BALOZI WA MAREKANI MICHAEL BATTLE:TUNAJIVUNIA KUISAPOTI TANZANIA NA HATUTARUDISHWA NYUMA NA MTU..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
- DAR ES SALAAM: Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle amesisitiza kuwa Nchi yake itaendelea kushirikiana na Tanzania katika masuala mbalimbali na kusisitiza haitarudi nyuma katika uwazi wa masuala ya Demokrasia na Haki za Binadamu
Amesema hayo kwenye Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kinachowakutanisha Wadau kujadili na kufanya tathmini ya hali ya Demokrasia nchini, leo Septemba 19, 2024#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►TH-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
The speech is remarkable and fair.We have an obligation to meet over our external support cooperating partners.God bless the generosity of our international cooperating partners.7.5billion USD grants over 20 year period is no small effort.Let us not squash it to the drain.
Mbowe unajiangaisha kea wamalekani SS hatuwataki Ni magaidi hoo wanauwa watu we ndio marafiki zako Basi na we Ni gaidi,
Wanajivunia kwa kuuwa watu
Hao ndio wanaotupa misaada lazima tuwasikilize,mbona yule muandishi aliekuja kumuhoji samia hamsemi? Kwani mambo ya royo tua yalifanyikia wapi adi tukalalamika yametua ghalama kubwa?watalii wenu siondio hao? Kwanini msiwasikilize😂
Urus kwani marekani mbwa ni wewe
HAWANA RAFIKI WALA ADUI HAWO 😢😢😢😢LAKINI SACCOOS WANASEMA WASHIRIKA WETU 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
USICHOKIJUA,MAREKANI NDIYO INAYOKUPA MADAWA YA UKIMWI BURE,ELIMU BURE,AFYA,MAJI,KILIMO, UWEMAKINI,HILI TAIFA NDIO DUNIA
@@MOSESIMCHUNGUZINA VITABU VYA USHOGA
Mbwa ww urusi imewashinda
Bora utulie bila hawa hatufiki kokote
Wakiamua hata kesho mama yetu hatumuoni
Unawlewa kasema nino? Kapunga utekaji na mauaji