Mambo yanazindi kuwaka 🔥,ata inspekta malina akipelekea hawala wake bwana matinya udaku akuna kitu matinya anaeza fanya sababu shinikizo la damu na fukuto la joto ziko juu amepunguzwa majaliwa na madam s baada ya kutekwa kwa yaomi,Hana raha yaomi akiwa huru sababu anajua kitumbua kitaingia mchanga muda wowote
Mambo ni moto🔥🔥🔥🔥Asante Felix Mwenda
Woow! Kama kawaida kibao kinaendelea thanks simulizi mix.... I'm no.1
Moto yakuotea mbali Felix mwenda y are my best
Shukrani sana simulizi mix kwa muendelezo ila tunaomba mutuletee muendelezo wa impindisello,lolitha,kitabu chenye kurasa tatu
Mambo yanazidi kunoga munguu amsaidie yaomi ashinde kesi
Mambo yanaenda kasi sana jaman
Asante sana Kwa muendelezo, tupo pamoja
Asante sana heri sasa naeza lala vizuri lakini kesho mjalibu🙏🙏♥️♥️♥️🇦🇪🇰🇪
Shukrani sana jana sikuisikiliza
Mambo yanazindi kuwaka 🔥,ata inspekta malina akipelekea hawala wake bwana matinya udaku akuna kitu matinya anaeza fanya sababu shinikizo la damu na fukuto la joto ziko juu amepunguzwa majaliwa na madam s baada ya kutekwa kwa yaomi,Hana raha yaomi akiwa huru sababu anajua kitumbua kitaingia mchanga muda wowote
Asate sana simlizi mix fellix mweda
sauti tamu 🥰
Asante Sana kwa muendeelezo
Mambo yazidi kuwa 🔥🔥jmn Gabriel atafanyaje
❤️❤️❤️
🔥🔥🔥
❤️😘😘😘
🎤🎤🎤
Doctor matinya mavi kitambarani,😃😂😂
Sant Kwa muendelez 😘❤️Leo naon amn simuliz😔😔
🙏🙏😁❤️♥️♥️
Sauti ya Leo 🥰🥰🥰
jamn simulizi za kichawi
Bar maids wanashida unapewaaa card na pesa hujui mtu anataka nn kwako wewe kimbelembele tayari umemkaribisha dina😂😂😂😂😂😂😂😂mbuxi atafia buchani