🚨Uchambuzi EFM,Mpya Ushindi wa Simba,Jkt walizidiwa kila kitu,Simba 1-0 Jkt Tanzania,sakata la mutal

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Minafikiri muendelee kuisifia yanga simba muiache

  • @JeniAlex-e4v
    @JeniAlex-e4v 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amjui uchambuz😊

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    aliikamia.sana.simba.mechi.zingine.mbona.alikuwa.anafungwa.

  • @HakikaZuberi
    @HakikaZuberi 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maji na mafuta vimeanza kujtenga, awesu vs Mr MVP

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtale ni jana tu kacheza katikati lakini siku zote alichezeshwa pembeni na hakuonesha ubora aliosajiriwa nao. Nadhani ameshindwa bora aondoke.

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata yanga penati wanazo nyingi ila hazionekani kwasababu walikuwa hawazifungi. Zilizopotea hazikumbukwi.

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mutale.hana.kitu.kapewa.muda.sana.anashindwa.kuendana.na.kasi.

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa wachambuzi wana ajendambaya nasimba muwasikilize kwatahadhari

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni.kweli.palikuwa.nabeki.pia.mpira.aliunawa

  • @franccoz94
    @franccoz94 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Achaa uongo penati n 5 sio saba,saba na zipi

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni.kweli.awesu.anapenda.kuchezea.mpira.na.huyo.chasambi.alikuwa.hana.kitu..angemuache.mpanzu.aendelee.mpanzu.ni.bora.

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni.kweli.maneno.yako.mpanzu.angecheza.na.ahua

  • @ahmadothman9899
    @ahmadothman9899 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtaongea sana

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    wacha kum pangia kocha cha kufanya wewe taa luma yako ya uwa ndishi ya mpila mwachie kocha sasa mume amia kwa kocha musha toka kwa jani chazi paka muta imba wimbo mmoja ubaya ubwela

  • @HarunakiongoziMohamed
    @HarunakiongoziMohamed 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ninyi machizi hakuna wachambuzi

  • @RwekazaBatamuzi
    @RwekazaBatamuzi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna baadhi ya wachambuzi wa soka wanatamani waone Simba ikifungwa kwa hiyo wanalazimika kutafuta madhaifu ya Timu badala ya kuzungumzia hali halisi, Mnachambua baada ya kuona mechi wakati Mwalimu anapanga wachezaji kabla mpira haujachezwa, ugumu au wepesi unategemea jinsi wapinzani wanavyokuwa wanejipanga.

    • @ramadhanichubi9139
      @ramadhanichubi9139 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Huyo anayehoji hana lojiki kwenye maswali yake yamejaa ushabiki.

  • @hendricksjohn6201
    @hendricksjohn6201 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa watangazi sifuri kabisa

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muamuzi.alikuwa.sahihi.penalt

  • @MuhammedAbdallah-h2t
    @MuhammedAbdallah-h2t 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    UTAIKABAJE SIMBA HII

    • @iddiramadhan
      @iddiramadhan 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      This is 🦁💪

    • @hindusullu3900
      @hindusullu3900 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nashangaaaaa😂😂😂😂

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @Simonleonad
    @Simonleonad 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndiomaana nyie mnabak kuwa wachambuzi kocha anabaki kuwa kocha

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo.hakuwa.na.uwezo.na.kucheza.alipanga.wengi.nyuma.walikuwa.wanzuia.sana.nyuma

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hata Mimi nashindwa sana kumuelewa kocha jinsi anavyofanya Sabu tushukuru tu tunapata matokeo lakini kwa ujinga huu kuna siku atatafuta kwa kutokea.

    • @godfreysimbeye5767
      @godfreysimbeye5767 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hata mimi kuna wakati namshangaa Fadlu, unaanza na Aweso unamuacha Ahoua wakati unajua kwamba JKT ni timu yenye nidhamu ya ulinzi. Hao video analyst wa Simba walitakiwa kulijua hilo.

    • @SilvesterApolo
      @SilvesterApolo 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂unamtoa mpanzu unamuingiza budo kweli ni utani sasa huuu😅😅

    • @jumbekasim2860
      @jumbekasim2860 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nikusaidie ndugu yangu Budo anachoonyesha katika mazoez ni kikubwa ila kuna namna anashindwa kuonyesha katika Mechi@@godfreysimbeye5767

    • @MzeeBabu-s6y
      @MzeeBabu-s6y 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      siku gani iyoo mwezetu uliyo iyona au juwi mpila wewe uwo ndiyo mpila Mzee msifu na mpinzani wako kaja kwa eshima mzee

  • @geofreygodfrey6402
    @geofreygodfrey6402 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo twalibu ni mchambuzi wa taarabu au maana anaongea vitu vya hovyo