vitreenandeth8481 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka FM na uongozi wote wa SIMULIZI MIX ❤❤❤

  • @mbarakahmed3892
    @mbarakahmed3892 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa simulizi hii kwakweli inatufunza kuatendea wenzetu mema na sio kuwanyanyasa nakutaka kuwadhulumu shukran zende kwa mtunzi , napili waandaaji wasimulizi mwisho kwa Mr Felix mwenda mungu amzidishie uwezo wakusimulia bila kikwazo asanteni

  • @aminamhina9129
    @aminamhina9129 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @aminah9557
    @aminah9557 ปีที่แล้ว

    hatinaye tumefika tamati leo

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️

  • @ayshahi3715
    @ayshahi3715 ปีที่แล้ว

    Shukran kwenu

  • @mirriamingosi5242
    @mirriamingosi5242 ปีที่แล้ว

    Asante Kwa simlizi nzuri ongera kwa wenye wamesaidia yaomi mungu awabariki sana kwakazi ya kujitolea muhanga kusaidia

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 ปีที่แล้ว

    Bn sikoti ameamua kujitoa uhai tuuu hataki kufia jela🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 ปีที่แล้ว

    Fasend alijicfu ss asharambishwa udongo

  • @reginachangala9907
    @reginachangala9907 ปีที่แล้ว

    Jamani ahsante Sana kaka 🙏🙏🙏🙏

  • @yasintangonyani6304
    @yasintangonyani6304 ปีที่แล้ว

    Shukrani kwako msimulizi...pia heshima iwe kwa simulizi mix

  • @user-gv6sm9uw2d
    @user-gv6sm9uw2d ปีที่แล้ว

    Shukrani sana sehemu ya mwisho

  • @fatumamwadungo4643
    @fatumamwadungo4643 ปีที่แล้ว

    The end👏👏👏

  • @mwajumamany6402
    @mwajumamany6402 ปีที่แล้ว

    Felix Kaka kwani hii simulizi Ina pert 2 au

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 ปีที่แล้ว +1

    Za mwizi zinakaribia unatema uliyonayo rohoni Bwana Matinya simuliz mix asante kwa kutuburudisha na kutufunza mengi Yaomi unakaribia kupata ushindi