DUDU BAYA ATAPIKA YOTE NIMETESEKA SANA KISA KUWASEMEA WASANII MUNGU ATANILIPA ILA NITASEMA YOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @AndrewZacharia-u3w
    @AndrewZacharia-u3w 7 หลายเดือนก่อน +5

    Shida yasisi watanzania atujui kujifunza mtu anazungumza nini sasa mtu naakili zako timam unauliza mtu anafanya kazi gani badala yakujifunza mtu anazungumza nini mmezoea vichambo Tena watoto wakiume ndio Mana sasa ivi watoto wakike wako mbali Sana sisi wakiume tumebakia vichambo nakutokujifunza mtu anazungumza nini Kama unaisi anachozungumza ukielewi potezea tu tumia bando lako kwajili yakujenga

    • @aidanmbilinyi8184
      @aidanmbilinyi8184 7 หลายเดือนก่อน

      Mbona unaonekn kama kuku kakatwa kchwa anatapatap

    • @STEVENKAJUMBA
      @STEVENKAJUMBA 7 หลายเดือนก่อน

      Awakika

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 6 หลายเดือนก่อน

    Upo Sawa tatizo umaskini MTU anaahaidiwa gari nyumba na pesa muda huo huo sasa mtu anakubali baadae ndio anashtuka ndio maana kila siku utasikia wamegombana uongo uongo mwingi
    .

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 7 หลายเดือนก่อน +2

    Msema kweli baba

  • @georgemashauri4657
    @georgemashauri4657 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kama hujamuelewa uelewa wako ni mdogo sana

  • @Directorchusseyt1637
    @Directorchusseyt1637 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nakukubar sana dudubaya mungu akupe maisha marefu

  • @wilsonjonas5481
    @wilsonjonas5481 7 หลายเดือนก่อน

    Konk master anaakiri nyingi sana Brother 🔥

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 7 หลายเดือนก่อน +1

    Facts

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 หลายเดือนก่อน

    👍✌️👊

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu nae nini mbona si muelewi kwani anafanya kazi gani?😂😂

    • @mastajabudekula4828
      @mastajabudekula4828 7 หลายเดือนก่อน +1

      Usicho kielewa achana nacho.wewe Rudi shupeni

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 7 หลายเดือนก่อน

      @@mastajabudekula4828 Rudi wewe shuleni hata kuandika Shule inakushinda, mshenzi mshenzinyo weeee!🤧

    • @barakabusima
      @barakabusima 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂 huwezi kumuelewa kaa hivyo hivyo 😂😂😂😂😂

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 7 หลายเดือนก่อน

      We ndo walewale watumwa wa watu

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 7 หลายเดือนก่อน

      @@barakabusima yaani mmevurugwa najuwa la TZ