Biblia Yasibitisha Ujio wa Mtume Muhammad {S.A.W} Pt 1 Sheikh Juma TiTo | HD video | Madrasa shop

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Mtume Muhamad {S,A,W} ametabiriwa sehemu tofauti ktk biblia hivo fuatilia video zetu uweze kujua
    tunashkuru kuwa nasi ktk chanel yetu hii ya MADRASA SHOP
    cont:
    +255773950260
    +255717513191
    Madrasa shop tv online
    Burudika huku ukielimika

ความคิดเห็น • 27

  • @mrishokibuti7992
    @mrishokibuti7992 ปีที่แล้ว

    ❤Maasha Allah ,, Barakallahu laka

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 10 หลายเดือนก่อน

    Amiin alikazarika na mimi pia
    Naomba dua kama hiyo sheikh
    Amiin

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 8 หลายเดือนก่อน

    Ma sha Allah tabaraka llah

  • @stevenjoakimu28
    @stevenjoakimu28 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea vyema ila kumb 18:18 ni utabili wa wa Yesu... Kufanana kwa mussa na Yesu ni shughuli ya ukombozi.. mussa alihusika kuwakomboa islael na ahadi ya ukombozi ilikua ni mji wa kaanani ila YESU amekuja kuukomboa ulimwengu mzima katika dhambi na ahadi yake ni kuuridhi ufalme wa mbinguni.. nawaonea huruma mnavyo mkataa Yesu

  • @emmanuelmchome5135
    @emmanuelmchome5135 ปีที่แล้ว +1

    piga kelele YESU ndio njia sio muhamad katangaze injili alitabiriwa YESU MWOKOZ WA ULIMWENGU

  • @fredericmbokobest
    @fredericmbokobest 2 ปีที่แล้ว +1

    Musa aliongea na Mungu akiwa Duniani, Sasa wewe unasema kwamba Muhammad alienda mbinguni, uho ni uongo Muhammad ajawai kwenda mbinguni na mpaka sasa yupo udongoni.

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu 7 หลายเดือนก่อน

    Nabii huyo ni MIMI

  • @josemuhina1624
    @josemuhina1624 ปีที่แล้ว +1

    Mudi katumwa na shetani ...mudi amewaambia muuwe, muoe wanne anapingana na mungu.. Tokeni uko mna mtumikia shetani

    • @jumaazuberi9317
      @jumaazuberi9317 ปีที่แล้ว

      Kua na adabu wewe.mudi ni baba yako

  • @iddialiy9489
    @iddialiy9489 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @bonifaceirungu5594
    @bonifaceirungu5594 2 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo lako pia husemi ni kitabu gani haswa watu watasoma habari za Muhammad ndani ya biblia. Halafu pia wewe unaeleza hali ya kwamba Muhammad aliigiza maadiko ya biblia kujipendeza kwamba ni yeye aliyeongelewa ndani ya biblia. Ingekuwa vyema Kama ungesoma habari yote kwanza kwa sababu biblia haijaficha chochote, bali qurani imewaficha mambo mengi kiwango cha kutoelewana nyinyi waislamu wenyewe kwa wenyewe

  • @emanuelmkumbe208
    @emanuelmkumbe208 ปีที่แล้ว

    Mashall

  • @asubuhimwita7112
    @asubuhimwita7112 3 ปีที่แล้ว +1

    Jaman naomba kuliza ila mnisaidie ivi tukifa tukaenda mbinguni mungu ataanza kutuita kwa dini zetu au imani na matendo yetu ndyo yatatizamwa au ni dini zetu

    • @iddialiy9489
      @iddialiy9489 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwanza ita angaliwa diniyako ni ile aliyo amuru huyo mungu ifuatwe ndio ulio ifuata ikiwa ndiyo inakuja imani umeiyamini au ulifuatatu kwa shindikizo

    • @nehemiagwalusako596
      @nehemiagwalusako596 2 ปีที่แล้ว

      Sio Matendo pekee ila imani ktk Yesu kwa sababu Yesu ni Mungu kutokumuamini ni kosa hata ukitenda mema
      Isaya 9:6, warumi 3:20

    • @mwassamwassa7264
      @mwassamwassa7264 ปีที่แล้ว

      Watakao enda mbinguni ni wale waliomkubali Yesu na kuishi ktk sawasawa na neno la Mungu,ukiwa muovu utasubiri hukumu tu, mbingu siyo jalala

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 ปีที่แล้ว +1

      @@nehemiagwalusako596 Kwani Mungu anazaliwa na Binaadamu akalelewa na Bidamu akanyonyeshwa na mama yake akatahiriwa alikua anakula anakunywa anakwenda chooni kabila myahudi alikua analala Mungu gani anasifa hizo na wapi katika hicho kitabu chenu kasema Mimi Yessu Mungu niabudieni

    • @BayuuYusuphu-gz2un
      @BayuuYusuphu-gz2un ปีที่แล้ว

      Kidogo kwasababu hujui wabongo huwa hawaoni maana ya yaliomo katika kitabu kwasababu bongolala hivyo hivyo bila ya yaliomo utapata kupekuwa kitabu kwa kuhangaika dini ndio inayokuelekeza hayo matendo yako mema ya kukupeleka mbinguni unafikiri kusingekuwepo na dini ambao ni mwenendo mzima wa mwanadamu aishi mungu anavyo taka wewe uishi ungejuaje matendo mema alaf usitafsir dini unaziona mbov ndio ukajua ndio ubovu wa dini soma wewe acha ujinga tumia akili utajua mtu anakupa hoja za akili pia huoni tu

  • @TomAyodi
    @TomAyodi 7 หลายเดือนก่อน

    Uongo uongo

  • @user-ht2dl4ft6n
    @user-ht2dl4ft6n 7 หลายเดือนก่อน

    Kwani muamadi ujiowake kwani atakuja Fanya Nini APA duniani Sisi tuna amini yesu namitume wengine lakini muamadi atumutambuwi

  • @bonifaceirungu5594
    @bonifaceirungu5594 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnaposema biblia si neno la Mungu? hapo waamini maandiko hayo kivipi?

    • @saidswalehe2807
      @saidswalehe2807 2 ปีที่แล้ว

      Boniface cyo kwamba biblia haiaminiw hapana ispokuwa injil ilikuwa nikwaajil ya waisrael na pia biblia ukisoma vzr inajigonga yenyewe kujigonga huko ndio tunaamin ilitiwa mkono isaya 23:17 hlo neno litakuingia akil

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว

      kuna maneno ya Mungu na mengine sio na chujio lake ni QURAN

    • @fatmaali2050
      @fatmaali2050 ปีที่แล้ว

      Baadhi ni ya mungu na mengine ni ya shetani ambaye kiti chake cha enzi kipo kanisani

    • @fatmaali2050
      @fatmaali2050 ปีที่แล้ว

      Taurat mayahudi waliibadilisha kwa Ajili ya matamanio yao na injil waliibadilisha na kutaka kumuuwa huyo alopewa injil kuonesha kuwa mayahudi hawa ni watu wa ovu kupindukia

    • @fatmaali2050
      @fatmaali2050 ปีที่แล้ว

      Tunashkuru kwa hoja za wazi Ambazo umezitoa

  • @Malaikah.channel
    @Malaikah.channel ปีที่แล้ว +1

    WAISLAM MSIWAONGOPEE WAUMINI WENU KAMA ALIVOWAONGOPEWA KIONGOZI WENU WA WAISLAM
    1....KUMB 18:18 ungeimalizia mpaka Kumb 18:20-22 hili uone kama yupo sahihi Mungu katika biblia anaitwa Yehova huyo mohamad anaisema kapewa utume na Alha.
    Mbili Mohamad kaoa mtoto wakati hakuna mahara Mtume wala nabii yoyote amefanya kitendo hicho na kuambiwa na Mungu.
    2...ISAYA 29:12...ingekuwa vizuri uanzie Isaya 29:11-13 hapo uneelewa Maono ya Isaya alikuwa akimaanisha nini na kwa kuwa Mungu aliishia kusema watu hao wote wawili Anayejua kusoma na asiyejua kusoma walimueshimu kwa midomo bali mioyo yao iko mbali.
    .........SHEKHE USIWAPOTOSHE WATU........Bali ENDELEENI KULIABUDIA JIWE JEUSI KULE HIJAH..