MKOBA WA MAMA Episode { 14 }

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 179

  • @Hassanfrint254
    @Hassanfrint254 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tanu hongera sana na mungu akufikishe mbali bana,naomba nyota ya marehemu Kanumba utairudisha.🎉

  • @DanielRusimbana
    @DanielRusimbana 3 หลายเดือนก่อน +1

    TANU ongera sana munacheza vizuri sana tena sana Ila mie nilikuwa n'a kipendekezo kidogo iyi filamu inapita Naya Snack boy na mbali kwa sababu inaelimisha jamii inamufundisho mengi zaidi na kingine zaidi iyi filamu ingeitwa kwajina ya KISASI kwa sababu kila mutu alipenda alipize KISASI asante sana mimi kwa jina naitwa Dennis kutoka Congo ni mchezaji wa filamu kutoka Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 5 หลายเดือนก่อน +10

    Huna baya tanu much from somewhere 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @muuomutuku4811
    @muuomutuku4811 5 หลายเดือนก่อน +10

    Kazi nzuri Tanu

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 5 หลายเดือนก่อน +4

    Masha Allah Leo mmewahi hamja tuweka sana 🎉❤

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri sana Kaka🎉🎉🎉🎉🎉 Much love from Kenya 🇰🇪

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 5 หลายเดือนก่อน +12

    Asanteeeee tanu unajuwa kutufurahisha wadau wako hugandi hadi raha

  • @KhadijahDidah
    @KhadijahDidah 5 หลายเดือนก่อน +6

    Tanu kukataliwa kubaya 😂😂😂 Pole kaka .....🎉🎉🎉mungu akuzidishie kipaji chako🎉❤❤

  • @marryhancy1632
    @marryhancy1632 5 หลายเดือนก่อน +10

    Oya tanu eheeee ishi San Iv ndo inatakiwa 😂❤🫂

  • @kamanaelois8897
    @kamanaelois8897 5 หลายเดือนก่อน +4

    Tanu paka Burundi GITEGA 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 5 หลายเดือนก่อน +3

    Big up kazi mzuri sana aya tusalimiane team furus team kupambana team WiFi team kazi kazi 🔥🔥

  • @MasauShida
    @MasauShida 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri sana Mr. Tanu🎉

  • @PhilippeOxalique
    @PhilippeOxalique 5 หลายเดือนก่อน +10

    Nipeni liké zangu

  • @PoleenNjeru
    @PoleenNjeru 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanza from 🇰🇪🇰🇪 much 💚

  • @lucyjuma-nl2ko
    @lucyjuma-nl2ko 5 หลายเดือนก่อน +12

    Tanu sasa umefika wakati wa wewe kunyoa hizo ndevu kwa kuwa hazikusaidii.... Binti wa wenyewe alikuwa anakupenda ukamwambia maneno yakumvunja moyo adi subra pia ikaondoka kwako.... Ukamsababishia ndoa asioitaka leo hii kaskia Kim kaozeshwa wewe tena unarudi kufoka kwa boma ya wenyewe hivi unaakili kweli..... Je Sandra angekukubali ndio ungerudi kwa kina Kim kufoka aki wanaume huwa mnatakaje lakini unae mpenda hakupendi anae kupenda humpendi waaah mapenzi bana.... Mapenzi shikamoo😅😂😂😂 ila kazi nzuri sana tanu movie yako iko sawa sana hongera sana much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

    • @tanuplus
      @tanuplus  5 หลายเดือนก่อน +2

      Asante sana

    • @badarahmed1861
      @badarahmed1861 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona raha kupendana😊

    • @BikhaSal-z1g
      @BikhaSal-z1g 3 หลายเดือนก่อน

      Mh au bc hii comment km noksi

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 5 หลายเดือนก่อน +10

    Kaka Tanu nyoa ndevu labda atakukubali😂❤❤

  • @OmanIbra-d6u
    @OmanIbra-d6u 5 หลายเดือนก่อน +2

    Uhuu mchezo wote mmejuwa kucheza vizuri

  • @SeifShabani-z2k
    @SeifShabani-z2k 5 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda sana tanu unacho fanya

  • @sarahmillka6275
    @sarahmillka6275 5 หลายเดือนก่อน +6

    Nawapenda San 😊

  • @KagegaAbdlah
    @KagegaAbdlah 5 หลายเดือนก่อน +7

    Saf sana

  • @chuvyzainab6922
    @chuvyzainab6922 5 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤ much love

  • @WiliamTomas-oo9kb
    @WiliamTomas-oo9kb 5 หลายเดือนก่อน +6

    Yoyote ana teka like aende kwa kakoso apewe

  • @lechoyohana1366
    @lechoyohana1366 5 หลายเดือนก่อน +6

    Jamani nimechelewa ila sio mbaya tufunge funge tuondoe na like zakutosha

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ila mmeona camera ilivyo 👌 mashallah

  • @alonechris
    @alonechris 5 หลายเดือนก่อน +11

    Iv like zina kazi gani na mm niombe

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 5 หลายเดือนก่อน +3

    Tanu kama ivi usituache tupoe tupe vitu kaka😊😊😊

  • @AshaNassoro-z9s
    @AshaNassoro-z9s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kijan tanu umechelewa jamvin 😅😅😅

  • @Labankarani1
    @Labankarani1 5 หลายเดือนก่อน +5

  • @SophyCharles-d7v
    @SophyCharles-d7v 5 หลายเดือนก่อน

    Good job❤

  • @jamesirungu5283
    @jamesirungu5283 5 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu kipara akaniletea hizo naeza mgonga ngoto naeza mtia mambonde kwenye hicho kipara

  • @SophiaJamali-lf1ki
    @SophiaJamali-lf1ki 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nawapenda wana family ya "mkoba wa bibi " mola azd kuwatia upeo wa hali ya juu🙏

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 5 หลายเดือนก่อน +6

    Wanaume wa kijijini ni wambea😂😂😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 4 หลายเดือนก่อน

    Naipenda sana hii filamu❤❤❤

  • @ZuenaChabani
    @ZuenaChabani 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pôle sana Tano ningelijuwa uja mwisho Wana neno

  • @Salim.Muraad95
    @Salim.Muraad95 5 หลายเดือนก่อน +16

    Wakwanza Leo naomba likes zangu😅

    • @Salim.Muraad95
      @Salim.Muraad95 5 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

    • @mamaTravis
      @mamaTravis 5 หลายเดือนก่อน

      Ziokote

  • @magariabdallah8066
    @magariabdallah8066 5 หลายเดือนก่อน +6

    Timu tanu likes 👍

  • @JumanneIsmail-fy5tz
    @JumanneIsmail-fy5tz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mm sitaki izo lk zenu

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 5 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu ana macho kama tochi mpaka anatisha nimeirusha kwa uwoga 😂😂😂

    • @ZawadiMnara
      @ZawadiMnara 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @AmanaK-u7z
    @AmanaK-u7z 5 หลายเดือนก่อน

    It's too late tanu mbna wajtoa ufahamu juu ya kim ilhali Kim alikuonyesha kuwa yupo tayari kujenga familia na ww no
    matter what

  • @BabazMnyamwezi
    @BabazMnyamwezi 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi mbovu mkoba na mapenzi wapi na wapi

  • @PhilippeOxalique
    @PhilippeOxalique 5 หลายเดือนก่อน +10

    Wangapi wanampenda tano

  • @AbushiekhVonga
    @AbushiekhVonga 5 หลายเดือนก่อน

    Mnaigiza vizuri sana tena inanivutia sana lakini nawaomba mzingatie sauti baadhi ya maeneo

  • @flavianabwona6864
    @flavianabwona6864 5 หลายเดือนก่อน +11

    Nimewai Leo naomba like ata mbili

    • @PaulOgolla
      @PaulOgolla 5 หลายเดือนก่อน

      💯😮😮

  • @brightonjonas69
    @brightonjonas69 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tulioona suruali modo ya mchungaji gonga like hapa

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 5 หลายเดือนก่อน

    Utu TANU cio mzma alf anauliza dada wa wenyewe uko swa wakat yy ndo punguani😂😂😂😂😂mapenzi ayo kwio🫣alivyomuangaisha kote vle ety mschn wangu😮😮😮

  • @ibrahimmrisho8554
    @ibrahimmrisho8554 4 หลายเดือนก่อน

    Ila TANU hiki kipande umejua kukitendea haki siyo siri big up sana kaka.
    Wamekuua mbeeee mbeeee.

  • @NshomaSayi
    @NshomaSayi 5 หลายเดือนก่อน +1

    nmechelewa lakin nipeni tu like zangu

  • @UmmiRamadhan
    @UmmiRamadhan หลายเดือนก่อน

    Nimemuona mzidole wangu na mwenzie wakifumga tonobari wee kijana utaniuwa 🥰

  • @jabilmusa7569
    @jabilmusa7569 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika usihadaike na rangi ya chai

  • @SalmahAbdallah13
    @SalmahAbdallah13 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli thamani ya kitu huwezi kuiona Hadi pale kitakapokutoka.pole tanu

  • @Tabiatz
    @Tabiatz 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzurii nimependa dadayake Kim. Kachafukwaa

  • @NgekiMgara-zw8bw
    @NgekiMgara-zw8bw 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi wew kipara ni kabila gan asee maana 🙄🙄 we utakua mzaramo wew na koo lako la mjeruman ulolifunga na funguli ya solex🤣🤣🙌🙌

  • @justineakinyi5122
    @justineakinyi5122 4 หลายเดือนก่อน

    Naipenda hii tanu keep up💞💞👏🏆

  • @giselemauwa4477
    @giselemauwa4477 5 หลายเดือนก่อน +2

    6❤❤

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe 4 หลายเดือนก่อน

    Nice one story tanu 🎉🎉🎉🎉

  • @SalmaMakilika
    @SalmaMakilika 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri saana.unatoa kwamuda muhafaka

  • @godfreymwandoje6851
    @godfreymwandoje6851 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu unajua sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @WastaraMandute-fl2dv
    @WastaraMandute-fl2dv 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu uko vzr na kazi zako zinatoka kwa wakati big up bro

  • @ZawadiMnara
    @ZawadiMnara 5 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @rajabanabaswa36
    @rajabanabaswa36 5 หลายเดือนก่อน

    Nice job Mr Tanu kip up Bhai, watching u from KSA.

  • @SamyabshatiSamyabahati-n1e
    @SamyabshatiSamyabahati-n1e 5 หลายเดือนก่อน

    😃tanu nirofa kabisa aca kuaribu mda zawatu Wende kwasandra

  • @tresorkilozo9996
    @tresorkilozo9996 3 หลายเดือนก่อน

    Tanu unajuwa sana kuigiza ila nikuombe tuh chukuwa mkoba hachana na mapenzi

  • @zipporahzilpahmungohe9763
    @zipporahzilpahmungohe9763 5 หลายเดือนก่อน

    much love Tanu hivi ndio inafaa ...kazi nzuri mnoo jah bless ...Next episode try to chana the ndevu or trim them ....❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @GasperMwaisa-rb1lf
    @GasperMwaisa-rb1lf 4 หลายเดือนก่อน

    Yani sie binadamu tunakazi sana asaidi watu kwan yee tanu ni mungu

  • @kjhhh5322
    @kjhhh5322 5 หลายเดือนก่อน

    Nimecherewa kidogo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @MosesJuma-ds1ys
    @MosesJuma-ds1ys 3 หลายเดือนก่อน

    Ngoja ngoja huumiza matumbo,wakati mwingne tuwe wastarabu

  • @ShariffHussein-td1ji
    @ShariffHussein-td1ji 5 หลายเดือนก่อน

    Tatizo mnachelewesha pia mnatoa kipande kimoja em badilikeni kuweni fast mnavyotoa taratibu pia kipande kimoja watu tunasahau tulipo ishia hayo ndo mawazo yangu

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu nabado haujasema aca kimu aolewe zake kimekuramba😂😂ndoukome

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂tanu kimekulamba

  • @AlmasHussein-d8m
    @AlmasHussein-d8m 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi yang pendw

  • @naimamchajuma2868
    @naimamchajuma2868 2 หลายเดือนก่อน

    Mapenz yanaumaa usimzarauu mtu anaekupenda

  • @WIDEApro
    @WIDEApro 5 หลายเดือนก่อน

    ❤kaz nzur

  • @InfoMwamba
    @InfoMwamba 5 หลายเดือนก่อน

    ❤ Asante kwaku tuletea mapema

  • @JasintaSalum-p9k
    @JasintaSalum-p9k 3 หลายเดือนก่อน

    Mmh😮 we Kim umempend lin

  • @CândidoAdrianoMaimba
    @CândidoAdrianoMaimba 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi inaenda vizuri sana.

  • @NgekiMgara-zw8bw
    @NgekiMgara-zw8bw 3 หลายเดือนก่อน

    Kuna macho halafu kuna taa hizi ni taa sasa

  • @صالحالاكلبي-ش3م
    @صالحالاكلبي-ش3م 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉❤

  • @Irenegodfrey-cn5ri
    @Irenegodfrey-cn5ri 5 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Kim 😂😂😂

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂tanu anakumbuka shuka kumekucha

  • @jumannemalungo5018
    @jumannemalungo5018 5 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @LeyGabash
    @LeyGabash 5 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @athumanijonathanofficial4709
    @athumanijonathanofficial4709 5 หลายเดือนก่อน

    Horo in horo😂😂😂kipara weeeeeh

  • @JumaMtilikwa
    @JumaMtilikwa 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂dah Tanu atar😅

  • @MalingaMaboko
    @MalingaMaboko 4 หลายเดือนก่อน

    Wanaume nihatari pole sn

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu kazi nzuri sana

  • @Awoshy
    @Awoshy 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu Tanu kachanganyikiwa eeh😂😂😂😂

  • @BatuliAdam-q1m
    @BatuliAdam-q1m 3 หลายเดือนก่อน

    Zekezeke😂😂😂

  • @MumoMuinde-gt9md
    @MumoMuinde-gt9md 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi zuri Tanu

  • @MagrethHaule-k5d
    @MagrethHaule-k5d 5 หลายเดือนก่อน

    Wanaadamu hawana jema kabisa

  • @WiliamTomas-oo9kb
    @WiliamTomas-oo9kb 5 หลายเดือนก่อน

    Kwann tanu usi mbake sasa uyo demu kaka nakupa ushaulli wakweli😂

  • @HusseinOmary-co7rv
    @HusseinOmary-co7rv 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu tanu kwa boya 😂

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 5 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @angelvenson5520
    @angelvenson5520 5 หลายเดือนก่อน

    Wanaman kipara jaiva au eeeee

  • @AllyYamkiwa
    @AllyYamkiwa 5 หลายเดือนก่อน

    🎉salute

  • @daviskibago1413
    @daviskibago1413 4 หลายเดือนก่อน

    Tanu Mungu akubariki sana

    • @tanuplus
      @tanuplus  4 หลายเดือนก่อน

      Asante kaka

  • @cutenaa6984
    @cutenaa6984 3 หลายเดือนก่อน

    Cwez kua na wachawi kamchana live😅😅😅😅😅

  • @EmmanuelKimmodar-bl4rx
    @EmmanuelKimmodar-bl4rx 5 หลายเดือนก่อน

    Alaaniwe amtegemeaye mwanadam

  • @SelsalAway
    @SelsalAway 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu utauwa unamisimamo ýa hatr

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya 5 หลายเดือนก่อน

    Tanu yamekukuta😂 Kim kishaolewa zake

  • @djaahdjaah3658
    @djaahdjaah3658 5 หลายเดือนก่อน

    😊❤❤