BANDA LA VIDEO | ZUCHU - MWAMBIENI BEHIND THE SCENE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 142

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyo mama kaongea point sana khs taa wangewasha moto wa kuni 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 2 ปีที่แล้ว +12

    HUYU MAMA NI MKALI SANA KWENYE KUGUNDUA UHALISIA.... Kuhusu swala la kiutamaduni nikweli wangeweka VIBATALI BADALA YA TAA HALISI....#TUBADILIKE

  • @halphahussein6619
    @halphahussein6619 2 ปีที่แล้ว +10

    aisee napenda sana Banda la video

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 ปีที่แล้ว +5

    Ubunifu mzuri wa kuchambua video, mpunguze utani kidogo lakini mko sawa kabisa

  • @bahatijoseph4260
    @bahatijoseph4260 2 ปีที่แล้ว +5

    Nakubali mno pamoja na mwamba kachil on this way ♥️🇹🇿👍💞

    • @mukambakazigwa3926
      @mukambakazigwa3926 2 ปีที่แล้ว

      Wow do you like the music 🎶🎵? Nimeme
      Kunali

  • @salupotitvchannel7154
    @salupotitvchannel7154 2 ปีที่แล้ว +5

    Unyama ni mwingi nakubali sana wat G

  • @dwesemizaikesk
    @dwesemizaikesk 2 ปีที่แล้ว +9

    Kwa ubunifu team Banda 💪💪🔥🔥🔥

  • @sefoamimo8557
    @sefoamimo8557 2 ปีที่แล้ว +6

    oya mwamba wasafi chama la wana

  • @rhodamwihasi2054
    @rhodamwihasi2054 2 ปีที่แล้ว +2

    Wasafi mnajua amjawai alibi👍

  • @wizboy9872
    @wizboy9872 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba nakubali kinoma sema mipangilio ya matukio mbele nyuma nyuma kata a2tukuelew

  • @PUKTTAMEDIA
    @PUKTTAMEDIA 2 ปีที่แล้ว +2

    Zuchuuuuuuuu Hiyo Kizungu Hapanaaaa

  • @jamesblackjaguar2084
    @jamesblackjaguar2084 2 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂😂😂😂 Jay Mond Kauwa Kabisa Anataka Number Tena Eeeh 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 2 ปีที่แล้ว +4

    Sema wasafi TV mna micontent hadi sio poa

  • @kampista11
    @kampista11 2 ปีที่แล้ว +1

    Namna banda limeanza Leo nimefurahi sana

  • @fatmarashid3819
    @fatmarashid3819 2 ปีที่แล้ว +1

    wasanii wabongo wengepunguza viengereza vyao vibovu

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwan waingereza mpk wapatiee

  • @deafricanrockstar5277
    @deafricanrockstar5277 2 ปีที่แล้ว +4

    imara gang🌟🌟💥

  • @HassanEmbuka-hc6xe
    @HassanEmbuka-hc6xe ปีที่แล้ว

    Young Embuka killer barkhesa naona saiv umeleta kaflat skilen afu kachogo umetupa bro

  • @africatanzaniatours
    @africatanzaniatours 2 ปีที่แล้ว +6

    Ahahaha mwamba kachilo unanifurahisha Sana

  • @msusasandali5833
    @msusasandali5833 2 ปีที่แล้ว +6

    Banda la video👍👍👍👍

  • @vincentmboya
    @vincentmboya 2 ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂😂jay mondy

  • @chocllattemediamovies255
    @chocllattemediamovies255 2 ปีที่แล้ว +4

    Wasaafiiii

  • @fidelekahezi5175
    @fidelekahezi5175 2 ปีที่แล้ว +6

    Mama ameuwa sana huyu💥💥💥💥

  • @dafrosakayanda1328
    @dafrosakayanda1328 2 ปีที่แล้ว

    April 9 au 10 mzee

  • @midotvupdates3479
    @midotvupdates3479 2 ปีที่แล้ว +4

    Imara sanaaaaa💖✍️

  • @hellenpaul9671
    @hellenpaul9671 2 ปีที่แล้ว +5

    Angle zuchu 😁😁😁

  • @mapozz1978
    @mapozz1978 2 ปีที่แล้ว

    Inaonekan una hasira broo

  • @karisacharo2074
    @karisacharo2074 2 ปีที่แล้ว

    Huyo mama Ako sawa Yani Kila kitu kiwe kitamaduni

  • @Marzzzzzz20
    @Marzzzzzz20 2 ปีที่แล้ว +9

    Zuchu ana lafudhi nzuri akiongea

  • @manyaraboy
    @manyaraboy 2 ปีที่แล้ว +5

    😁😁😁😁😁Hahahaha wasafi jay mond Uswege

  • @youngswitcher2629
    @youngswitcher2629 2 ปีที่แล้ว

    Nkbl gang

  • @lupilyaboytz4147
    @lupilyaboytz4147 2 ปีที่แล้ว +2

    Imara sana mwamba kachili

  • @abdulraufmohammedsalum6806
    @abdulraufmohammedsalum6806 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtu imara🙌

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 2 ปีที่แล้ว +3

    THANKS... #BANDA LA VIDEO.....#DARASA+TOSHA.....

  • @brothermams28
    @brothermams28 2 ปีที่แล้ว

    @mwmabakachiri show nzuri saliuuut nipo Nrb

  • @JUNGUKUUTHEATRE.
    @JUNGUKUUTHEATRE. 2 ปีที่แล้ว

    Huyu host ako tu sawa. Energy 🔥🔥

  • @lugeworkshop6174
    @lugeworkshop6174 2 ปีที่แล้ว

    Sio taa tu hata hizo chandalua wangeweka mikeka mianzi mianzi yaan

  • @theresiaeugen8958
    @theresiaeugen8958 2 ปีที่แล้ว

    Banda.ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @msusasandali5833
    @msusasandali5833 2 ปีที่แล้ว +10

    Mwamba kachill on this one 👑👑

  • @ronaldomessi978
    @ronaldomessi978 2 ปีที่แล้ว +4

    Mnao comment kuhusu kingereza kwani hamuoni kama walikuwa wanataniana khaaa

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 2 ปีที่แล้ว

      Yaani hata nashangaa. Walikuwa hawako serious.kingereza cha utani

  • @josephombaka
    @josephombaka 2 ปีที่แล้ว +4

    Hahaaa nimeisikia hiyo tunasajili laini inakua 4G pamoja xn Uswege japo hiyo kz inalipa kinoma acha tu watuone maboya tunapiga life letu na tunamiliki vyetu km kawa yn

  • @allyazizi3570
    @allyazizi3570 2 ปีที่แล้ว

    Kipindi kilichangamka yan unyama mwingi sana

  • @PUKTTAMEDIA
    @PUKTTAMEDIA 2 ปีที่แล้ว

    Jamani Nishikeni Mkonoo

  • @sadiabdallah2577
    @sadiabdallah2577 2 ปีที่แล้ว +2

    Sio Kwa kingereza icho but sio serous sana

    • @manyaraboy
      @manyaraboy 2 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁😁

  • @ibnyusuf8633
    @ibnyusuf8633 2 ปีที่แล้ว

    Kizungu hamjui nyinyi washamba

  • @KAGEEPRECORDS
    @KAGEEPRECORDS 2 ปีที่แล้ว +2

    Jay Mond is very funny 😂😂😂😂

  • @allymangogasya8068
    @allymangogasya8068 2 ปีที่แล้ว

    Jaymondi ♥️♥️♥️♥️

  • @dianamchami9295
    @dianamchami9295 2 ปีที่แล้ว +3

    I Dontiiiii wantiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @dianamchami9295
    @dianamchami9295 2 ปีที่แล้ว +4

    Zuchuuuuuu lukuuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Lapluga_tz
    @Lapluga_tz 2 ปีที่แล้ว +6

    Simbaaaa

  • @dizzobostuwa2489
    @dizzobostuwa2489 2 ปีที่แล้ว

    Noma

  • @alatudinyahya6095
    @alatudinyahya6095 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmmhhh!!! 😁😁😁 Hivo vizungu bhn

  • @leendathegreat6650
    @leendathegreat6650 2 ปีที่แล้ว

    Hio kizungu no no no😂😂😂 ety zuchu lukuu

  • @ashayusuf8381
    @ashayusuf8381 2 ปีที่แล้ว +4

    Yeeeee mwabiyeni❤❤❤

  • @atisley
    @atisley 2 ปีที่แล้ว

    Huyu x anajua kushangaa

  • @mbwangatv3355
    @mbwangatv3355 2 ปีที่แล้ว

    Unyama mazee

  • @emmanuelchejo7154
    @emmanuelchejo7154 2 ปีที่แล้ว

    Kaka unajua Sana'a

  • @rosekihanga2615
    @rosekihanga2615 2 ปีที่แล้ว +4

    Zuchu luku😂😂😂😂

  • @nasykei5966
    @nasykei5966 2 ปีที่แล้ว

    Mmetisha Banda 😂😂😂😂jaymond

  • @sipriandonko3848
    @sipriandonko3848 2 ปีที่แล้ว

    jay mondi fala sana😅😅😅😅

  • @nasykei5966
    @nasykei5966 2 ปีที่แล้ว

    Dah nimecheka😂😂😂 sanaaa🤣🤣😭😭

  • @doricedaniel3563
    @doricedaniel3563 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nampendag sana jaymond...

  • @fahadboy8685
    @fahadboy8685 2 ปีที่แล้ว

    Gioni ya leo

  • @mismona4294
    @mismona4294 2 ปีที่แล้ว

    Hicho kingereza

  • @nasibundondole9592
    @nasibundondole9592 2 ปีที่แล้ว

    Yap kimanyema.

  • @abedizotz208
    @abedizotz208 2 ปีที่แล้ว

    mwamba kachilo on this 1 nakubal

  • @genesalluar575
    @genesalluar575 2 ปีที่แล้ว +2

    That English though😂😂

  • @bejaskits5402
    @bejaskits5402 2 ปีที่แล้ว

    NAKWAMBIA MTOE UYO MAMA

  • @rosekalonda7066
    @rosekalonda7066 2 ปีที่แล้ว +4

    ❣️

  • @vj8313
    @vj8313 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣 we mtangazaji umenivunja mbav huyo uliyemwambia amekaa km mchawi 😆 eti uzoefu au umejikuta tu umekaa hiv dah hahaa

  • @goodluckmpumbi1532
    @goodluckmpumbi1532 2 ปีที่แล้ว

    Hatari kabisa

  • @ibrahimkhatibu4561
    @ibrahimkhatibu4561 2 ปีที่แล้ว +4

    🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥

  • @clementrobert7332
    @clementrobert7332 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥

  • @abrahamabdala1207
    @abrahamabdala1207 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuleteee gid tuichambue bendera

  • @salimmwabundu958
    @salimmwabundu958 2 ปีที่แล้ว

    Unyama n mwingi

  • @frankkinabo2406
    @frankkinabo2406 2 ปีที่แล้ว

    mnaongea sanh achieni tuone yaliotokea sio mazungumzo mengii mnatupotezea muda wetu

  • @tatariabuu7717
    @tatariabuu7717 2 ปีที่แล้ว

    ayo makofi hayaingii mwilini

  • @zakiaomar5217
    @zakiaomar5217 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣 zuchu hata tukimuona huyo baby jasho la nywele lishatutoka

  • @philbertemmanuel7630
    @philbertemmanuel7630 2 ปีที่แล้ว +1

    Nani amesikia English ya hanscana

  • @YG-mb2hf
    @YG-mb2hf 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo kizungu zuchu look.. I did

  • @bintykigan9285
    @bintykigan9285 2 ปีที่แล้ว +3

    💕💕💕💕💥

  • @philbertemmanuel7630
    @philbertemmanuel7630 2 ปีที่แล้ว

    Mwamba kachili on this one

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 2 ปีที่แล้ว

    sasa video
    za

  • @geofferasto7858
    @geofferasto7858 2 ปีที่แล้ว +1

    sema mwamba unazingu why J5 ingine kipindi hakipo

  • @TIZZOBOYOFFICIAL
    @TIZZOBOYOFFICIAL 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kwa lift hanscania hajatupiga mlango ulikua umefunguliwa ndo recording ifanyike

  • @saidabdulkadirmjahid8255
    @saidabdulkadirmjahid8255 2 ปีที่แล้ว +1

    Saa kumi inatafta saa kumi na moja Ni Nani😂😂😂😂

  • @thhewayfay5872
    @thhewayfay5872 2 ปีที่แล้ว +1

    uswege mbona sija muona kwenhe banda la vídeo

  • @maherimasase3214
    @maherimasase3214 2 ปีที่แล้ว

    Hili pindi balaa # imara gang

  • @ignasbukombe5903
    @ignasbukombe5903 2 ปีที่แล้ว

    Huyo jaymond me simkubaligi

  • @youngbaba4409
    @youngbaba4409 2 ปีที่แล้ว

    Na kubali sN

  • @directorghost501
    @directorghost501 2 ปีที่แล้ว

    Jaymond ameua

  • @yasyntapaul9242
    @yasyntapaul9242 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaan😂😂😂

  • @nurwelly2523
    @nurwelly2523 2 ปีที่แล้ว

    Kuwekwe kuni wapi na mineti yote hayo

  • @djosbmasamaki1917
    @djosbmasamaki1917 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakubal

  • @thetrailerzone2791
    @thetrailerzone2791 2 ปีที่แล้ว

    uswege fara sana😂😂😂😂😂

  • @djmwelevu5373
    @djmwelevu5373 2 ปีที่แล้ว

    Iko poa

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Jmond 😂😂😂

  • @alfeyokumwenda2685
    @alfeyokumwenda2685 2 ปีที่แล้ว

    jaymond unazingua

  • @iddymngoya2395
    @iddymngoya2395 2 ปีที่แล้ว

    Ogg

  • @ummyhasheem2245
    @ummyhasheem2245 2 ปีที่แล้ว +1

    English ya zuchu apana

  • @elinjex9899
    @elinjex9899 2 ปีที่แล้ว

    Wamejitahidi lkn